JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 57
  1. Mtamile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Location : isole
   Posts : 2,300
   Rep Power : 951
   Likes Received
   883
   Likes Given
   190

   Default Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Kupitia ukurasa wake facebook Mtatiro amesema hivi

   Julius S. Mtatiro
   NCHI HII ITAMALIZWA;
   Tunafahamu kuwa kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la
   katiba ati waongezewe fedha zaidi.
   Hoja hii imetolewa leo hii na mmoja wa wajumbe huku ikionekana
   kuwa maarufu na inayoungwa mkono na baadhi ya wajumbe, hasa
   wabunge wa CCM.
   Binafsi na wenzangu wengi tumepanga kutumia kila uwezo kuzuia
   nia hiyo OVU, ifikie wakati tuambiane ukweli vinginevyo nchi hii
   watu watakufa masikini.
   Shilingi laki tatu tunazopewa kwa siku zinatosha kabisa, ambaye
   hazimtoshi aongeze za kwake, na ambaye anaona hawezi kuongeza
   zake aondoke Dodoma ili kupisha wanaoweza kutunga katiba kwa
   posho ya shs 300,000 waendelee.
   Laki tatu tunazopata zinatosha kila kitu na CHENJI inabaki, zinatosha
   kula, kulala, kumpa dereva na kuishi Dodoma.
   Lazima sisi tunaotunga katiba tufahamu kuwa maisha ya wananchi
   ni muhimu na kwamba wana mahitaji yasiyokwisha hata baada ya
   bunge hili.
   Baadhi yetu tulioko humu bungeni tutakataa jambo hili kwa
   maneno na vitendo. Wakipitisha kwa wingi wao tuta-boycott
   kuzipokea.
   Kenya pale mnakumbuka hoja ya wabunge kujiongezea mapesa
   ilipingwa vikali na wananchi waliandamana hadi nje ya ukumbi wa
   bunge. Hapa Tanzania hata zikiongezwa milioni kila siku hutaona
   mwananchi anachukua hatua kwa vitendo, kuoneshwa
   kutoridhishwa kwake.
   Tuna tatizo kubwa sana, sisi viongozi na wananchi wetu. Kuna mtu
   anasema, viongozi ni zao la jamii hiyohiyo.
   Tuungane pamoja kusimamia jambo hili, ninyi mlioko nje na sisi
   tulioko ndani.
   SOURCE: Mtatiro Facebook
   Sikonge, kajima, Msingida and 3 others like this.


  2. betlehem's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th May 2012
   Location : Around the World
   Posts : 5,542
   Rep Power : 78057
   Likes Received
   2714
   Likes Given
   2639

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   ambaye ni Mzalendo naamuunge mkono zitto,ispokuwa wajumbe ambao si wabunge

  3. lutamyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th April 2011
   Posts : 511
   Rep Power : 669
   Likes Received
   106
   Likes Given
   360

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Mambo mengi ya ajabu ajabu yamebaki kutokea Tannganyika pekee! Wanaona Watanzania watawafanya nini? Kama kuiba wanaiba mchana kweupe hakuna wakuchukua hatua, kama kuua wako tayari tena mchana kweupe nani atasimamia haki Tanganyika ilihali wananji pamoja na hao wanaoijifanya ni wenye nuru(wasomi) akili zao zimejaa giza. Hata wakipewa milioni kwa siku hakuna atakaye thubutu kuiacha wala atakayelamika wala kuchukua hatua. Hii ni nchi ya Mazombi hata awe nani bado ni zombie tu.
   OLE WAO WANAOONEKANA KWA WATU KUWA NI WENYE HAKI BALI NDANI WAMEJAA UNAFIKI NA MAASI (Mathayo 23:27-28)

  4. Mtamile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Location : isole
   Posts : 2,300
   Rep Power : 951
   Likes Received
   883
   Likes Given
   190

   Default

   Quote By Horseshoe Arch View Post
   Yes mimi nipo namsikiliza bwana Idd Azan kila siku ngoja ateleze kisha arudi kitaa, labda aishie kwao huko Magomeni ila kinondoni asikatize....
   Afadhari una uwezo wa kumpata hata mbunge wako mimi huyu Ngeleja hata akitoka Dodoma anaishia Kimara huku Sengerema unadhani nitampataje

  5. #24
   Bufa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st March 2012
   Posts : 1,329
   Rep Power : 722
   Likes Received
   552
   Likes Given
   669

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Aache mbwembwe achukue hela hiyo. Hamna chochote kitakachobadilika aidha wakiongezewa au kupunguziwa hizo posho

