JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

  Report Post
  Page 3 of 11 FirstFirst 12345 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 205
  1. #1
   jogi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th September 2010
   Posts : 6,995
   Rep Power : 85902745
   Likes Received
   2118
   Likes Given
   270

   Default BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

   kwa kuwa watanzania tumekuwa tukiishi kwa amani na upendo, jambo ambalo limekoleza thamani ya udugu wetu, umefika wakati tuionyeshe dunia kuwa hatuogopani wala kutishana tunapotakiwa kupiga kura kuamua mustakabali wa jambo letu kubwa na nyeti kabisa.

   kama bunge la katiba linakusudia kutumia mfumo huu wa kupiga kura ya wazi, kwa nini wananchi nasi tusipewe fursa kama hii kwa jambo hilihili la katiba.

   pinga kwa hoja, unga mkono kwa hoja pia.
   MagettaJM likes this.


  2. Wikiliki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2010
   Posts : 360
   Rep Power : 610
   Likes Received
   79
   Likes Given
   4

   Default Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Akichangia katika mjadala wa kupitisha kanuni za bunge la katiba amesema kura zie za siri ili wajumbe waondoke katika bunge baada ya kmaliza kazi wakiwa wamoja kwani kura za wazi huweza kuleta mfarakano baada ya kuonyesha msimamo yao. Ninamshukuru kiongozi huyu wa kiroho kwa kupinga unafiki hii wa CCM.
   August, Timtim, mkuzi and 1 others like this.

  3. Gogo la choo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2012
   Posts : 692
   Rep Power : 988
   Likes Received
   270
   Likes Given
   307

   Default re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Safi Shekhe kwa maoni mazuri ya kuwaumbua hawa wanafiki wetu..
   mkuzi likes this.
   Tanzania ilipo sasa kiuchumi Marekani ilikuwepo mwaka 1841..by Peter Msigwa..

  4. qn of sheba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th September 2011
   Posts : 3,193
   Rep Power : 59563
   Likes Received
   1194
   Likes Given
   1196

   Default re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Maoni mazuri
   mkuzi and ADAMU. like this.
   "Bahili hawi mkarimu"

  5. Jorojik's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 898
   Rep Power : 612
   Likes Received
   314
   Likes Given
   322

   Default Re: Mtikila is coming out bungeni dak.5 zijazo

   Quote By CANIMITO View Post
   Mungu waongoze "wala posho" hitimisho liwe KURA YA SIRI.....

   Kwa faida ya umma wa wanyonge na tuseme amina.

  6. sem2708's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 1,951
   Rep Power : 94228
   Likes Received
   524
   Likes Given
   666

   Default Re: Mtikila is coming out bungeni dak.5 zijazo

   Quote By Makupa View Post
   Mtikila anapenda kuropoka sana
   hakuzidi wewe
   If your definition of a friend is some one who dies for you,then you dont have one


  7. Haki sawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd October 2007
   Posts : 4,331
   Rep Power : 89487224
   Likes Received
   2339
   Likes Given
   90

   Default re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Ameongea vizuri sana kama kiongozi wa dini kwani amesema wazi kuwa vazi la Kanzu linapaswa kuwa sehemu ya mavazi rasmi ya wajumbe , kuhusu kura kaweka wazi kuwa itaondoa lawama na kujenga makundi.
   August, mkuzi and ADAMU. like this.

  8. #47
   jogi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th September 2010
   Posts : 6,995
   Rep Power : 85902745
   Likes Received
   2118
   Likes Given
   270

   Default

   Quote By msocrates View Post
   hivi wewe huu uwazi wa ccm umeanza lini?, uwazi huu ulitakiwa kuanzia kwenye mikataba mibovu, kashifa ya EPA na kufichwa kwa balali, kashifa ya richmond, watu wanaohusika na kukata kucha za watu, wizi wa fedha za umma n.k., usikurupuke na kufikiri wananchi hatukumbuki haya yote, tunayajua na tunajua siku moja lazima yapate majibu. harafu wewe hujui kitu kaa utulie, angalia na ujifunze. lengo la ccm ni kutaka kuwadhibiti wale wote walioteuliwa na ccm ikiwemo wabunge wake ili watekeleze matakwa ya ccm na sio matakwa ya watanzania. kama unakumbuka vizuri tuliambiwa kuwa wale wote waliokuwa wanarudisha fedha za EPA wangekamatwa baada ya kurudisha, wako wapi?. hii ndiyo serikali pekee duniani ambayo mwizi anaombwa na kubembelezwa arudishe fedha za umma na kusamehewa.
   Mkuu huwa wanapiga bao kwenye kuhesabu/kujumlisha kura, pia huwahonga mawakala wa vyama vya upinzani ili watwist matokeo kwa faida kuwa kwao, tukipanga foleni kwa maana ya kupiga kura kwa wazi, ccm haifiki saa tano asubuhi haitakuwepo kwenye madaraka. huo ndio uzuri wa upande wa pili wa jambo wanalolitaka hawa ccm.
   Mimibaba and Chungurumbira like this.

  9. CANIMITO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2013
   Posts : 650
   Rep Power : 556
   Likes Received
   202
   Likes Given
   453

   Default re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Shekhe ameonyesha the best approach ever ndani ya bunge. Very brief na ana hoja nzuri.

