JK amteua pinda kuwa waziri mkuu na wabunge wanashangilia sana uteuzi huo.
JK amteua pinda kuwa waziri mkuu na wabunge wanashangilia sana uteuzi huo.
Hongear Sana Mzee Pinda Kazi Kubwa Mbele Yako Bunge Limamka Kumbuka Hilo::::::ujinga Hawataki Tena Wala Kuburuzwa Ukijua Hilo
Utaishi Maisha Mema Sana Na Kwa Kukusaidia Kumbuka Kusoma Jamboforums Kila Uamkapo Uone Nini Cha Kufanya Na Nani Watakuwa Wakkusaliti Ujue Wapi Pa Kuanzia...endelea Kuwa Serious Ila Usiwe Sana Wakaogopa.....
************hongera Sana **********
Jamani pamoja na haya yote, si kazi ya waziri mkuu kujenga bunge kwa sheria za Tanzania! bunge ni chombo kinachojitegemea nje ya serikali kuu na waziri mkuu ingawa ni mbunge lakini ni msimamizi wa serikali kuu bungeni - kazi ya kujenga bunge inaweza kujenga na wabunge wenyewe na spika "asiyekurupuka" kama .......
Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
mwenye picha yake atuwekeee
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
Watu bwana huwa kila wakati wanafanana na majina yao ,ndio maana huyu kasheshe anaandika kitu caha ajabu juu yangu .
Nini kinakufanya unione kuwa sijafurahia wewe Kasheshe? ama unafikiri kila mtu anapaswa kupiga makofi?
I am going to go on record for saying that I DO NOT SUPPORT the choice of Mizengo Pinda as the new Prime Minister, for the following reasons:
1) He is being cited as someone who is responsible and accountable? On what basis is he being given this credit? If we take a cursory look at his Ministry, TAMISEMI, how many cases of embezzlement, fraud and pilferage of public funds have there been in the Municipalities and District Councils all over Tanzania, with the perpetrators getting off with impunity?
2) More on TAMISEMI... a lot of public funds allocated towards the construction of schools, under the TASAF, MMEM programmes, which were diverted to non-existing municipality/district programmes, as a result, wananchi are being forced to fork out their meager funds out of pocket... the poor getting poorer...
3) There was a case where a very poor woman was forced to give birth at the office of a Ward Executive Officer, simply because she was under "custody" for having failed to pay her "contribution" towards the construction of secondary school classrooms... todate nothing has been heard about the woman, not even an apology or compensation has been given to her, for the traumatic experience she underwent... the Ward Executive Officer? Most certainly he/she is still in place...
So, what kind of responsibility or accountability are we talking about when we shower Pinda with those praises?
In my view, our President, Jakaya Kikwete, and his advisors, did not do their due dilligence on Mizengo Pinda... also, the very short time taken to choose a "valid" PM was not enough.
Hate me for my opinion, differ with me if you must, but we are headed for gloomier times...
No, I am not a fan of ANY CCM Members of Parliament, and I look at opposition MPs with a very careful magnifying glass...
But, at least, Laurence Masha could have been a valid candidate.
./Mwanahaki
Speaking Openly, without fear!
Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Wacha Wapongezane wanavyotaka, najua chombo kimoja ambacho hawawezi kukipongeza ni JF.
JF ni watumishi wa umma, hatuhitaji kupongezwa, tutaendelea kuwakoma Nyani Giladi.
Kura zinapigwa sasa na jumla ya wabunge waliopo ni 281.
Wasiwasi wangu ni pale anaposema alifanya kazi na fisadi CHENGE -hicho hadi sasa kimenistua sana mimi binafsi kwani nilikuwa sikijui.
Hongera Pinda kwa kupewa u EL.
Rukwa oyeee!
Chapa kazi mh,ili tupate kodi za kukulipa uwapo hapo kwa ofisi iliyokataa kuhojiwa na Kamati teule.
Naamini utamwambia sasa Maji ya Tanga Mzindakaya lile sakata la BOT ni kweli kulikuwa na upotevu wa mapesa.Na zile alizokusanya aturudishie
Na pia mh Paul Kimiti alisahauliwa na mtandao,neema ya uwaziri itamzukia angalau naye aanzishe Rich Rukwa.
Congrants
'Without unity, there is no future for Africa' J.K.Nyerere,1997,Accra Ghana.
Another "no threat" PM kama Sumaye.
The guy is shooting himself in the foot given half a chance, he invoked all the wrong people from Chenge, Mwinyi, Mkapa, Ngwilizi etc.I think his speech had "too much information"
Mkapa must be laughing out loud, the guy he thought couldnt be MP is now PM.
Spika anachemsha kichizi kwa kumpigia kampeni waziwazi.
At least he did not cringe in a chair like Sumaye.Lets wait and see.
kasheshe:::::::
usalama Ndio Pitishio La Pesa Za Epa Kaka,,,ndio Maana Wanaogopa Watu
bin Maryam:::::lisemwalo Lipo Na Kama Alipo Tyusubiri Walisema Lowassa Mwizi Awakusikia,,,,tumwombee Heri Na Kazi Kubwa
lolote Afanyalo Ajue Jf Iko Nyuma Yake Kama Yeye Usalama Wa Taifa
sisi Usalama Wa Wananchi
Spika anamteua SAID NKUMBA CCM NA FATUMA FEREJI CUF kwenda kuangalia zoezi la kuhesabu kura.
Hapa ni kuwa TISS wameshasema hakuna noma jamaa atashinda labda ndio maana wanamweka mwanama wa CUF kwenda kushuhudia zoezi la kuhesabu kura humo.
Tuendelee ...
Mtanzania,
Asante kwa kukumbushia hilo hapa! JF members wanafanya kazi bure bila kulipwa na mtu na vitu vingi vinaanzia hapa na kufika kwa wananchi......... ni vyema Lowasa ameondoka na usalama wa taifa na mzee wao wamechukua nchi sasa!
Tuombe Mungu yote yawe na mwisho mwema..... ila hakuna pongezi toka kwa mwafrika wa kike kwa uteuzi wa this guy ingawa hili pia halimaanishi kuwa ndio mwisho wa mapambano!
Kazi ndio imeanza hivyo na ni vizuri kama Kikwete na wenzake watabadili mwelekeo sasa.
Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
"Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.
Mwanahaki,
Ulichosema kinaweza kuwa kweli, jamaa anaonesha pia kuwa karibu sana na kina EL. JK nadhani ni vigumu sana kuchagua mtu from outside his circle.
Ila kwa kweli ni heri Pinda kuliko huyo Laurence Masha, sipingi ujana, ila twahitaji watu ambao atleast wana proven records na wasio wafanya biashara. Masha ni mfanya biashara kwa kuwa partner IMMA advocates, hilo hatuwezi kulipinga.
Mwana haki kumbe ulikuwa na wa kwako mfukoni....duhh mtandao bwana ----
Nasubiria matokeo nami nitawapa pindi yakitangazwa hapa ukumbini.
watanzania kwa kuchonga mwisho wa bara bara
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
Follow Us Here