Show/Hide This

  Topic: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 63
  1. Peter jaluo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2013
   Posts : 1,745
   Rep Power : 713
   Likes Received
   229
   Likes Given
   1

   Default Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Katika Bunge hili la Katiba spika atakuwa Anne Makinda na Bdugai au watachagua spika mwingine?

   Mwenye kujua atujuze.

   Kazi kwenu JF


  2. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,188
   Rep Power : 1411
   Likes Received
   871
   Likes Given
   1107

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Quote By Mama Mdogo View Post
   Nina maana kuwa Spika akitoka Zanzibar, Naibu atoke Bara; Spika akiwa Mwanamke, Naibu awe Mwanamme; na Spika akiwa Mwislamu, Naibu awe Mkristo. Ni mambo ya kubalance kama ambavyo Rais wetu Mhe Kikwete huwa anajitahidi kutosheleza wakati anaunda baraza ya Mawaziri, jee nimesomeka???!!!
   umesikika vema mdada.
   i am sure the creator of the universe is the perfect mathematician

  3. zamlock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th July 2012
   Posts : 2,340
   Rep Power : 900
   Likes Received
   447
   Likes Given
   0

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   WatAjua wenyewe

  4. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 11,327
   Rep Power : 118915989
   Likes Received
   3076
   Likes Given
   1888

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   inasemakana atakuwa kingunge

  5. The Fixer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Location : Tabata Segerea
   Posts : 1,271
   Rep Power : 975
   Likes Received
   442
   Likes Given
   1399

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Spika ni Samwel Sitta nimetaarifiwa rasmi muda huu !
   ”A leader takes people where they want to go. A great leader takes people where they don’t necessarily want to go, but ought to be.”Breaking Newzer,008

  6. maona's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd January 2012
   Posts : 16
   Rep Power : 464
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Mh.SAMWEL SITTA,NAIBU WA SPIKA AWE MWANAMKE ATOKE ZANZIBAR

  7. mambomoto's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th May 2011
   Posts : 227
   Rep Power : 556
   Likes Received
   148
   Likes Given
   0

   Default Nani spika wa bunge la katiba?

   Wadau hebu tujadili nani anafaa kuwa spika wa Bunge maalum la katiba linalotarajia kuanza hivi karibuni. Kwa mujibu wa shughuli hiyo wabunge watakapo kutana kazi ya kwanza itakuwa kuchagua spika jambo ambalo pia wanapaswa kuwa makini ili kupata mtu makini ili kuvusha shughuli hiyo salama. Hebu tujadili nani mwenye uwezo wa kukalia kiti hicho wadau.

  8. Ambiente Guru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2012
   Posts : 973
   Rep Power : 635
   Likes Received
   214
   Likes Given
   117

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Quote By MZIMU View Post
   ila ninacho kijua mimi katiba hii ikipita bila ya Kua na Mahakama ya Kadhi, ambayo katiba ya Kenya

   Then, Time will tell.

   Toba: Usishangae kwa nini watu wanapata zero darasani au DiV5 kwa Mulugo.

   Mbona hii si Mada ya mleta uzi??
   "No compromise on environmental integrity.
   &
   An empty mind is devil's workshop

  9. zimwimtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2012
   Posts : 930
   Rep Power : 1007
   Likes Received
   326
   Likes Given
   291

   Default nani kuwa speaker bunge la katiba?

   asalaam aleykum bhandugu,

   Nadhan kwa baadhi ya watu nitaonekana wa ajabu na mtu asiyefuatilia mambo, lakin kiukweli sijajua mpaka leo sheria ya katiba inasema nani atakuwa speaker wa bunge la katiba.

   naomba mnijuze tafadhali, kama atachaguliwa miongoni mwa wabunge, ataendelea yule wa bunge la tanzania au litajiendesha bila kiongozi!.. (the later sounds funny huh!..)

   naomba kuwasilisha.

  10. Dr. Msafiri's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th February 2011
   Posts : 92
   Rep Power : 525
   Likes Received
   14
   Likes Given
   1

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Spika - Samwel Sita!

  11. CHIJANYE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2011
   Posts : 306
   Rep Power : 8920
   Likes Received
   48
   Likes Given
   20

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Samwel Sita anatosha hata asipopata Naibu Spika

  12. Kipoporu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2013
   Posts : 320
   Rep Power : 456
   Likes Received
   71
   Likes Given
   33

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Quote By mathematics View Post
   heh heh sasa watakuwa jinsia gani ??
   MKUU ni JINSI siyo JINSIA

  13. #32
   MZIMU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Location : VIRGINIA
   Posts : 3,836
   Rep Power : 1368350
   Likes Received
   1267
   Likes Given
   3231

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Quote By Ambiente Guru View Post

   Toba: Usishangae kwa nini watu wanapata zero darasani au DiV5 kwa Mulugo.

   Mbona hii si Mada ya mleta uzi??
   Unakusudia DIV 5.
   Think big...........

