| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 6596
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Big up iron lady...
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Pengine naye anaitafuta umaarufu kupitia kwa PM mwathirika, Siasa bwana !!!!!
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
True true true, You never know katika siasa, si uliona aliyosema Mzindakaya "BoT safi"....., but I hope not for huyu mama, ameonesha msimamo mzuri sana mpaka hivi sasa! She simply rocks!
SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09. |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Huyu mama kwa kweli nampongeza kwa kauli zake za hivi karibuni
...hongera sana Mama Hivi Mkuu Kitila Mkumbo yuko wapiii??,........nazi-miss analysis zake za upande wa pili hasa ikifikia kwenye matukio ndani ya siasa |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Huyo mama nimemfuatilia kwa muda kidogo na mpaka sasa i can count on her lakini isije ikawa big talk and do nothing,time will tell!
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Jamani angalieni nukuu mbalimbali kufuatana na sakata hili ili tuweze kuziweka hapa kama kumbukumbu.
Leo hii vijana wa chuo kikuu waliandamana kidogo wakifurahia kujiuzulu kwa wakubwa hawa! Kijana mmoja amenipa msemo ambao sikuwahi kuusikia: Alisema: "Ncha ya mkuki haipigwi konzi" na akaongeza kusema "Nyuki hakutambatiwi"... Nilifurahia...
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mwanakijiji,
Vipi kuhusu ile line ya Spika kwa Karamagi. Manake Karamagi alisema watakuja hapa kushangilia , spika akamjibu kushangilia Tanzania sio kosa ! Mimi nimemkubali huyu Mama kwani kweli Amemkoma Nyani Giladi , ameweza kusimama na kuzungumza mambo kwa ufasaha mkubwa na zaidi aliweza kujenga hoja zilizoenda shule ! Nilipenda pale aliposema hawa watu sio wa hawajaonewa na huku akionyesha kopi nne za barua toka kwa waziri mkuu kwenda kwa Karamagi kumongoza nini cha kufanya kuhusu hilo deal la Richmond |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Rufiji sikuisikia hiyo.. but that is one of the best line..
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Hongera mama Malecela!
__________________
Well Behaved Women Never Make History Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:55 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||