Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

    Report Post
    Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 150
    1. #1
      Fareed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2010
      Posts : 328
      Rep Power : 563
      Likes Received
      123
      Likes Given
      19

      Default Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Ilikuwa ni siku ya Desemba 9, 2010. Tanzania ilikuwa inasherehekea miaka 49 ya Uhuru wa taifa. Baada ya kukagua gwaride Uwanja wa Taifa, Rais Jakaya Kikwete alifanya dhifa ya kitaifa Ikulu na kualika viongozi wa serikali, mabalozi, viongozi wa dini na wafanyabiashara wakuu.

      Waalikwa wote, walikuwa wanaingia Ikulu kupitia mlango wa nyuma ulio karibu na bahari upande wa ferry. Lango kuu la kuingia Ikulu lilikuwa halitumiki kwa wageni siku hiyo na lilitumiwa na Rais na viongozi wengine wakuu. Magari yote, ikiwemo ya mawaziri na mabalozi yalipaki nje ya Ikulu kwenye uwanja mkubwa ulio karibu na ferry na wageni waalikwa waliingia kwa mguu kwenye viwanja vya Ikulu.

      Mmoja wa wageni waalikwa mashuhuri wa Kikwete alikuwa ni Tanil Somaiya, mmiliki wa Shivacom Group of Companies.

      Wakati mawaziri na mabalozi waliambiwa na maafisa usalama Ikulu watumie mlango wa nyuma wa kuingia Ikulu na kutembea mpaka kwenye gardens ambako sherehe ilifanyika, Tanil alipewa heshima ya kipekee na kuruhusiwa kutumia main entrance gate.

      Tanil aliingia Ikulu na gari la kifahari jekundu (a red FERRARI) na kuipaki gari hiyo kwenye mlango mkuu wa kuingia IKULU ambako huwa gari la Rais ndipo linapaki.

      Aliiacha FERRARI hiyo hapo kwenye lango la kuingia Ikulu kwa zaidi ya masaa mawili huku akijimwaga kwenye dhifa.

      Mawaziri, mabalozi na vigogo wengine walibaki wamepigwa na butwaa iwaje wageni wote waambiwe waingie Ikulu kupitia mlango wa nyuma kwa mguu na kuacha magari yao nje halafu mfanyabiashara huyu apite main gate na kuweka gari lake kwenye main entrance ya lango kuu la kuingia Ikulu.

      Tanil ni rafiki wa karibu na business partner wa Shailesh Vithlani, mfanyabiashara ambaye amekimbia nchi kutokana na kashfa ya rada.

      Tanil, ambaye ametajwa kwenye WikiLeaks kuhusu rada, amehusishwa pamoja na Vithlani kwenye kashfa ya rada, military trucks, military choppers, Gulfstream presidential jet na scandal nyingine.

      Inaeleweka kuwa Tanil alimchangia pesa nyingi sana Kikwete kwenye uchaguzi wa Rais uliopita na pia alitoa helikopta zake zitumike kwenye kampeni ya CCM, lakini hii ndivyo Ikulu ya Mwalimu Julius Nyerere inavyodharauliwa siku hizi?

      Kwa kutumia main entrance na kupaki gari lake mbele ya lango kuu la Ikulu, Tanil alikuwa anataka kuwaonesha wageni wote kuwa yeye yuko karibu sana na Rais wa nchi na Ikulu ni kama nyumbani kwake.

      Mbaya zaidi, kufuru hii ilifanywa siku ambayo Tanzania inaadhimisha uhuru wake. Kuna uhuru kamili kweli kama watuhumiwa wakubwa wa ufisadi wanafanya kufuru namna hii mpaka IKULU?

      Unatarajia kweli Edward Hoseah wa PCCB anaweza kuondokana na uoga wa kumkamata Tanil kwa ufisadi wa rada wakati Rais wa nchi ni besti wake na Ikulu ni kama playground yake?
      Last edited by Fareed; 20th December 2010 at 17:25.


    2. #21
      EL+RA=UFISADI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th July 2010
      Posts : 56
      Rep Power : 474
      Likes Received
      6
      Likes Given
      3

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Quote By Kishongo View Post
      Hii ni story ya kutungwa.
      Hakikutokea kitu kama hiki, hata walinzi waliokuwa zamu siku hiyo wanashangaa mtu anaweza kuandika uongo kama huu.
      Hivi wewe unadhani walinzi haohao waliomruhusu fisadi huyu apaki gari lake mbele ya lango kuu la Ikulu wakati mawaziri wameambiwa waache magari nje ya ukuta wa Ikulu watakiri kosa? Kuna kigogo mmoja alikuwepo kwenye sherehe nimemuuliza baada ya kusoma hii taarifa amethibitisha kuwa ni kweli tukio hilo lilitokea. Wageni wote waalikwa walitembea kwa mguu kutoka geti la nyuma la Ikulu mpaka kwenye gardens mbele ya mlango wa kuingia Ikulu na walikumbana na hiyo red Ferrari kwenye lango kuu la Ikulu! Hebu ulizeni watu waliokuwepo kwenye hii shughuli watupe ukweli. Tena nimesikia Somaiya alichelewa kuwasili Ikulu maksudi na alifika baada ya baadhi ya wageni kuwa tayari wako kwenye viwanja vya bustani ili watu wamuone akishuka kwenye Ferrari yake ya thamani ya $500,000!
      Last edited by EL+RA=UFISADI; 20th December 2010 at 18:39.

