well said
analyst guru kabaridi - the whole bizarre traits boils down to
demonic forces; ni mambo ya maajabu sana ndugu kabaridi, hivi unaweza kuamini kwamba mwili mmoja unaweza kuwa makao ya demons zaidi ya watano na kila demon ina interest kwenye kitu fulani, kwa mfano:
- zinazo taka kula nyama za watu.
- kusababisha accident wapate damu za binadamu.
- mambo ya ngono! Unasikia linasema - huyu ni mke/mume wangu.
- kusababisha familia hisielewane - mke,mume, watoto ndugu wanakorofishana bila sababu.
- kusababisha host wa demon hasifanikiwe kimaisha yeye binafsi au ndugu zake hata kama ana akili kupindukia.
- kusababisha husioe au kuolewa.
- the list is endless.
mambo kama haya ndugu kabaridi hata the father of psychoanalysis,
sigmund freud hasingeweza
ku-hypnotize demons zilizo kuwa embeded kwenye mwili wa binadamu, sana sana freud angefanikiwa kuingia kwenye
subconscious ya victim na kumuhuliza his/her past experience lakini hasingefanikiwa
ku-interrogate demons zilizopo mwilini mwa host bila kuwa na nguvu za
kimungu.
The man in question is not a
gone case, but he too
(mr.kimeria) might be a
host of 'em
demons; nimewahi kuona ma-pastor wameshikilia biblia wakihubili makanisani bila ya kukijuwa kuwa nao wana
mapepo ambayo yaliwaingia walipo kuwa wadogo au wakati wanazaliwa!! Mimi ni mwana sayansi na nilikuwa mbishi sana kuhusu suala hili nilidhani hakuna mapepo(demons) duniani - not any more! Mambo haya yapo kweli ndugu kabaridi.
Ndugu kabaridi jaribu ku-tune kwenye channel ya emmanuel-tv ya prophet t.b. Joshua (nigeria) uangalie maajabu ya mapepo(demons); hapa kwetu tanzania startimes ya wa china inaonyesha channel hiyo 24/7 - sijuhi huko kenya inaweza kupatikana kivipi labda via satellite. It is worthy watching my fried - some scenes are too creepy to watch!!!
Follow Us Here