Watu wale wale wanao ng'ang'ania bara bara ya Serengeti isijengwe kwa kiwango cha lami sasa hivi wanaweka upande wa kwao lami. Double standards eeeeh! kwa hali hii muungano utakuwa wa kijanjajanja. Tupia macho hii link Standard Digital News : Business : Chinese firm to fix Mara-Sekenani Road

Reply With Quote


Follow Us Here