Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa.
Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua utaifa wa mama yake...
Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa.
Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua utaifa wa mama yake...
A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people.
bado mda kidogo
Duh hiyo nayo ni habari
anatafuta kura tu hana lolote
anateka akili za wabongo mjue ni ndugu yenu mumpe kura, mwisho wa siku mnaambiwa ilikuwa zuga 2
wasiyomjua na wasiotaka kumjua hata huu uzi hawajachangia ila maboya ndo wa kwanza kuuliza ndo nani!hii nayo habari!!!acheni upimbi kama kitu huna interest nacho unapiga kimya
a.k.a mnyama!!!!
na mamake ni mkuria anaitwa Dina Hezron Magige au Mrs.Makini.
Namkubali kijana. Yeye kwa sasa ndio kivutio. Haya mengine sio muhimu kwa sasa
Intermarriage katika nchi hizi si ajabu.
Prezzo ni kifaa gani?
Bajeti ya maskini tajiri haiwezi
Mimi nilijua eti ni mtoto wa Mzee Jomo Kenyataa.
niambieni vizuri kwa kuwa hata mimi mama yenu
namkubali yule dogo vibaya sana.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Jamani msikatae, ni mwanenu huyo...
Just because presidents screws around, it doesn't make a president for screwing around..
Hamna Mtanzania yuko vile!!!
janja ya kutaka kura za watz.
hata kenya kuna wakuria na majina ni hayo hayo, sasa anaweza kusema mama yake ni mtz kwa kuwa anashida ya kura but akishapata anachotaka mamaake atakuwa mkuria wa kenya, achana na wakenya ni wajanja sana, hata wajaluo wa ky huwa wanajifanya watz wakitafuta ajira hapa kwetu. mi huwa siwaamini kabisa.
Huo ni ukweli; Mama yake ni Mkuria wa Tanzania ila babake ni Mkikuyu wa Kenya..
CMB Prezzo ana binamu zake wengi; Chacha Wangubo, Mary Robi na wengineo huku Mwanza.
Prezzo kasafiri mara nyingi kuelekea Mara kuwatembelea wajomba, mama mdogo wake na wengineo
Follow Us Here