wakitoa maoni yao mbele ya tume ya katiba jana mkoa wa kusini Unguja, watu wengi waliotoa maoni yao wametaka kuwe na zamu katika kupokezana uraisi wa muungano na wametaka muungano uwe wa milele ila uboreshwe. chanzo gazeti la Zanzibar leo.
wakitoa maoni yao mbele ya tume ya katiba jana mkoa wa kusini Unguja, watu wengi waliotoa maoni yao wametaka kuwe na zamu katika kupokezana uraisi wa muungano na wametaka muungano uwe wa milele ila uboreshwe. chanzo gazeti la Zanzibar leo.
Kwa mana kama hamutaki au hayo hayatakubaliwa basi mjue ndio muungano unaenda zake na yako mengi makuu kuliko hilo na yote ni lazima yawemo vyenginevyo tugawane mbao.
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
Mara hawataki muungano, mara wanautaka!!? Kigeugeu.
Hiyo ni nzuri kwani siku Ccm wakimsimamisha Mznz ndio itakuwa mwisho wake
Zamu kwa maana ya kwamba na Sisi sasa tutaanza kuwa tunakwenda kuongoza Zanzibar kama wafanyavyo wao? Mara mwaka huu mtu agombee mkuranga mwaka ujao bububu! Kama na upande wetu itaruhusiwa basi ni vyema. Ila kama wazanzibar wanataka Urais then na sisi Wasukuma tutataka tuwe kwenye hiyo rosta. Tuko zaidi ya million 15 katika million 42. We deserve kwa kuwa kama watu m1 wanataka wawe considered kuwa na zamu ya urais bila kujali uwezo wa mtu then hata Jussa ataweza kupendekezwa aongoze JMT.
nafikiri wasioutaka ni wale waroho wa madaraka na vikaragosi vyao wanaouona muungano mi kikwazo kwao.
I HAVE SPOKEN
kwanini hawa watu hawavunji muungano? Mi nimechoka sasa
Viongozi wa Zanzibar wapungue kwenye central government kwani ni cancer tu
Safari hii mkitaka msitake Zanzibar itawapa somo la kihistoria ,Wanayoyataka Wazenji yapo uwanjani kama mtairudisha Tanganyika au mtaizika ,Zanzibar will remain forever and ever yaani hata dunia ikimalizika basi Zanzibar itakuwepo. Wenye wivu wajinyonge
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
Wazenji bado hawaelewi somo. Safari hii ni tofauti, hatutaki tumechoka.
Keeping quiet is a war crime.
Hii sasa ni kali ya mwaka, yaani chao chao na chetu chao? Sasa sisi tunabakia na nini? Kama ni hivyo basi na wabara wapate nafasi ya kuweza kutawala huko Zenji, lakini sio wao tuuuu.
Hayo si mawazo bali ni uzushi tu,wanzanzibar wamechoka kukandamizwa...inasemekana kuwa hakuna watu wanaolipa kodi kubwa Tz kama si wazanzibar..hii inawakera sana na hapa ndo yanakuja maamuzi ambayo...(to continue)
hawa wazanzibar wamezid kulalamika kwanza ata kwenye tume ya katba kuwa nao idadi sawa si haki..kila idara wanataka wapewe usawa..bot wanataka..hazina wanataka.. kila idara hawatuwape nchi yao tuu..ktk vtu nyerere alivyokosea nikutuunganisha na hawa jamaa kaz hawatak kila ktu kulalamika...
Follow Us Here