JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: 2012 KCSE Results Released

  Report Post
  Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
  Results 41 to 60 of 89
  1. MaxShimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,631
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default 2012 KCSE Results Released

   Moi High School Kabarak teachers broke into song and dance after the KCSE exam results were announced. [Photo / Daily Nation]
   The 2012 Kenya Certificate of Secondary Examination (KCSE) results were released earlier this morning by Education Minister Mutula Kilonzo along with topeducation officials and top officials of Kenya National Examination Council (KNEC) at Mitihani House, Nairobi.

   Tony Edgar of Maseno emerged the top student nationally, followed by Oliver Kiaye of Miranda School, and Victor Bolola of Alliance High School.

   In schools .rankings., Moi High School, Kabarak emerged the top school nationally with a mean score of 78.85, folowed by AllianceHigh School (78.49), Mary Mother of Grace High School (76.72), Strathmore School and Kenya High School in that order.

   Analysing performance by county,the top five counties were Samburu County, West Pokot, Elgeyo Marakwet, Siaya and Embu.

   A total of 436,349 candidates sta the examination in 2012.   See a list of the Top 100 Schools Nationally
   Last edited by MaxShimba; 1st March 2013 at 19:45.
   Yesu Kristo Ni Mungu
   Jesus Christ is My Sweetheart  2. Baba V's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Location : Planet Nibiru
   Posts : 19,466
   Rep Power : 88126079
   Likes Received
   9202
   Likes Given
   10916

   Default

   Quote By MWOBHO View Post
   NECTA imepoteza umakini matokeo haya kuna wanafunzi hawakusoma bookeeping,biology lkn wamepewa alama C,B.lkn pia kuna watu hawakufanya mtihani kabisa lkn kwenye matokeo wamepata div 3.hivi ndalichako amengoja nini?anapaswa kujiudhuru.chanzo cha habari kilichotoa habari hizi ni star T.V, na ITV.
   Na hao waliowekewa maksi hizo umejaribu kuchunguza kama kigezo ni dini zao au udhaifu tu wa NECTA..!??

  3. Ozzie's Avatar
   JF Premium Member Array
   Join Date : 9th October 2007
   Location : Jo'burg
   Posts : 3,152
   Rep Power : 60132733
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   232

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Tanzania Kwanza acha uongo. Shule zipi zimeongoza?

  4. Elungata's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th January 2011
   Posts : 19,967
   Rep Power : 85260393
   Likes Received
   4369
   Likes Given
   1

   Default

   yule mama ndalichako ndo tatizo.Tena safari hii ndo kaamua kufelisha nusu ya wanafunzi wa formfour ili kuikomoa serikali.

   Hiyo mitihani isahihishwe upya.

  5. Elungata's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th January 2011
   Posts : 19,967
   Rep Power : 85260393
   Likes Received
   4369
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By MWOBHO View Post
   NECTA imepoteza umakini matokeo haya kuna wanafunzi hawakusoma bookeeping,biology lkn wamepewa alama C,B.lkn pia kuna watu hawakufanya mtihani kabisa lkn kwenye matokeo wamepata div 3.hivi ndalichako amengoja nini?anapaswa kujiudhuru.chanzo cha habari kilichotoa habari hizi ni star T.V, na ITV.
   NECTA kimekua chombo cha kisiasa,wanatumika sasa kuhujumu serikali,serikali wao bado wamelala,watu hadi wamefikia stage ya kupongezana kwa kufelisha wanafunzi.hii kitu imefanywa makusudi kabisa.

  6. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3032
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Wenzetu wa huku Tz mnakuwa mnakumbatia madrasa zaidi kuli elimu


  7. Mlombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd January 2013
   Posts : 261
   Rep Power : 504
   Likes Received
   8
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By Baba V View Post
   Na hao waliowekewa maksi hizo umejaribu kuchunguza kama kigezo ni dini zao au udhaifu tu wa NECTA..!??
   Sio ugomvi kaka jibu hoja.Hata ITV sio waislam lakin wamethibitisha, mbona ukweli hamuutaki.Mnaubia na Ndalichako na mwenyekiti wake kwa kuwa wote ni maparoko.Kaka chunguza ukweli kuliko kusukumwa na hisia za dini.utu hauna udini.

