JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Dk. Slaa atuzwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Maji Maji kwa mchango wake Bungeni!

  Report Post
  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
  Results 61 to 77 of 77
  1. Mongoiwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Posts : 500
   Rep Power : 10191
   Likes Received
   110
   Likes Given
   24

   Default Dk. Slaa atuzwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Maji Maji kwa mchango wake Bungeni!

   Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimemtunukia aliyekuwa mgombea Urais na Katibu mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Peter Silaa tuzo ya Majimaji kutokana na mchango wake katika Bunge lililopita wakati alipokuwa mbunge wa Karatu.

   Tuzo hiyo amekabidhiwa leo usiku katika sherehe zilizofanyika huko jijini Dar eneo la Kijitonyama.

   Mpaka sasa Dk. Slaa anakuwa mtu wa pili kutuzwa tuzo hii ambayo hutolewa mara moja kila baada ya miaka mitano huku wa kwanza akiwa ni Jaji Mwalusanya aliyeipokea Mwaka 2005.
   Nchi yangu inaangamia kwa kukosa maarifa ya Viongozi

  2. mpk's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2012
   Posts : 1,716
   Rep Power : 146495270
   Likes Received
   1440
   Likes Given
   119

   Default Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Watu kama akina Askofu Desmond Tutu wamepewa tuzo za Nobel kwa kupigania haki za waafrika weusi, lakini pia kwa kuwaamusha waafrika weusi kupigania haki zao. Ilikuwa kutambua mchango wao kuwaamusha watu weusi kupigania na mwisho kupata haki ya kujitawala katika nchi waliozaliwa.

   Kwetu hapa kwa sababu ya siasa chafu na uroho wa watu kuendelea kujinufaisha kwa raslimali za watanzania wapo wanaobeza kazi inayofanywa na Dr Slaa! Kuna maneno ambayo yanachefua kama eti wapinzani wanataka nchi isitawalike. Nimefanya kazi kwenye mradi wa utawala bora na haki za binadamu, msingi wa kwanza katika utawala bora ni wananchi kujua haki zao na kuzidai.

   Kazi aliyoifanya Dr Slaa ya kuwaamusha watanzania ni kubwa na inahitaji kutambuliwa na kuthaminiwa na kila mtanzania anayeipenda nchi yake. Duniani hakuna nchi imeendelea ambayo watawala wake hawaheshimu wananchi wake na ikibidi kuwaogopa! Hakuna nchi duiniani inaweza kuendelea wananchi wake wakiwa makondoo. (waoga)

   Maandamano, migomo, kufunga barabara, kuchoma vituo vya polisi, harakati kama zile za Mtwara, kwa mtazamo mmoja wa watawala, zinaitwa vurugu na uvunjifu wa amani! Nakubaliana na mtazamo huo, lakini kuna jambo zuri katika huo unaoitwa uvunjifu wa amani nalo ni kuwa serikali kwa vyovyote lazima ianze kuwasikiliza wananchi.

   Nikifika hapo namkumbuka Dr Slaa kama mtu aliyesaidia sana kuwafanya watanzania wajue haki zao na kuzidai. Kwangu anastahili tuzo na ni shujaa anyeishi, inawezekana kuna wanaharakati wengine wamesaidia hili lakini kwa wanasiasa Dr Slaa atakumbukwa sana na vizazi vijavyo kwa kazi hii nzuri aliyolifanyia taifa letu.

  3. master peace's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th December 2012
   Posts : 1,455
   Rep Power : 744
   Likes Received
   441
   Likes Given
   390

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Mkuu, hilo lipo wazi; Take it from me hakuna awaye yeyote hapa nchini Tanzania asiye utambua mchango wa Dr. Slaa;
   Washabiki wa CCM, Wezi wa mali za umma, mafisadi na wala rushwa wanaitambua vyema kazi ya Dr. Slaa ndo maana wame-panic kwa sasa.
   "Uzuri ni kipimo cha Ubaya"

  4. aka2030's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2013
   Posts : 710
   Rep Power : 663
   Likes Received
   148
   Likes Given
   5

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Kwa kuiba wake za watu na kusaliti kazi ya kumtumikia mungu na kuchochea udini ili nchi isitawalike sawa hata mimi naunga mkono

  5. utaifakwanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2013
   Posts : 12,076
   Rep Power : 28562
   Likes Received
   921
   Likes Given
   938

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   ajira hizo bana, bila kuweka mada kama hizi hutakula leo

  6. utaifakwanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2013
   Posts : 12,076
   Rep Power : 28562
   Likes Received
   921
   Likes Given
   938

