Tume ya mishahara na marupurupu ya kenya imepunguza mishahara ya watumishi wa umma kwa 30% ili kupunguza mzigo wa mishahara kwa serikali. Source: Citizen Tv
Tusubiri copy n paste kwa watz
Tume ya mishahara na marupurupu ya kenya imepunguza mishahara ya watumishi wa umma kwa 30% ili kupunguza mzigo wa mishahara kwa serikali. Source: Citizen Tv
Tusubiri copy n paste kwa watz
wakifanya hii Tz wategemee div1 kuwa 90% mwakani
wanawapunguzia watumishi wa umma wakati wabunge wao wanalipwa mishahara ya kufa mtu? Akili kweli hizo?
Mshahara wa rais umepunguzwa kutoka zaid ya ksh 2,000,000 hadi ksh1,200,000 gross. Vile mkuu JK anavuta ngapi per month?
Follow Us Here