Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi...
7 Reactions
22 Replies
860 Views
Wanajukwaa Habari za Jioni, Naombeni msaada wenu ili niweze kutumia WhatsApp Account yangu ambayo imefungiwa na WHATSAPP team kwa Sababu ya ku violate Terms za services zao. Nikiri tu nimekuwa...
4 Reactions
89 Replies
3K Views
Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status. Nikiwa nimeingia sehemu ya...
11 Reactions
21 Replies
853 Views
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu .... But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa...
1 Reactions
13 Replies
152 Views
Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa...
20 Reactions
51 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
3 Reactions
21 Replies
633 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
502K Replies
27M Views

FORUM STATS

Threads
1,837,665
Posts
49,110,348
Members
662,951
Latest member
Bad Guys
Back
Top Bottom