Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa.
Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua utaifa wa mama yake...
Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa.
Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua utaifa wa mama yake...
A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people.
Pamoja na kwamba mama yake ni mtanzania,mimi kura yangu ya kubaki bba hapati!yani huyu mjamaa kwenye big brother ni mpika majungu mkubwa,kawapikia majugu wenzake wametolewa,sasa hivi zamu yake anapendekezwa kutolewa ndo anajitangazia mama yake mtanzania ili watanzania tumuonee huruma! Alisahau usemi wa"auae kwa upanga atakufa kwa upanga"
Kwa hiyo? whats so special about him kuwa na mama mtanzania??? Post vitu vya maana humu jamvini,kama una undugu naye ni huko huko nje sisi haituhusu.....
Kuna picha yake moja ktk Facebook kavaa T shirt yenye picha ya Nyerere (Mapenzi kwa Tz?), huenda ni kweli mama yake ni mbongo
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
Mwanza, Bugarika kweli ni kwa wakurya, yawezekana ikawa kweli
waTZ wanamkana mwanao..., as EA WE NEED PEACE LOVE AND UNITY JUST AS BOB MARLEY SANG
Teh teh uyu ni mkenya c mtanzania
Ni kweli alishawahi sema hivyo hata kabla ya kwenda big brother kuwa mama yake ni Mtanzania na anaishi maeneo ya Bugando, Mwanza!
Follow Us Here