Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 49 of 49
    1. #1
      Izack Mwanahapa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2011
      Location : Mwanza
      Posts : 314
      Rep Power : 472
      Likes Received
      129
      Likes Given
      96

      Default Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera).

      Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.

      Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.

    2. Miaka 50

    3. #41
      Emanuel Makofia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2010
      Location : B.O.T
      Posts : 3,435
      Rep Power : 1164
      Likes Received
      487
      Likes Given
      286

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Iliyobakia inamshinda halafu aongezewe! Katu hatokubali
      .....Chuma cha reli hakishiki kutu...

    4. #42
      MwanaFalsafa1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Posts : 5,452
      Rep Power : 9880
      Likes Received
      615
      Likes Given
      448

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      CCM walivyo na tamaa hawawezi muachia Kikwete aongezewe miaka miwili. Hao wanao utaka uraisi 2015 hawa wezi ruhusu. Kumbuka behind the doors kuna watu wenye nguvu sana kwa hiyo hoja hii kupita ni lazima makundi yote yakubali. Trust me when I say JK havuki 2015 na akijaribu ataishia kama Salmin Amour.

    5. #43
      Mtanzania1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2010
      Location : Kalenga, Liringa
      Posts : 981
      Rep Power : 622
      Likes Received
      124
      Likes Given
      94

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Sawa aongezewe.......ila tujiandae kwa dola moja kwa elfu 10 aki toka!

    6. #44
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,584
      Rep Power : 2553
      Likes Received
      2143
      Likes Given
      1862

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Mnataka hadi atutafute wanaume wa kutuoa? Hii ya Ukameruni haitoshi jamani? au hadi aruhusu tuolewe ndio mnavyotaka? No, I am not one of them!!! Yaaani pamoja na ----- wote huu kuna maboga yanafikiria kumuongea muda tena badala ya kuupunguza? Lahaula

    7. #45
      Indume Yene's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Chumbani
      Posts : 2,151
      Rep Power : 4954
      Likes Received
      334
      Likes Given
      312

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Kwa msemo wa Mwanakijiji, kuna watu wanapenda kucheza muziki hata kama muziki umefika mwisho wake. Ainiingii akilini Mbunge mwenye makende mawili akitembea nayo kwenye suruali yake anatoa hoja zisizokuwa na kichwa wala miguu. Huo ni ulevi tu wa wale ambao bongo zao zimelala huku zikiamini kuwa bado ni usiku wakati ni mchana kweupe.I feel sorry kwa constituents wa Mtera lakini hata hivyo walitumia demokrasia yao. Siwezi kuwalaumu ila nawasikitikia. JK hasijejidanganya hata kidogo ku-support huo ujinga wa Lusinde. Hapa si Uganda kwa Museveni, watanzania wamechoka na UBINAFSI na UFALME. Nafikiri Mbunge wa CUF (Hamad Rashid) aliyekuwa anaponda hoja ya Lissu kupinga Ufalme, sasa ni wakati wake kutambua ni nini Lissu alikuwa akimaanisha.


    8. #46
      rasmanyara's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th September 2011
      Location : Arusha
      Posts : 151
      Rep Power : 419
      Likes Received
      8
      Likes Given
      8

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Isiwe tz,labda zenji.bongo patawaka moto.hatakiwi na %kubwa ya tz.

    9. #47
      Mlosi K. Mtulutumbi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th October 2010
      Posts : 605
      Rep Power : 613
      Likes Received
      187
      Likes Given
      196

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Hivi admin wa Jamii Forums kuna mkakati wowote wa kuhakikisha haya tunayojadili hapa yanawafikia wahusika? Hamwezi kuwatumia copy? coz tusijekuwa tunaishia kupiga domo hapa..then hakuna wanachodadilika coz hawajui watz tunavyojisikia!
      Izack Mwanahapa likes this.

    10. #48
      Shiefl's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Posts : 131
      Rep Power : 460
      Likes Received
      30
      Likes Given
      0

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Tena wakome kutucheleweshea katiba yetu kwa kutuletea mambo ya kijinga hapa.

      Hakuna cha kibaraka. Kama ni vibaraka basi ni CCM ambao wanapokea helicopter za wapora madini wetu kama Barrick.Mmesahau helicopter tatu za Kj wakati wa kampeni 2010? Hawo ndio walimpeleka Balozi wao kwenda kuangalia hali ya hewa Dodoma. Waangalie sana maana tukijichafua hizi investments wananchi watajichukulia zao.

    11. #49
      DOUGLAS SALLU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2009
      Posts : 3,598
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      315
      Likes Given
      907

      Default Re: Kikwete kuongezewa miaka miwili?

      Huyu Lusinde alizaliwa bila kichwa yakafanyika mazingaombwe akawekewa dafu leo hii ni mbunge. Msishangae yeye kuipigia nazi debe,wana asili moja.

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    Similar Topics

    1. Miaka miwili inaisha lini?
      By Humphnicky in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 5
      Last Post: 31st May 2011, 09:40
    2. Haya ya miaka miwili tu JK ameyatekeleza?
      By Mwanamayu in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 5
      Last Post: 13th September 2010, 09:59
    3. Miaka Miwili Ya Kikwete.
      By Pasco in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 19
      Last Post: 31st October 2009, 17:56
    4. Miaka miwili baadaye...
      By Mzee Mwanakijiji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 11
      Last Post: 2nd March 2008, 14:09
    5. Miaka miwili Kikwete Ikulu, tumaini lililopotea
      By BAK in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 2
      Last Post: 16th December 2007, 22:40

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...