  14. Kimbunga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Lyakanyasi
   Posts : 9,235
   Rep Power : 6738
   Likes Received
   4342
   Likes Given
   1280

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Quote By MZIMU View Post
   Watajua wenyewe, ila ninacho kijua mimi katiba hii ikipita bila ya Kua na Mahakama ya Kadhi, ambayo katiba ya Kenya nchi ambayo waislamu ni idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania, na wana Mahakama ya Kadhi kwa mujibu wa katiba hiyo, basi hakika kwa makusudi Kama Tume ya Jaji Joseph Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi ilivyofanya kudharau maoni ya kundi kubwa la nchi hii Waislamu, na Bunge hili nalo, litakua limeongeza Chumvi kwenye kidonda.

   Then, Time will tell.
   Hivi Mahakama ya Kadhi ipo kwenye Rasimu?

   Fedha ya Escrow ilikuwa kama pombe ya ngomani, kila mtu alikuwa anajichotea na kunywa bila utaratibu!

  15. korotambe's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 24th January 2014
   Posts : 8
   Rep Power : 355
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Hakuna mahakama ya kadhi kwenye rasimu...vitican nao wakidai wawemo humo... Ni her hilo halimo.

  16. hmjamii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2013
   Location : Mwanza
   Posts : 493
   Rep Power : 459
   Likes Received
   138
   Likes Given
   457

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Spika wa bunge la katiba atakuwa Zitto Kabwe kama atagombea au kupendekezwa.

  17. #36
   MZIMU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Location : VIRGINIA
   Posts : 3,836
   Rep Power : 1368350
   Likes Received
   1267
   Likes Given
   3231

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   Quote By Kimbunga View Post
   Hivi Mahakama ya Kadhi ipo kwenye Rasimu?

   Kwa makusudi, Jaji Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi wamaeamua kudharau maoni ya Waislamu walio wengi katika nchi hii kwa maslahi ambayo hakika sio yatakayo jenga amani katika nchi hii.

   Anyway, Wameshaambiwa kua, Rasimu sio katiba. Hoja zinaweza kuongongezwa, kubadilishwa na kufutwa ikibidi.

   Alichokifanya Mheshimiwa Rais, ni kile waswahili wanakiita, Mchawi mpe mwana alee, Ili akimuua hawezi kujificha.

   Waswahili wanasema, usipo uziba ufa, utajenga ukuta.

   Kwa sababu haiingii akilini kudharau maoni ya kundi kubwa kama hilo katika jamii, maoni ambayo viongozi wao wote wa kidini wameyatoa. Hebu jamani jaribuni kua rational kidogo tu hapa.
   Last edited by MZIMU; 12th February 2014 at 21:11.
   Think big...........

  18. mabadilikosasa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd December 2010
   Posts : 380
   Rep Power : 591
   Likes Received
   80
   Likes Given
   0

   Default Tumpendekeze SITA: Spika bunge maalum la Katiba

   Sita angefaa sana, kuongoza bunge maalum la katiba kwa busara na hekima zake nyingi alizonazo. Huu mzee mie namfagilia. ktk kipindi chake cha uspika alifanya kazi nzuri saana. hana upendeleo.
   mapinduzi daima likes this.

  19. #38
   tindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2011
   Posts : 1,055
   Rep Power : 686
   Likes Received
   583
   Likes Given
   145

   Default Re: Tumpendekeze SITA: Spika bunge maalum la Katiba

   Hii katiba nimeshaona kitakachoendelea ni katiba ya matwakwa ya CCM na wala sio matakwa ya wananchi. Hivyo wala tusipoteze muda kwani hakuna mabadiliko yoyote ya maana tutakayoyaona hata ikiwa Sitta au awe nani ili mradi anatoka CCM basi maamuzi atakayoyasimamia sio ya wananchi bali ya ccm.

  20. msaranga1's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th February 2013
   Posts : 42
   Rep Power : 409
   Likes Received
   24
   Likes Given
   1

   Default Re: Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

   chenge i guess! magamba lazima wamueke mtu anayejua sheria na uzoefu wa kutosha kupambana na opposition! YANA PALE NI KIBAKA LAZIMA AWE MZOEFU

  21. assadsyria3's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th April 2013
   Posts : 4,495
   Rep Power : 16761
   Likes Received
   598
   Likes Given
   256

   Default sita apigiwa chapuo uspika bunge la katiba

   mh sita na mzee wa vijisenti huenda wakachuana kutaka kuchaguliwa uspika habari zinadai mh sitta anaonekana kinara zaidi na anapigiwa chapuo na wengi ,bila huyu atasimamia maslahi ya wengi na kuwaambua ccm ambao hawataki serikali tatu wakti wananchi tunataka serikali tatu.
   nawakubali wabunge hawa.ZITO.LETICIA.SHIBUDA.ARFI .NASARI. wewe je?


  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 1
   Last Post: 7th February 2014, 14:18
  2. Mwenyekiti/Spika wa BUNGE la KATIBA MPYA NOVEMBER 2013
   By mshumbue-soi in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 20
   Last Post: 19th September 2013, 09:05
  3. Nani atakuwa wakala wa kura za maoni mchakato wa katiba mpya
   By saidi kindole in forum KATIBA Mpya
   Replies: 3
   Last Post: 29th August 2013, 13:06
  4. Replies: 0
   Last Post: 26th January 2013, 21:47
  5. Replies: 14
   Last Post: 3rd August 2011, 23:45

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...