    3. #22
      Ndinani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 2,974
      Rep Power : 1540
      Likes Received
      755
      Likes Given
      238

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Sikuliona gari hilo wapi lilipaki lakini Tanil Somaia alikuwa mmoja wa waalikwa na alikuwepo kwenye viwanja vya Ikulu na hata alipeana mkono na ------! Haya nilioyaandika ni ya kweli pengine hayo mengine ndio ya kutunga.

    4. #23
      Paulo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2009
      Location : TZ
      Posts : 337
      Rep Power : 604
      Likes Received
      34
      Likes Given
      18

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Quote By Mungi View Post
      Somaiya amenunua kampuni ya ulinzi ya Ultimate Security, nadhani anafanya warm up ya kuinunua Jeshi la wanachi wa Tanzania pamoja na Polisi.
      By few years to come, huyu mtu atakuwa hakamatiki.
      du!
      IN EASY TIMES ANYONE CAN MAKE MONEY BUT IN DIFFICULT TIMES YOU CAN TELL THE MEN FROM THE BOYS.

    5. #24
      RealMan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Location : Daslam
      Posts : 1,711
      Rep Power : 2977
      Likes Received
      609
      Likes Given
      330

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Quote By Kishongo View Post
      Hii ni story ya kutungwa.
      Hakikutokea kitu kama hiki, hata walinzi waliokuwa zamu siku hiyo wanashangaa mtu anaweza kuandika uongo kama huu.
      Tupe ukweli kaka
      -- Many leaders are Alive Only because its Illegal to shoot them!--

    6. #25
      Mfwatiliaji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Posts : 1,347
      Rep Power : 875
      Likes Received
      58
      Likes Given
      68

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Mwaka 2005 mlikabidhi nchi tena kwa msanii na mswahili mwingine..nasikia, that time, wengi walivutiwa zaidi na sura yake!! nilisikitika sana. Niligundua waTz ni watu wa kusahau haraka. Anyway, yametokea tena 2010....
      Kukumbushia, waTz wamesahau enzi za Mwinyi kugeuza Ikulu kuwa pango la wanyang'anyi!! walau kipindi hicho Mwalimu alikuwepo.. akayakemea wazi matendo yote maovu.
      Since then, tumeendelea kuliwa vibaya sana!!


    7. #26
      Taso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2010
      Posts : 1,182
      Rep Power : 800
      Likes Received
      309
      Likes Given
      124

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      hakuna hata mmoja aliye corroborate hii hadithi?

    8. #27
      Byendangwero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Posts : 833
      Rep Power : 605
      Likes Received
      28
      Likes Given
      0

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Kishongo ukitaka tukuamini lazima utuambie hao walinzi ulikutana nao lini? Na kwa shughuli gani? Na vile vile ulijuaje ya kuwa ni walinzi waliokuwa kwenye zamu siku husika?

    9. #28
      Wacha1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st December 2009
      Posts : 6,795
      Rep Power : 1842
      Likes Received
      1101
      Likes Given
      1281

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU


      Quote By Martin Shankleman
      A judge at Southwark Crown Court has suggested that part of a secret £7.7m payment made by BAE Systems to a businessman in Tanzania was a bribe to help secure a radar contract. Mr Justice Bean said the "obvious inference" was that "part of the money was used to bribe decision makers" in Tanzania. BAE has admitted paying the money to its agent, Sailesh Vithlani, for his part in securing the £28m contract.

      However, BAE denies any corruption.


      BAE also conceded that most of the money paid to Mr Vithlani was funnelled through a secretive company it set up in the British Virgin Islands. It has also admitted that it did not keep proper accounts of the transactions, which it disguised as "payments for technical services". However, the judge said the arrangements meant the company "would have no fingerprints on the money". He added: "They didn't want to know how much was paid and to whom. He described BAE's behaviour as "hear no evil, speak no evil". The company is in court for sentencing over its behaviour. It has already agreed a deal with the Serious Fraud Office, under which it offered to make an ex-gratia payment of up to £30m to Tanzania, and admitted failing to keep accurate records of the payments to Mr Vithlani.

      The case continues.


      Time will tell .... ...
      TANESCO hawashindwi kununua mitambo yao Kama kweli Dowans siyo ya JK ataifishe mitambo hiyo kwa sheria ya uhujumu awafilisi RA, EL vile vile awachukulie hatua waliokwapua fedha BOT

    10. #29
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,783
      Rep Power : 22096
      Likes Received
      1044
      Likes Given
      859

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      JK bwanaaaaaaaa khaaaaaaaaa huyu jamaa kaiweka serikali mfukoni!
      Angekuwa nyerere angemtia adabu kama yule mgiriki
      WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

    11. #30
      Amigo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 147
      Rep Power : 553
      Likes Received
      1
      Likes Given
      4

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Ndio mambo ya ------ hayo huwezi kushangaa kwa hili tumesha yaona mengi na tutaendelea kuyaona mengi.

