Lakini kweli. Msichana over 30 hujaolewa? Some ting wrong wit you!
"Smile though your heart is aching"...Me says
inawezekana.
kuolewa ni lazima?
kuolewa si lazima ila inaongeza heshima.kuna tofauti ya miss na mrs.MUNGU alimwambia mwanaume utakula kwa jasho mwanamke atazaa kwa uchungu na kizazi chako kitamponda nyoka kichwa.so ujue utakwenda ulizwa kama ulikuja ku buy time dunian utajaza mwenyewe.ila sio fresh mwanamke kuzeekea kwa wazazi wako ila ndo faida ya HAKI SAWA.
Kuolewa si lazima kabisa.
life goes on.....
dah mi am 24 nw ikifka 27 sina mwelekeo nitachanganyikiwa, mungu nisaidie.
Vipi uolewe alafu ukaishi maisha ya tabu,ikiwemo na manyanyaso. Kuolewa ni suala ambalo linahitaji uamuzi makini sana.
Wanawake muwe makini!
Wewe kama mwanadamu unapaswa kuishi kwa UFAHAMU NA SIO MAZOEA
Amesemaje sie wengine hatuna diestivi.....
utubu nayo haifunguki
"DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"
Follow Us Here