   Maisha ni hayahaya, mimi kwanza wengine baadaye
   Bufa

  6. mcubic's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : Nyumbani
   Posts : 2,562
   Rep Power : 17396796
   Likes Received
   759
   Likes Given
   301

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Najua tu kuwa kuna mijumbe mingine imefuata posho tu
   "Kitisho kikuu cha uhuru ni kukosekana kwa ukosoaji"-Profesa Wole Soyinka


  7. #26
   Mundu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2008
   Posts : 2,560
   Rep Power : 1660
   Likes Received
   547
   Likes Given
   61

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Quote By mwa 4 View Post
   .............Laki tatu tunazopata zinatosha kila kitu na CHENJI inabaki, zinatosha
   kula, kulala, kumpa dereva na kuishi Dodoma................

   Yaani nimecheka kweli hapo. Huyu huyu Mtatiro nimjuaye ameenda na dereva huko? Aseme ukweli bana. Yeye ameenda na nyumba ndogo na kila mtu aliyepo huko anajua

   Simamia hoja bwana/Bibi mkubwa...acha blah blah!
   Mswahili jambo la kipumbavu likisemwa kizungu, anaona sawasawa kabisa!! J.K.Nyerere

  8. mkulu katimba's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd January 2014
   Posts : 28
   Rep Power : 367
   Likes Received
   6
   Likes Given
   222

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Hivi kwenye rasimu ya katiba kulikuwa na kipengere kinachomtia hatian kiongoz alovurunda mara baada ya kumaliza muhula wake?

  9. #28
   mecy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2012
   Location : dar es salam
   Posts : 413
   Rep Power : 524
   Likes Received
   58
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By mwa 4 View Post
   Ni kigezo gani mtatizo ametumia kuridhika na laki tatu? mbona hajakataa kiasi hicho kama alivyofanya ZITTO kama kweli ana uchungu na nchi hii?
   wewe wamfuata zito,yeye alikataa posho akijua anapewa fedha na maccm ya kukisaliti chama chake.

  10. kibaravumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 1,812
   Rep Power : 35175
   Likes Received
   528
   Likes Given
   20

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Mkuu Mtatiro,amesema kweli lakini wananchi Watanzania hawawezi kufanya kama Kenya hata ikipitishwa posho ya Milioni moja kwa siku kwani unaweza kuishia kujeruhiwa na mabomu na kubambikwa kesi ya ugaidi wa kutaka kulipua bunge tukufu!

   Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

  11. Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 24,963
   Rep Power : 324001224
   Likes Received
   14450
   Likes Given
   10662

   Default

   Quote By kababu View Post
   unajitafutia umaarufu kwenywe posho, hama kwanza cuf maana haikufai, njoo kwa makamanda
   Kwahiyo unataka Watanzania wote wawe Chadema? haya Shibuda mnaye huko Chadema ana uthubutu wa kuongea haya kwa njaa aliyonayo?

  12. mwanamakambako's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd January 2014
   Posts : 783
   Rep Power : 521
   Likes Received
   117
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By mwa 4 View Post
   Ni kigezo gani mtatizo ametumia kuridhika na laki tatu? mbona hajakataa kiasi hicho kama alivyofanya ZITTO kama kweli ana uchungu na nchi hii?
   Aliyekwambia Zitto hachukui posho ni nani, hakuna mbunge asiyechukua posho, zitto ni mnafiki tu, na msaliti mkubwa, huyo Mtatilu naye ni mnafiki tu hana lolote, kwanza nafasi ya vyama kutoa wajumbe zilikuwa mbili, imekuaje yeye na Lipumba waende wote, na wote ni wa bara, anafikili tumesahau kuwa yeye na ccm ni kitu kimoja, aache unafiki.

  13. Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 24,963
   Rep Power : 324001224
   Likes Received
   14450
   Likes Given
   10662

   Default

   Quote By mwanamakambako View Post
   Aliyekwambia Zitto hachukui posho ni nani, hakuna mbunge asiyechukua posho, zitto ni mnafiki tu, na msaliti mkubwa, huyo Mtatilu naye ni mnafiki tu hana lolote, kwanza nafasi ya vyama kutoa wajumbe zilikuwa mbili, imekuaje yeye na Lipumba waende wote, na wote ni wa bara, anafikili tumesahau kuwa yeye na ccm ni kitu kimoja, aache unafiki.
   Mpunguze kuropoka kama huna uelewa na kile unachoandika, Mtatiro hakwenda bungeni kwa tiketi ya Cuf, wacha kukurupuka.

