Mheshimiwa Jaji Warioba,
Tunakuomba usiwachagulie waTanzania nini cha kuongea katika kutoa maoni yao. Kwa nini hutaki madaraka ya rais yazungumzwe. Kama tulivyotabiri, you will never be impartial you being a staunch product of CCM from time immemorial!!! Actually matatizo yote iliyonayo Tanzania yanatokana na madaraka makubwa aliyonayo Rais ambaye huwe ku-question deeds zake at all levels. Watanzania , hapa hakuna katiba mpya kama mratibu mkuu anaaza kuwa na kauli hizi.

Reply With Quote

Follow Us Here