Leo ni leo. Asemae kesho ni mwongo!
Harambee Stars wanakipiga na Brave Warriors leo huko Windhoek, Namibia, kugombea nafasi ya Kombe la Ulimwengu 2014.
Leo ni leo. Asemae kesho ni mwongo!
Harambee Stars wanakipiga na Brave Warriors leo huko Windhoek, Namibia, kugombea nafasi ya Kombe la Ulimwengu 2014.
Mpira ndio sasa unamalizika. Harambee Stars wakun'gutwa na Brave Warriors bila huruma. Namibia 1 - Kenya 0. Goli limefungwa na Henrico Botes.
Poleni majirani!
poleni sana, rudini home mtuangalie sisi tutakavyowatungua gambia kesho,njoni mjifunze mpira kwetu sisi watz, acheni kujifanya mnajua kumbe mnafungwa hovyo.
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Just because presidents screws around, it doesn't make a president for screwing around..
Follow Us Here