"Hatimaye Prezzo amepata kitu kinachomfaa. Ni ukweli uliowazi kuwa hawezi kuimba. Yeye ni mwanamitindo na muigizaji hivyo tumwache ajaribu hili na mwisho atengeneze hela yake mwenyewe ambazo atakuwa anajiamini kujisifia” Jaguar.
Zaidi soma hapa:
DAILY ENTERTAINMENT TAKE AWAY: Jaguar: Walau Prezzo amepata kitu kinachomfaa sababu muziki hauwezi

Reply With Quote



Follow Us Here