    12. #31
      babayah67's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th March 2008
      Location : Makasuku
      Posts : 392
      Rep Power : 655
      Likes Received
      35
      Likes Given
      6

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Quote By Kishongo View Post
      Hii ni story ya kutungwa.
      Hakikutokea kitu kama hiki, hata walinzi waliokuwa zamu siku hiyo wanashangaa mtu anaweza kuandika uongo kama huu.
      Je wewe ulikuwepo??? Au wee ndio ulikuwa zamu ya ulinzi siku hiyo??? Hata hivyo mwandishi nawe wa story hii kiasi fulani unatia wasiwasi, iweje toka siku ya Uhuru tarehe 9/Dec, hadi hii leo ndio unaitoa hii story, kweli ???? Siku zote hizo ulikuwa wapi????? Unatia wasiwasi!!

    13. #32
      Siao's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th January 2008
      Posts : 103
      Rep Power : 605
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      kwa ------ sishangai....

      Hapo mpaka ninajichokeaga kabisa...iko siku kura yangu itazaa matunda.....

      God bless Tansania...

    14. #33
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,354
      Rep Power : 1573
      Likes Received
      813
      Likes Given
      622

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Quote By Kishongo View Post
      Hii ni story ya kutungwa.
      Hakikutokea kitu kama hiki, hata walinzi waliokuwa zamu siku hiyo wanashangaa mtu anaweza kuandika uongo kama huu.
      Eleza chako mbadala kama hii ni ya kutunga ukweli unaoujua wewe utueleze na sisi tupime tusije tukawa tunalishwa pumba tu

    15. #34
      mams's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th July 2009
      Posts : 604
      Rep Power : 625
      Likes Received
      18
      Likes Given
      0

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Kama mleta mada ameitunga basi atakuwa na utalaamu wa kukurupuka.

    16. #35
      Keynes's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 411
      Rep Power : 520
      Likes Received
      25
      Likes Given
      18

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      ONE DAY YES....KUKU ATAZAA BADALA YA KUTAGA

    17. #36
      Mr. President's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2010
      Location : Black House
      Posts : 1,702
      Rep Power : 776
      Likes Received
      331
      Likes Given
      11

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      ukiongea wahindi tu nasikia nausea paaaap mm siwataki kabisa wahindi hapa TZ, wengi wao ni wezi, angalia mafisadi wote wakubwa wahindi kibao, kwanza si raia hawa, nenda india walivyo wabanguzi na wanashida kama nini? India ukifika utajua kwa nini wanngangania hapa kwetu, shida balaa, pollution as usual, wanazaliana kama utitiri, i hate them, i most hate mhindi kuliko any one, kila saa na hasira na ngumi mkononi ukisema wahindi, wezi hawa, yule juzi kamjibu kiburi mama Tibaijuka, mm nashangaa Serikali ingemla mboko, nyambaf

    18. #37
      BONGOLALA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 5,413
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1196
      Likes Given
      199

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      SHIVACOM =RA na ALPHATEL =EL »VODACOM

    19. #38
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,741
      Rep Power : 10184
      Likes Received
      5679
      Likes Given
      12666

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      Quote By mwana ukweli View Post
      ONE DAY YES....KUKU ATAZAA BADALA YA KUTAGA
      duh!! unamaanisha nini?
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    20. #39
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,854
      Rep Power : 1343
      Likes Received
      758
      Likes Given
      153

      Default Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

      nadhani wakati wa kulalamika umekwisha sasa sisi kama wananchi lazima tuchukue hatua kama nikueneza elimu ya uzalendo kwa watu waliokaribu na sisi ,ukitoa mifano ya jinsi mafedhuli walivyo na nguvu nchi hii wanaweza wakaamua nani awekwe madarakani ,nani atoke ,kupitishwa mbele na kinyume cha utaratibu uliowekwa kwa wanadiplomasia hii taabu sana hata kumeza,inauma lakini roho yangu inaniambia tuta vuk siku moja na watalia na kusaga meno

    21. #40
      Shaycas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th February 2009
      Location : Arusha
      Posts : 663
      Rep Power : 659
      Likes Received
      26
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Kishongo View Post
      Hii ni story ya kutungwa.
      Hakikutokea kitu kama hiki, hata walinzi waliokuwa zamu siku hiyo wanashangaa mtu anaweza kuandika uongo kama huu.
      Mkuu wewe ndio ulikuwa getini? Au unahusika vipi na hii habari?

    Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Ccm ni swaiba wa tanil- somaiya
      By MAFILILI in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 1
      Last Post: 28th June 2011, 08:38
    2. Ufisadi wa Tanil Somaiya
      By BAK in forum Jamii Intelligence
      Replies: 42
      Last Post: 14th May 2009, 16:00
    3. Tanil Somaiya kukutana na waandishi
      By Invisible in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 94
      Last Post: 6th May 2009, 16:08

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...