Ndugu zangu wana JF,
Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Bw. Philemon Luhanjo alifikisha umri wa kustaafu tangu mwishoni mwa awamu ya kwanza (2005-2010) ya urais wa JK.
Kama hivyo ndivyo, mbona hadi sasa bado anaendelea na kazi? Au Rais ana mamlaka ya kikatiba ya kuamua KMK wake aendelee na kazi hata kama amefikisha umri wa kustaafu ilimradi tu anamwona anafaa? Tafadhali wana JF wenye ujuzi wa haya masuala ya utumishi wa umma wanifahamishe.
Kuna hoja tumewahi kumjadili ndani ya JF kwa kirefu HAPA

Reply With Quote

A compliment is something like a kiss through a veil
Follow Us Here