Hatuna haja ya kubishana na mamlaka sana kuhusu katiba tunayoitaka ila la msingi ni kuomba KATIBA HIYO ITUACHIE UHURU WETU KATIKA DINI NA KUABUDU, bila kujali ni mamlaka ya nani/ipi/ kati ya watawala na wapinzani au umma imeamua katiba iweje.