Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya Yakutana na Waandishi Zanzibar Leo

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      abdulahsaf's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2010
      Posts : 860
      Rep Power : 718
      Likes Received
      123
      Likes Given
      1

      Default Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya Yakutana na Waandishi Zanzibar Leo


      Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
      Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akitoa hotuba katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hio Agostino Ramadhan.




      Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar

      Mwandishi wa Habari Kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

      Mwandishi wa Habari Kutoka Gaazeti la Majira Mwajuma Juma akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

      Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akisisitiza jambo katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

      PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,725
      Rep Power : 2266
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya Yakutana na Waandishi Zanzibar Leo

      Hebu piga kura yako tuone tunahitaji katiba ngapi kupitiwa, na muundo wa muungano upi? http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...ba-ifuate.html
      Simple life is healthier than egoism.

    4. FemaTV & Radio

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...