JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Report Post
  Page 2 of 14 FirstFirst 1234 12 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 265
  1. Profesa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th October 2010
   Location : Anywhere in Africa
   Posts : 879
   Rep Power : 938
   Likes Received
   495
   Likes Given
   689

   Default BREAKING NEWS: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Hatimaye hii hapa wadau! Jisomeeni.
   Last edited by Profesa; 30th December 2013 at 21:24.
   Invisible, Recta, MC and 41 others like this.
   Education emerged out of knowledge gained by curious ignorant people! Learn to value Opinions even if they are from one who has not been in a formal education system like yours!


  2. Joshua Bukuru's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Posts : 66
   Rep Power : 538
   Likes Received
   20
   Likes Given
   1

   Default NAKALA: Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya Tanzania - download hapa

   Wadau,

   Pitia rasimu ya 2 ya katiba. Mimi sijaona mengi mapya tofauti na ile ya kwanza isipokuwa ibara kuongezeka kwenda 260 na ushee.
   Lakini inahitajika muda zaidi kuisoma na kuichambua ili kugundua mawazo ya mabaraza ya katiba.

   Naomba kuwasilisha

   Joshua Bukuru
   Brussels
   Attached Files
   Invisible likes this.

  3. Mkoroshokigoli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 9,757
   Rep Power : 96013624
   Likes Received
   2578
   Likes Given
   2298

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Quote By mwananchi View Post
   kifungu 60 (1) kimenipa raha tu na hizo ndizo zilikuwa ndoto zangu tanganyika hiyooooo
   jamhuri ya tanganyika
   'Kodi zetu kuleni ila mtuheshimu' Kimweri wa JF

  4. #23
   Nduka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2008
   Posts : 7,769
   Rep Power : 29758401
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   746

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Quote By Profesa View Post
   Tayari cheki editing zangu hapo mwanzo:

   CC: mapinduzi daima
   Nduka
   ameline
   Profesa asante sana mkuu, ngoja niangalie kama bado rais anateua teua
   I am super bad

  5. Mashaxizo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2013
   Posts : 6,700
   Rep Power : 81089822
   Likes Received
   3078
   Likes Given
   5333

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Dah! Ubarikiwe sana Profesa!
   if
   it smells like a fish eat as
   you wish!

  6. Bisansaba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th September 2013
   Location : Dar
   Posts : 310
   Rep Power : 462
   Likes Received
   97
   Likes Given
   72

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Quote By mcubic View Post
   mm nilidhani tayari umeshaweka kivuli laini.
   bila shaka ulikuwa unamaanisha nakala tepe.
   kajunjumele likes this.
   "Masikini huchukiwa hata na jirani yake; bali tajiri ana marafiki wengi" Mithali 14:20


  7. Tugutuke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 453
   Rep Power : 583
   Likes Received
   116
   Likes Given
   79

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   kazi ya M4c hiyo!
   Ngoja niipakue.
   "Vijana tugutuke"

  8. mrelbattawy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th March 2013
   Posts : 567
   Rep Power : 0
   Likes Received
   96
   Likes Given
   104

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Nimefurahi kuona sasa jina Tanzania Bara kwenye rasimu halipo sasa kuna neno Tanganyika., shabbash wamekwishaa

  9. mcubic's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : Nyumbani
   Posts : 3,900
   Rep Power : 17557450
   Likes Received
   1427
   Likes Given
   546

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Quote By Bisansaba View Post
   bila shaka ulikuwa unamaanisha nakala tepe.
   Khaswaa.....kiswahili nacho...ahsante mkuu
   "Kitisho kikuu cha uhuru ni kukosekana kwa ukosoaji"-Profesa Wole Soyinka

  10. sehama's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th December 2013
   Posts : 62
   Rep Power : 396
   Likes Received
   7
   Likes Given
   4

   Default Re: BREAKING NEWS: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Shukrani ngoja tuisome

  11. maige limbu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 23rd December 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   big up warioba for your work

  12. fnyoni's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Posts : 33
   Rep Power : 480
   Likes Received
   12
   Likes Given
   24

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Asante Prof. Nimeipitia, Nimeikubali, hope bunge la katiba litatenda haki na kukubali maoni ya Umma.

  13. waza_makubwa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th July 2012
   Location : Bukoba Kagera, Tanzania
   Posts : 116
   Rep Power : 483
   Likes Received
   21
   Likes Given
   50

   Default

   Quote By omben View Post
   Mbona inagoma kufunguka au haitaki kufunguka kwa kutumia cm


   hata kwangu naona imegoma, ngoja nikachek kwa pc

  14. NJUGHU's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 16th August 2013
   Location : Lake zone
   Posts : 190
   Rep Power : 441
   Likes Received
   60
   Likes Given
   90

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Mapinduzi hayo!

  15. #34
   Mvuni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2011
   Posts : 322
   Rep Power : 595
   Likes Received
   62
   Likes Given
   20

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Big up TANGANYIKA....

  16. Mkenazi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 123
   Rep Power : 549
   Likes Received
   42
   Likes Given
   16

   Default Re: Rasimu ya pili ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ya mwaka 2013 iliyotolewa tarehe 30

   Attachment in pdf format hii hapa
   Attached Files

  17. Mawingi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd October 2013
   Posts : 193
   Rep Power : 431
   Likes Received
   20
   Likes Given
   0

   Default msaada wa rasimu wadau

   tuwekeeni japo kwa ibala chache chache ili simu zisizo na uwezo ziweze kufungua ili tuisome na sisi

  18. mikiray's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th September 2013
   Posts : 46
   Rep Power : 406
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   mie nmetumia cm naisoma hapa

  19. Khawarizm's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 26th October 2013
   Posts : 205
   Rep Power : 434
   Likes Received
   225
   Likes Given
   192

   Default Re: BREAKING NEWS: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Quote By Mkoroshokigoli View Post
   Kwa sim inasumbua,labda utumie yenye uwezo wa kufungua pdf
   Download Olive Office on google store

  20. #39
   Mungi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 23rd September 2010
   Location : JF
   Posts : 16,519
   Rep Power : 201413657
   Likes Received
   8802
   Likes Given
   4868

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Kazi nzuri ya Jaji Warioba....................... kumbe walimwua Mvungi wa watu haijawasaidia
   God will not permit any troubles to come upon us, unless He has a specific plan by which great blessing can come out of the difficulty..

  21. #40
   Nduka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2008
   Posts : 7,769
   Rep Power : 29758401
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   746

   Default Re: Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

   Quote By Mungi View Post
   Kazi nzuri ya Jaji Warioba....................... kumbe walimwua Mvungi wa watu haijawasaidia
   Nasikia ushahidi anao Mbowe ila hautoi hadi tume ya kijaji iundwe.
   I am super bad


  Page 2 of 14 FirstFirst 1234 12 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 6
   Last Post: 14th February 2014, 12:10
  2. Replies: 0
   Last Post: 17th February 2013, 06:55
  3. Uvunjaji wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
   By Hekima Ufunuo in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 10
   Last Post: 19th January 2012, 14:14
  4. Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania
   By kilimasera in forum KATIBA Mpya
   Replies: 7
   Last Post: 23rd January 2011, 12:30

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...