  8. Baba V's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Location : Planet Nibiru
   Posts : 19,466
   Rep Power : 88126079
   Likes Received
   9202
   Likes Given
   10916

   Default

   Quote By MWOBHO View Post
   Sio ugomvi kaka jibu hoja.Hata ITV sio waislam lakin wamethibitisha, mbona ukweli hamuutaki.Mnaubia na Ndalichako na mwenyekiti wake kwa kuwa wote ni maparoko.Kaka chunguza ukweli kuliko kusukumwa na hisia za dini.utu hauna udini.
   Binafsi siumini katika udini, lengo la post yangu hapo ni kutaka kukupa changamoto ya wewe kulitazama hili kwa jicho la kawaida pasipo kuweka udini ndani yake. tukiendekeza kulaumu kwa kigezo cha dini watu kufeli badala ya kujitazama wenyewe ni wapi tunakosea tutazidi kuharibu tu

  9. Opaque's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2008
   Posts : 1,146
   Rep Power : 899
   Likes Received
   307
   Likes Given
   95

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Janjaweed View Post
   Thanks mkuu

   Indonesia na Bangladesh ni nchi zenye zaidi ya silimia 95 ya waislamu kwenye polupation yao... lakini wanaelewa nini sayansi na technology, wanajua nini maana ya kuwekeza kwenye technology
   Mkuu, Bangladesh inaongoza kwa kuexport ma-House girl kwenye nchi za ukanda ule, I have been there! Ni yale yale tu!
   Picha ya Lissu inatakiwa iwekwe kwenye kuta za maofisi - by Okwi Boban Sunzu (JF Member)

  10. Morinyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th August 2011
   Posts : 2,090
   Rep Power : 1111
   Likes Received
   666
   Likes Given
   178

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Nyenyere View Post
   Shule za Feza ni za wagiriki. Tatizo hapa ni kwa nini watz wanakuwa wepesi kukimbilia kwenye dini hata kwa mambo ya nchi jirani?   Unajua unachoandika au unaandika tu.

  11. nemasisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2012
   Posts : 1,762
   Rep Power : 816
   Likes Received
   355
   Likes Given
   84

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Mada kama hizi hazitusaidii kujijenga kama taifa, siku za nyuma tulikuwa tunazungumzia wahindi au waarabu na sisi, tulikuwa tunalinganisha wao na sisi kwa sababu angalau wao wana asili ya nchi zao na mazingira ya maisha yao, uhindini na uzunguni na yetu huku uswahilini ni tofauti,
   Ukiwachukua wanafunzi waislam wa Feza na wanafunzi wakristo wa rangi 3 ukawapa mtihani wa form four unategemea nani watafaulu zaidi?

  12. nemasisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2012
   Posts : 1,762
   Rep Power : 816
   Likes Received
   355
   Likes Given
   84

   Default

   Quote By Tanzania Kwanza View Post
   Hivi kwanini Uislamu ukitajwa mnauita upuuzi na ujinga! lakini Ukristo aaa ni ufunuo na utakatifu! unafiki mpaka lini?
   Hakuna mahala niliposema uislam ni ujinga, malezi ya wazazi wangu na mchungaji wangu yamenifundisha kuwaheshimu watu wote kwa sababu katu hatutokuja kufanana kifikra, kama ntawachukia waislam kwa kuwa mimi ni mkristo maana yake niwachukie washabiki wa Yanga (na ndugu zangu) kwa kuwa mimi Simba, niwachukie wachaga kwa kuwa mimi mnyakyusa, niwachukie CUF kwa kuwa mimi ni NCCR, nk..hapana, ni ufinyu wa fikra
   Ila ni kweli nachukia udini wa watu wanaoufanya uonekane kama Ukaburu kwa wengine

  13. Nyenyere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2010
   Posts : 4,948
   Rep Power : 13347
   Likes Received
   1639
   Likes Given
   2996

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Morinyo View Post
   Unajua unachoandika au unaandika tu.
   Najua kuliko wewe, ndo maana wenzako wamekosoa kwa hoja kuliko ulivyoandika weye. Una jipya?
   The glory of Christianity is to conquer by forgiveness - William Blake

  14. Mwana Mtoka Pabaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2012
   Posts : 5,039
   Rep Power : 2460
   Likes Received
   2474
   Likes Given
   763

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Mie Mwana Mtoka Pabaya sijaelewa haya majina ya kiarabu. Abdulkarim Tasneem Hashim anakuwa FEMALE? Au limeandikwa kimtindo kwa kuanza na surname?
   Kama kweli bakora zinafundisha basi punda angekuwa profesa!

