Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
Kundi la kigaidi la Al-Shabaab limeanza kuishiwa hata uwezo wa kufikiri. Baada ya Marekani kutoa pesa kwa atakayefichua walipo viongozi wa kundi hili, eti nao wamejibu kwa kusema eti atakayefichua maficho ya rais wa Marekani, Barack Obama, atapewa ngamia 10 wakati wakijua fika anakoishi!
Kama hawajui ni kwamba anaishi White House. Hivyo basi nawashauri Al Shabaab wanipe zawadi angu. Kuongeza chumvi na dharau wamesema eti atakayefichua maficho ya Hilary Clinton atapewa kuku 20. Je huku ni kuishiwa kiakili au kutafuta umaarufu?
Re: Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
Sioni tatizo mkuu, Marekani wanajua hawa jamaa wako Somalia, sasa ya nini kuanza kutangaza dau wakati wanajua walipo? Si waende kuwasaka!! ndiyo maana wakajibu kwa style hiyo hiyo!

Wa Ukenyenge Somalia ni kubwa wakati White House ni moja. Jaribu kuliona hili kwa macho yasiyo na makengeza. Hivi kuna mtu mwenye akili anaweza kumdhalilisha mwenzie anayemkimbia? Laiti wafu wengekuwa wanasema Osama angekuwa na habari nzuri kwa al Shabaab.

By mpayukaji

Hujui kuwa majeshi ya US ndio yalikimbia Somalia, sasa yamewachombeza Wakenya wakauwane wao kwa wao. Zaidi ya 5% ya Jeshi la Kenya ni Wasomali. Hawa Jamaa wanajuwa fitna kweli kweli.
Re: Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
By zomba
hujui kuwa majeshi ya us ndio yalikimbia somalia, sasa yamewachombeza wakenya wakauwane wao kwa wao. Zaidi ya 5% ya jeshi la kenya ni wasomali. Hawa jamaa wanajuwa fitna kweli kweli.
Re: Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
Ngamia ana significance kubwa sana ktk imani za kiarabu. Kwao ni zaidi ya Hela, ni km vile watu wasiojua huwa wana shangaa sana kusikia mtu kauza nchi kwa ajili ya tende, kuna watu kibao tumekuwa tukishangaa kuona vyoo vya kisasa vinajaa mawe na hakuna watoto wala vichaa.....kuja kucheki kwa makini kumbe kaamia jamaa mmoja anatoka ukanda fulani, na huwa anapendelea kuvaa visuruali fulani vifupi km vile vya akina dada, huyu jamaa kwa imani yake kutumia mawe kufutia nyeti ni kawaida na wazo jema..... Em bwana iman za watu na tamaduni zao ni vichekesho.

hahahahaha, jamaa wanadharau mbaya. eti ngamia 10? kuku 20 (mfumo dume!)? lahaulah wallah quatah! but there is a stronger message behind, nd I think wenye kutaka kuelewa wameelewa.
Re: Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
.....tena kwa dharau ya juu. kuku na ngamia...hahahaha
By WA-UKENYENGE
Sioni tatizo mkuu, Marekani wanajua hawa jamaa wako Somalia, sasa ya nini kuanza kutangaza dau wakati wanajua walipo? Si waende kuwasaka!! ndiyo maana wakajibu kwa style hiyo hiyo!
"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants" (Newton, 1675)
Re: Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
By Nicholas
Ngamia ana significance kubwa sana ktk imani za kiarabu. Kwao ni zaidi ya Hela, ni km vile watu wasiojua huwa wana shangaa sana kusikia mtu kauza nchi kwa ajili ya tende, kuna watu kibao tumekuwa tukishangaa kuona vyoo vya kisasa vinajaa mawe na hakuna watoto wala vichaa.....kuja kucheki kwa makini kumbe kaamia jamaa mmoja anatoka ukanda fulani, na huwa anapendelea kuvaa visuruali fulani vifupi km vile vya akina dada, huyu jamaa kwa imani yake kutumia mawe kufutia nyeti ni kawaida na wazo jema..... Em bwana iman za watu na tamaduni zao ni vichekesho.
Naona we ***** umeamua kutukana watu ! nyie mnaokunya machakani huko kwenu ndo mnaaribu vyoo, mlipokuja mjini mkaona muige utamaduni wa kuchamba na karatasi, huku mkibaki na mavi !!. mnatusumbua kuvuruga mipango miji kwa kupenda kwenu kuishi na Mbuzi na Ng'ombe. Masaki na Ng'ombe wapi na wapi !
Last edited by Ally Kombo; 20th June 2012 at 17:14.
" Wala wewe huwaongoi vipofu na upotovu wao. Huwasikilizishi ila wanao ziamini Aya zetu. Hao ndio Waislaam, walio nyenyekea. Q: Ar'rahman: 53.
Re: Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
By ally kombo
Naona we ***** umeamua kutukana watu ! nyie mnaokunya machakani huko kwenu ndo mnaaribu vyoo, mlipokuja mjini mkaona muige utamaduni wa kuchamba na karatasi, huku mkibaki na mavi !!. mnatusumbua kuvuruga mipango miji kwa kupenda kwenu kuishi na Mbuzi na Ng'ombe. Masaki na Ng'ombe wapi na wapi !
Acha utoto wewe, kunya machakani kabila gani afrika halina ndugu wanakunya huko?zenji wenyewe wanakunya baharini na machakani karibu nusu yao. we sayansi yako umeisoma wapi?we jiwe litafanya nini karatasi halifanyi?Zaidi zaidi jiwe linaleta mikwaruzo na halina absoption properties za karatasi.pia unajua magonjwa yanayoweza patikana ktk mawe?Kwanza karatasi ni disposable ,mawe yataingiaje ktk choo cha kisasa?au wewe ndio mmojawapo ya wanaojaza mawe chooni?Je unajuwa hayo mawe yanaweza kuwa yametumika na watu wangapi wanayoyakuta kama wewe? Unashangaa kuishi na ng`ombe, mbona masai wanwashangaa wazanzibara kutnya baharini, na baadaye uchafu kurudishwa beach na mawimbi.Nani wa kumcheka mwenzie.? Kwa hiyo ukatuambia hayo maeneo yako yana sugu sana?Hongera mkubwa upo nyumba ya maendeleo na sayansi.
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Re: Al-Shabaab watoa ngamia 10 kwa 'atakayemfichua' Obama
By mpayukaji
Kundi la kigaidi la Al-Shabaab limeanza kuishiwa hata uwezo wa kufikiri. Baada ya Marekani kutoa pesa kwa atakayefichua walipo viongozi wa kundi hili, eti nao wamejibu kwa kusema eti atakayefichua maficho ya rais wa Marekani, Barack Obama, atapewa ngamia 10 wakati wakijua fika anakoishi!
Kama hawajui ni kwamba anaishi White House. Hivyo basi nawashauri Al Shabaab wanipe zawadi angu. Kuongeza chumvi na dharau wamesema eti atakayefichua maficho ya Hilary Clinton atapewa kuku 20. Je huku ni kuishiwa kiakili au kutafuta umaarufu?
Si ndio Uwezo wao kutowa Ngamia 10 na kuku 20 atakaye weza kumfichuwa Obama na Hillary Clinton ni kawaida tu wache na wao waseme wanavyotaka..... Mkuu mpayukaji
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Follow Us Here