  10. Hon. Aikambe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2013
   Posts : 447
   Rep Power : 510
   Likes Received
   70
   Likes Given
   8

   Default Re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   safi sheikh, huo ndo maamuzi ya kiungwana, ccm kwisha habari yenu nyambafu zaoooooo woteeeee wenye nia chafu za kishetani,, kule kalenga napata taarifa zomeazomea imeshaanza mwigulu ulimi umetoka njee kama mbwa wa mtaani mwenye kiu kali ya maji
   August likes this.

  11. Petro E. Mselewa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2012
   Location : Kibaha,Pwani/Kino,Dar
   Posts : 3,422
   Rep Power : 85901904
   Likes Received
   2968
   Likes Given
   565

   Default Re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Safi sana Sheikh Kundecha. In you, we rest our hope Sir!
   August likes this.
   LL.B.(Hons.),LL.M (Dar), PGDL (LST)

   Huru hasa!

  12. OKW BOBAN SUNZU's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 24th August 2011
   Posts : 11,298
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3508
   Likes Given
   998

   Default Re: Mtikila is coming out bungeni dak.5 zijazo

   Paulina Gegul ameongea vyema,kina Kinana wametunga katiba wajumbe maCCM hawawezi kuwa huru.

  13. #52
   mkuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2013
   Posts : 836
   Rep Power : 588
   Likes Received
   267
   Likes Given
   301

   Default Re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   safiii nzuriiiiii

  14. ADAMU.'s Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th January 2014
   Posts : 201
   Rep Power : 417
   Likes Received
   65
   Likes Given
   23

   Default Re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   maoni mazuri.

  15. Kisima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2010
   Posts : 2,035
   Rep Power : 85901569
   Likes Received
   656
   Likes Given
   227

   Default Re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Naunga mkono hoja ila kwa siri siyo kama inavyotaka miCCM mizee ya NDiyoooooo!!

  16. Mkalibari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2012
   Posts : 502
   Rep Power : 3212
   Likes Received
   191
   Likes Given
   329

   Default Re: Mtikila is coming out bungeni dak.5 zijazo

   Quote By OKW BOBAN SUNZU View Post
   Ustaadh Kundecha katisha sana aisee.mtu mstaarabu
   Ktk watu wachache walio ongea kwa utaalam wa ali ya juu,huyu kwangu yumo...pia na mtikila
   August likes this.
   "we have a lot more to act than to talk"

  17. kabanga's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : Kisarawe
   Posts : 21,440
   Rep Power : 429501204
   Likes Received
   7179
   Likes Given
   1482

   Default Re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   hii itakokesha unafiki wa sisiemu....

  18. think3r91's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2013
   Location : ubungo, tanzania
   Posts : 314
   Rep Power : 547
   Likes Received
   72
   Likes Given
   310

   Default Re: Mtikila is coming out bungeni dak.5 zijazo

   Quote By SaidSabke View Post
   Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye
   Kama babu Slaa vile? teh teh sorry turudi kwenye mada

  19. VOICE OF MTWARA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 2,386
   Rep Power : 910
   Likes Received
   560
   Likes Given
   475

   Default Re: Mtikila is coming out bungeni dak.5 zijazo

   umejuaje kama amechanganyikiwa ikiwa haujamsikiliza?


   Quote By SaidSabke View Post
   Mtikila nimchungaji aliyechanganyikiwa yeyote anayemsikiliza inawezekana naye amechanganyikiwa kama yeye
   Love the life you live, Live the life you love - Robert Nesta Marley

  20. OKW BOBAN SUNZU's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 24th August 2011
   Posts : 11,298
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3508
   Likes Given
   998

   Default Re: Mtikila is coming out bungeni dak.5 zijazo

   Esta Bulaya utatimuliwa shauri yako,

  21. BINARY NO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2011
   Posts : 1,193
   Rep Power : 722
   Likes Received
   377
   Likes Given
   73

   Default Re: Sheikh kundecha "kura bungeni iwe ya siri"

   Dah! sikudhani km huyu mwanaharakati angeweza kulishawishi bunge hadi kupigiwa makofi na BUNGE kuhusu jinsi alivyotoa mfano wa maumbile ya binadamu na mwisho kuelezea kura ya siri jinsi inavyoweza kuliokoa taifa na ata MCH Mtikila nae hakua nyuma japo hakushangiliwa lakini mantiki yake ni kua demokrasia ya kweli ni usiri wa kupiga kura hivyo na kutetea hoja yake ya kura ya siri....Apa utaona wanaounga mkono kura ya wazi yani zile "ndiiiiioooooooooooooooooooooo oo" ni wa mlengo wa CCM ambao huwanyima haki wabunge wao pale watakapoenda kinyume na viongozi wao wakuu...


  Page 3 of 11 FirstFirst 12345 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 46
   Last Post: 18th February 2014, 18:52
  2. Kikwete: Wajumbe Bunge la Katiba kutangazwa leo, kesho
   By Kakke in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 3rd February 2014, 21:09
  3. Nafasi za kazi leo tarehe 13 january 2014
   By makongoromusa in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 0
   Last Post: 13th January 2014, 14:00
  4. Yanayojiri: Leo Tarehe 11/12/2013. Bungeni Dodoma
   By kiwatengu in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 53
   Last Post: 11th December 2013, 20:25

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...