  15. Morinyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th August 2011
   Posts : 2,090
   Rep Power : 1111
   Likes Received
   666
   Likes Given
   178

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Nyenyere View Post
   Najua kuliko wewe, ndo maana wenzako wamekosoa kwa hoja kuliko ulivyoandika weye. Una jipya?

   Kwa hiyo ulichokiandika ni sawa?

  16. ZeMarcopolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2008
   Posts : 13,332
   Rep Power : 141699899
   Likes Received
   5771
   Likes Given
   5448

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Nyenyere View Post
   Shule za Feza ni za wagiriki. Tatizo hapa ni kwa nini watz wanakuwa wepesi kukimbilia kwenye dini hata kwa mambo ya nchi jirani?
   Feza sio za wagiriki, ni za waturuki...
   "To greed, all nature is insufficient"

  17. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,017
   Rep Power : 85903772
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Elungata View Post
   yule mama ndalichako ndo tatizo.Tena safari hii ndo kaamua kufelisha nusu ya wanafunzi wa formfour ili kuikomoa serikali.
   imo, tatizo ni akili yako ndogo kama pingiri ya mavi ya mbuzi..hivi Ndalichako kazi yake ni ndogo tu ktk mfumo wa elimu ya sekondari, nayo ni administer mitihani ambayo imetungwa na walimu wenyewe, na hata wasahihishaji ni haohao walimu. Tz will be better if we get rid watu wote wene kufuga pingiri za mavi ya mbuzi vichwani/
   Quote By Elungata View Post
   Hiyo mitihani isahihishwe upya.
   Ukigharimia hilo zoezi it will be very good, lakini kwa kodi yetu wavujajasho, HAPANA!
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  18. Mwana Mtoka Pabaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2012
   Posts : 5,039
   Rep Power : 2460
   Likes Received
   2474
   Likes Given
   763

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By MWOBHO View Post
   Sio ugomvi kaka jibu hoja.Hata ITV sio waislam lakin wamethibitisha, mbona ukweli hamuutaki.Mnaubia na Ndalichako na mwenyekiti wake kwa kuwa wote ni maparoko.Kaka chunguza ukweli kuliko kusukumwa na hisia za dini.utu hauna udini.
   Hata mbwa wangu FOX ana akili zilizotulia zaidi ya ulizotumia kuandika haya mambo ya kipumbavu hapa. Maparoko wanahusikaje na NECTA?

   Mnadhani hao Wakenya wamefaulu kwa kuwa ni Waislamu au kwa kuwa wamefanya bidii kwenye masomo? Kuna mambo ya kujiuliza, kwani wenzenu wanazaa kwa fujo kama nyinyi? Watoto wao wanakazania elimu au wako kama wa kwenu? Nyie kaeni mkidhani NECTA kazi yake ni kubalansi matokeo kwa dini.

   Mbona watoto wanaosoma Al Muntazir na Mzizima wanafaulu?
   Kama kweli bakora zinafundisha basi punda angekuwa profesa!

  19. Nyenyere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2010
   Posts : 4,948
   Rep Power : 13347
   Likes Received
   1639
   Likes Given
   2996

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Morinyo View Post
   Kwa hiyo ulichokiandika ni sawa?
   Si sawa nilipitiwa kidogo. Lakini si tayari wengine washaweka sawa? Ugomvi wa nini?
   The glory of Christianity is to conquer by forgiveness - William Blake

  20. simplemind's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2009
   Posts : 7,512
   Rep Power : 25772716
   Likes Received
   1634
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By mawenge View Post
   waturuki.
   Hivo Feza ni shule ya waisilamu by extension waisilamu ndio wanaongoza kwa matokeo mazuri.

  21. hydrogen's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th November 2012
   Posts : 247
   Rep Power : 508
   Likes Received
   58
   Likes Given
   57

   Default Re: Shule Za Kiislam zaongoza Kenya!

