JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kesho tarehe 21/08/2013, kamanda mbowe na timu yake watakua tukuyu-mbeya ktk viwanja vya tandale.

  Report Post
  Results 1 to 2 of 2
  1. #1
   Tky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2012
   Posts : 437
   Rep Power : 552
   Likes Received
   139
   Likes Given
   4

   Default Kesho tarehe 21/08/2013, kamanda mbowe na timu yake watakua tukuyu-mbeya ktk viwanja vya tandale.

   Salam wanajamv, wakaz wa Tukuyu mjni wilaya ya Rungwe munaarifiwa kuwa kesho Tarehe 21/08/2013. Kutakua na mkutano mkubwa wa CHAMA CHA DEMOKRASIA CHADEMA, Ktk viwanja vya Tandale-Tukuyu mjini, kuanzia saa nane mchana, nitajitahidi kuwapa updates na picha.


  2. fukujima's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th April 2013
   Posts : 108
   Rep Power : 457
   Likes Received
   36
   Likes Given
   8

   Default Re: Kesho tarehe 21/08/2013, kamanda mbowe na timu yake watakua tukuyu-mbeya ktk viwanja vya tandale

   Nadhani bado mawasiliano hayajawa vizuri: kesho muda huo atakuwa Sumbawanga Mjini: chopa inafanyiwa matengenezo madogo PALE KIGOMA kwa sasa. kwa hiyo ratiba imeingiliana kiasi. Jaribu kupata habari ya Uhakika zaidi.


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...