Re: Katiba Mpya: Serekali za Majimbo Ziwepo, Zanzibar Tuachane Nayo- Tubaki na Tanganyika Yetu

By
eliceco
Mimi naungana kabisa na hoja yako, maana sasa JK amefeli kuongoza nchi, he has completed finished in leadership ethics to the maximum, hana mpya.Serikali ya majimbo ndio sululisho la matatizo. Kuhusu zanzibar, hawa jamaa tuachane nao kabisa huu muungano is a parasite kwetu watanganyika tunataka Tanganyika.
Serikali ya majimbo sawa .Muungano uimalishwe tuwe na serikali moja .Zanzibar iwe na majimbo mawili pemba na zanzibar yenyewe,Bara kuwe na majimbo kumi
Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja
Follow Us Here