   Quote By Jipu View Post
   Hii habari itakuwepo kwenye magazeti yao kesho
   Quote By Tuko View Post
   Hata Tanzania shule za feza nadhan zinamilikiwa na waislamu. Upo udhaifu mkubwa kwenye necta, na mapendekezo ya mtoa mada ndiyo kama hayo aliyotaka kuyawasilisha kwa kirefu Nasari kule bungeni... Tunajua CCM ilifanyaje..
   Quote By Nyenyere View Post
   Shule za Feza ni za wagiriki. Tatizo hapa ni kwa nini watz wanakuwa wepesi kukimbilia kwenye dini hata kwa mambo ya nchi jirani?
   Quote By Yona edson View Post
   Cjui lini patakuja andikwa shule za wakristo zaongoza
   Quote By Janjaweed View Post
   ndugu yangu, tatizo kwenye kufeli kwa wanafunzi wa kiislamu ni walimu, focus zao na miongozo yao

   iwapo hata shekhe ilunga ni shujaa kwa waislamu wa tanzania, na redio Imaam ndio clouds yao unategemea nini

   ushauri wangu kwako, wala usiiangalie serikali, angalia mfumo mzima wa madrasa unajenga nini tapa tanzania??

   binafsi naamini unajenga upande mmoja tu, madrasa ambao nao haufanyi vizuri

   waislamu tanzania wanastahili kujifunza malaysia, turkey, pakistan na nchi nyingine za kiislamu ambazo zimekua kisayansi na teknolojia baada ya kuacha kujiweka inferior na kusisitizia vijana wao kusoma sayansi ya leo

   ninao marafiki tulisoma nao primary na sekondari, they were the best in class, wazazi wakakomalia madrasa, wale vijana by the time wanafika form four, wameshapata na wachumba na watoto

   we ended up losing them

   sasa hivi wana counter za machungwa maeneo ya mwananyamala na mtogole

   we have to change kama tunataka taifa imara
   Quote By simplemind View Post
   shule za FEZA(Tanzania Turkish School) zinamilikiwa na ISHIK medical and education foundation ni Waturuki.
   Quote By Mponjori View Post
   Mfumo kristo, hata hela yao ipo juu sababu hakuna mfumo kristo, kule kuna mahakama ya kadh huku mfumo kristo
   Quote By Tanzania Kwanza View Post
   Matokeo ya mitihani Shule za Waislamu TZ huwa si mazuri lakini kinyume na wenzetu Waislamu wa Kenya hasa akina dada Shule zao kidedea!

   habari ndio hii:

   Coast girl tops in exam

   Ms Tasneem Hashim (centre) of Sheikh Khalifa High School in Mombasa was the best girl in 2012 KCSE exam.

   Photo/G.MAUNDU NATION

   By DAVID ADUDA [email protected]
   Posted Friday, March 1 2013 at 23:06


   Coast Province produced the top female candidate in last year’s Kenya’s Certificate of Secondary Education examinations whose results were released Friday.

   Abdulkarim Tasneem Hasham of Sheikh Khalifa was the top girl nationally, with a performance index of 86.817

   The third position was taken by Borona Victor Koome of Alliance High School, while Abdalla Hamza Yusuf of Sheikh Khalifa was ranked fourth.

   In the fifth position was Elkana Nyang’ari Omare of Maranda High School as Abdulkarim Tasneem Hasham, a female, of Sheikh Khalifa emerged sixth.

   There were only two females among the top 10 and 33 among the top 100— a show of persistent skewed performance in gender terms.

   “We are humbled by the performance and happy that his hard work paid off and he brought glory to the school,” said Mr Otula.

   Other schools in the top 10 were Loreto Limuru (75.266), Moi Girls High School Eldoret (75.156) and Precious Blood Riruta (75.149).

   Increasingly, private schools have started showing performance in KCSE unlike in the past, when their strength was displayed largely at Kenya Certificate of Primary Education.

   Mwisho:
   Tunaiomba Serikali iunde tume kuchunguza ni kwa nini Shule za kiislam hushika mkia wakati wenzao wa kenya hufanya vizuri! hii itasaidia kujua tatizo ni nini na kupata dawa ili silu zijazo wafanye vizuri ili kuepuka kuwa na taifa la mazuzu miaka ijayo!


   Uzi huu unasema "Shule za kiislam zaongoza kenya"
   mwanzisha uzi usitupotoshe!! twisting fact to suite your intrest. au tunasoma nakala tofauti? kwenye orodha ya shule kumi bora sioni shule ya kiislam hata moja!
   1. Moi High School Kabarak
   2. Alliance High School
   3. Mary Mother Of Grace Secondary School
   4. Strathmore School
   5. The Kenya High School
   6. Alliance Girls' High School
   7. Maranda High
   8. Loreto High School Limuru
   9. Moi Girls' High School- Eldoret
   10. Precious Blood Riruta


  Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...