tatizo kubwa la wakenya ni kwamba, hawaijui tz, wanaisikia tu toka kwenye vyombo vya habari,ndio maana mtu anaamka leo anasema mwanza hawana maji. leo hii ninapoandika niko mwanza...maji ya victoria ambayo egypt/misri walisema tusitumie, yamesambazwa as far as mkoa ya shinyanga, wilaya ya kahama etc, kwa bomba la maji lkubwa sana...sasa mkenya anakuja leo anasema mwanza hawana maji..nakushauri tembelea kwanza tz ndio uijadili, no wonder huwa mnaamini kenya is everything, na wakati huohuo mnao watu milioni kumi hawana chakula...machokoraa hawaishi kwenu...ombeni msaada tuwasaidie. kama unaujua ukweli, zanzibar itaathirika sana kuliko sisi, we are gaining nothing from zanzibar economically, ila zanzibar wanatutegemea sisi kila kitu...tunayo gas nyingi sana imegunduliwa na ninachimbwa, tunayo madini tz nzima ukianzia mwanza yote, shy yote singida mkoa wote eneo kubwa la tz ni miamba ya madini matupu, tunayo urenium nyingi sana singida na dodoma, na tayari imeanza kuchimbwa kule Ruvuma, tunayo chumba nyingi sana kule liganda imeanza kuchimbwa, tunayo makaa ya mawe ambayo tutachimba zaidi ya miaka 50 hayataisha, tumeshaanza kujenga bwawa kubwa la umeme megawats zaidi ya 2000MW, pia bomba la gesi toka mtwara hadi dsm litakalo tumia kufua umeme zaidi ya 2000mw, na kutumia gas katika matumizi ya ndani ya nyumba...we know you have oil in turkana, what we need actually in tz ni uongozi na usimamizi wa rasilimali zetu tu, jambo ambalo tayari tumeshaanza kuujipanga, soon utashangaa wale uliowadhania sio.....samahani nyangáu sipendi kuongea na wewe unanipotezea muda....
Follow Us Here