Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera).
Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.
Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.
kumbe hawa wanaharakati na wao pia wanaangalia matumbo yao pia na kutuingiza mkenge ngoja niangalia upya na kuzitafakari shughuli zao kabla ya kuingizwa choo cha kike.Nalog off
Lazima aongezewe. Binafsi bado ninawadai hela za kampeni nilizowakopa tangu 2005, akiongezewa nadhani wataweza kulipa deni.
Kama uliwakopesha hela za kampeni wakati wa uchaguzi imekula kwako. Na wao kama agenda yao ndiyo hiyo wanataka muda zaidi waweze kulipa madeni pia imekula kwao. Mmezoea kujikombakomba kwa watawala kwa ajili ya kulinda ufisadi wenu na kuiibia nchi hii. Sasa umekula hasara. Sasa hivi hata udai kwa machozi hutaambulia kitu kwa sababu serikali yenyewe mufilisi wanaishi kwa kukopa kwenye mabenki
Mie nimependa yule aliyeuliza "aongezewe muda kwani huu atamaliza?" Lakini hapo hapo nimekuwa nikijiuliza...kwa jinsi ambavyo CCM imepasuka vipande vipande, ni aibu kuwa mpaka sasa (MIMI) sijaona mtu aliye (STAND OUT) na kunifanya niamini kuwa huyo ndiye atakayempokea kijiti ****** ukiachia huyo Edoo ambaye ndio anavuma kila kona...Labda hao walioko kwenye Matibabu!
Naona kuna haja ya kuweka minimum requirement ya mtu kuwa Mbunge maana mtu kama huyu inanifanya nianze kumfuatilia hasa elimu yake.
Waache wamuongezee iyo 2 years akiwafia njiani watajua jamaa kweli kachoka kuongoza nchi yenye kila aina ya shida
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Hanipi shida Livingstone Lusinde ni kijana wa mtaani ameshinda sana kawe ukwamani akifanya shughuli zake kama MC ni mjinga wa kupindukia yeye na kijana mmoja hivi anaitwa azimio ni sifuri hao
Ndio faida ya mbunge aliyeatoka kupiga nyeto afu anakurupuka kutoa hoja bungeni.........
Kuna wakati alikuja na hoja ya wabunge wapimwe akili,leo kaja na ----- mwingine tena!Inawezekana ni huyuhuyu aliyedai siku moja bungeni milango ifungwe wachapane makonde!
Mwanahapa Isaack,nimefurahi sana Tosa boy wangu ulivyo kuwa makini ,kwani nia yako haijaanzia hapa tangu enzi za mwapinga,Fyudo na charwe ulikuwa kipaumbele katika haki,umeonge jema kaka,mpango wa maandamano vp?upo tayari kaka au?
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera), Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.
Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.
Acha woga wewe. Kila kitu wasi wasi tu.
Nchi inaongozwa na sheria sio matakwa ya watu au kikundi cha watu.
kumbe hawa wanaharakati na wao pia wanaangalia matumbo yao pia na kutuingiza mkenge ngoja niangalia upya na kuzitafakari shughuli zao kabla ya kuingizwa choo cha kike.Nalog off
Follow Us Here