  14. Jahman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th December 2011
   Posts : 300
   Rep Power : 531
   Likes Received
   94
   Likes Given
   50

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Quote By andybird314 View Post
   Kwani wakiongeza utaacha kuichukua?
   Akili za kushikiwa bana,na mtatiro ameeleza hilo wabongo hata tufanyejwe utaona reaction zetu ndiyo kama zako,halafu babaako anajisifu mtaani kapeleka mtoto shule.

  15. DALLAI LAMA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st January 2012
   Posts : 6,505
   Rep Power : 23104569
   Likes Received
   1292
   Likes Given
   0

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Mtatito ana hoja ya msingi ila kule CUF hapamfai.

  16. Songambele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2007
   Posts : 1,324
   Rep Power : 953
   Likes Received
   197
   Likes Given
   474

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Mbona vituko wajumbe baada ya kukomaa kufanya kazi iliyowapeleka wanatafuta media attention tena, Mtatiro na wenzako fanyeni kazi iliyowapeleka huko
   You can't fight ignorance with knowledge!

  17. Makaro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2013
   Posts : 553
   Rep Power : 73143850
   Likes Received
   116
   Likes Given
   12

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Quote By Mtamile View Post
   mkuu unataka kuwacharaza viboko kama vya shuleni kabisaa? kama ndo hivyo mimi nitamshughulikia mbunge wangu Ngeleja
   Hivi yule DC aliyewacharanga waalimu viboko hayumo kwenye hili bunge....Anahitajika sana
   BABA MUISLAM, MAMA MKRISTO, NIMEOA CATHOLIC, KUTOKA KUSINI....TUKATAE UDINI, UKANDA

  18. Magimbi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2011
   Posts : 323
   Rep Power : 544
   Likes Received
   119
   Likes Given
   44

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   Na mkiandamana basi wanawageukia walalahoi wenzetu (POLISI) watupige mabomu na kumwaga maji ya kuwasha mwiliniii!!Hahaa hahaaa Bongo bhana alafu wenyewe hata senti tano haiongezwi lakini na wenyewe wananruhusiwa kuwaibia na kuwadhulumu wananchi walalahoi wenzao!! Hasira zisipoisha watawatafuta kina CDM wawatandikee kufidia ile posho waliopewa wabunge na mawaziri wa Chama chetu!!

  19. nyabhingi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2010
   Posts : 7,370
   Rep Power : 122985831
   Likes Received
   2676
   Likes Given
   3498

   Default

   Quote By mwa 4 View Post
   Ni kigezo gani mtatizo ametumia kuridhika na laki tatu? mbona hajakataa kiasi hicho kama alivyofanya ZITTO kama kweli ana uchungu na nchi hii?
   zitto mbunge wa mahakama kakataa lini posho hii ya laki tatu?hata ile ya sitting alikuwa anaikataa kumbe alikuwa anachukua za tiss kwenye briefcase nyekundu na rushwa za mashirika ya umma,usitutajie msaliti humu.

  20. swagazetu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2013
   Posts : 1,666
   Rep Power : 621473
   Likes Received
   370
   Likes Given
   76

   Default Re: Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

   mengine tena!mhhhh
   having seen dictatorship rise in other country,we should be foolish to say it can't happen here BUT the price of liberty is eternal vigilance.

  21. Mtamile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Location : isole
   Posts : 2,300
   Rep Power : 951
   Likes Received
   883
   Likes Given
   190

   Default

   Quote By Matola View Post
   Kwahiyo unataka Watanzania wote wawe Chadema? haya Shibuda mnaye huko Chadema ana uthubutu wa kuongea haya kwa njaa aliyonayo?
   Siyo Shibuda tuu hata Godbless J Lema. hawezi kukataa posho hata ingekuwa milioni moja


  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Wajumbe wa Bunge la katiba kutangazwa kesho
   By twijuke in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 12
   Last Post: 6th February 2014, 21:25
  2. Tetesi: Kundi lateua Wajumbe wa Bunge wa Katiba
   By KITANGE in forum KATIBA Mpya
   Replies: 4
   Last Post: 7th January 2014, 05:48
  3. Ikulu yatangaza kupokea majina ya wajumbe wa Bunge la Katiba
   By Mwana Mpotevu in forum KATIBA Mpya
   Replies: 14
   Last Post: 31st December 2013, 21:09
  4. Replies: 13
   Last Post: 19th October 2013, 02:58

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...