Kwa mujibu wa utafiti wa taasisi ya Infotrak Kenya ........ikiwa uchaguzi utafanyika sasa Raila ataongoza kwa 36% Waakati Uhuru Kenyata ataongoza kwa 21%, , Musyoka atapata 9%............Wanafuata akina Mudavadi, Ruto na Charity Ngilu (Source Citizen Tv).
My take: Hii maana yake ni kwamba hakutakuwa na outright winner

Reply With Quote



Follow Us Here