CHEZEA MAMA KIBAKI UONE PICHA MBELE...!
CHEZEA MAMA KIBAKI UONE PICHA MBELE...!
Mama hana muamana huyu...anaweza fanya kituko chochote hapo!
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
Inaonyesha walikuwa wanapigana mama akitaka kutambulishwa kuwa ndie mkewe ili vinyamkera vitulie. Haya KAKA Mkubwa na wewe copy and paste kama utaweza.
Nimecheka sana, kwanza huo mkanda wa mama,halafu mama alivyokuwa anapumua wakati Mr wake anatoa speech.Huyu mama inaonekana ndiye anaongoza kenya
Mama hatabiriki kama hali ya hewa ya Dar es Salaam!!! Aliwahi kuchapa makofi mwandishi wa habari kama mwanasesere:-)
Halafu anaongea baada ya RAIS kuwa kaisha aga kumaliza mazungumzo na waandishi!! Mama bado anachonga na KUTISHIA KABISA!!!!
Mama MTAMBO HUYU KWAKWELI......LUCY KIBAKI:-)
Mimi bado najiuliza hivi kabla hawajaja kwenye media mjadala ulikuwaje?
"utaenda kusema au hapana, usipoenda kusema utaona nitakachokufanya, naona umenisahau, subiri, wewe baba nanihii unanisikia lakini? Urais ni wako na hao wengine, ila mie najua mimi ni mkeo basi, sasa tunaenda au hatuendi? dereva, derevaaaaa, uko wapi?"
Kaazi kweli kweli, chezea mke wa Kikeii
Last edited by bdo; 8th August 2012 at 12:17.
UUUUUUUUUUUUUUUWI,HANDSOME BOY WETU NAE afte nyayo kama hawakuibuka mpaka wa makaburini!RIP mama rahmantoto
Hilarious. Tunasubiri bi mkubwa salmon ops sorry, excuz me salma kikwete to un raffle.
Follow Us Here