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   BAADHI YA UBADHILIFU WA DR.SLAA NA MCHUMBA WAKE JOSEPHINE2. Dkt. Slaa yeye amedhihirisha ni jinsi gani mnafiki kwani pamoja na kujidai kupinga posho lakini bado ameshindwa hata kuusimamia mfumo wa posho ndani ya chama chake nitatoa mfano;-i. Amelazimisha chama kumlipa mke wake milioni kumi kama malipo ya kutengeneza mfumo wa komputa wa kusimamia mahesabu ya chama.ii. Anajilipa posho ya shilingi 250000/= kwa siku kila aendepo ziara na kwenye kesi yake kule Arusha ambapo yeye, mke wake pamoja na yaya wao husafirishwa kwa ndege kila safari na wote wanalipwa 250,000/= ya kujikimu wakati wote wanalala chumba kimoja?. Haya ni matumizi mabaya ya ruzuku ya chama ambazo ni kodi za wananchi.iii. Amejikopesha pesa ya chama kujengea nyumba yake kule kunduchi ambapo yeye mwenyewe ndio msimamizi mkuu wa pesa za chama na ndio mlipaji mkuu na wala hajafuata mfumo wowote wa malipo na ukopeshaji na haijulikani ni lini atarudisha fedha hizo za wanachama na kwa utaratibu upi?

  7. FUSO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th November 2010
   Posts : 9,211
   Rep Power : 159046851
   Likes Received
   2984
   Likes Given
   897

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Bungeni, na wewe umepatwa na ugonjwa wa kupanic kama wenzio?

  8. utaifakwanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2013
   Posts : 12,076
   Rep Power : 28562
   Likes Received
   921
   Likes Given
   938

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   KUHUSU UBADHILIFU WA MAMILLION YA SABODO

   CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) ni moja kati ya chama kilichojizolea umaarufu sana hapa nchini na kusema ukweli muundo wa katiba yake na sera zake umekaa kiukombozi haswaa!!!!wananchi wengi tunaipenda chadema..hasa namna viongozi wake akina Mbowe na Slaa wanavyojua kuhadaa watanzania wanapokuwa kwenye majukwa ya siasa.

   Ikumbukwe ni hawa hawa akina Slaa na Mbowe ndio waliotaja List of Shame pale mwembe yanga...walifichua ufisadi mkubwa sana unaofanywa na serikali ya ccm kupitia viongozi wake.

   Lakini leo hii inashangaza sana kuona Mbowe na Slaa ndio haohao wanaoongoza kwa ufisadi mkubwa ndani ya chama na kwa watanzania kwa ujumla wao

   WAKATI wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 tunakumbuka wote kuwa Mfanya Biashara maarufu Tanzania SABODO alitoa kwa mara ya kwanza Million 100 kwa CHADEMA ilikuimarisha nguvu ya kampeni na kukijenga chama kipindi chote cha kampeni.

   AWAMU ya pili alitoa millioni mia moja (100) kwa ajili ya kujenga chuo pale KIBAHA cha CHADEMA ilivijana wawezekupata mafunzo ya kisiasa,uzalendo ndani ya chama na nchi yao.

   Akaahidi kutoa Million 100 zingine kwa ajili ya ujenzi wa chuo hicho pale KIbaha,ambazo kwa mujibu wa ripoti unaonyesha kuwa amezitoa.

   AWAMU ya tatu ametoa MIllion Mia Moja(100) kwajili ya ujenzi wa visima miambili (200) katika maeneo ya majimbo yanayoongozwa na wabunge wa chadema.

   Jumla ya pesa taslimu aliyoitoa hand to hand ambazo watanzania ni Million mia tatu(300).

   LAKINI cha kusikitisha pesa hizo zimeenda kukarabati ukumbi wa starehe unaomilikiwa na MH.freeman Mbowe ule wa BILLICANAS(Kama unabisha nenda Billcanas ukaone ujenzi unaondelea na fedha zimechotwa kwenye account ya uchaguzi ya chama).

   Napia ametumia pesa hizo kwenda kununua nyumba ya kifahari pale DUBAI ambayo hadi dakika hii anaifanyia ukarabati kwaajili ya kuipangisha na kuhamishia baadhi ya ndugu zake pale Dubai
   PESA nyingine toka kwenye account ya UCHAGUZI 2015 imetumika kujengea nyumba ya katibu mkuu Ndugu W.P.Slaa maeneo ya KUNDUCHI(amehamia hapo kunduchi mwaka huu).Kabla ya hapo alikuwa anaishi PALE ABLA APARTMENT pale Kijitonyama ambapo ameishi kwa muda wa miaka miwili na malipo ya kodi kwa siku ni Tsh.250,000(laki mbili na nusu,watanzania uzalendo wa Dr.Slaa upo wapi katika hili) ambapo pesa hiyo ilikuwa inalipwa na chama na hapo ndipo matokeo ya mgombea urais yalihesabiwa na kauli ya kwamba tumechakachuliwa ilitolewa hapo.
   WAKATI HUO HUO,Mh.mbowe amekuwa akiwahadaa watanzania kwa kurudisha gari la kifahari la serikali ambalo ni maalumu kwa ajili ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni,Alirudisha gari hilo kwa mbwembwe kweli na vyombo vya habari vililizungumzia sana jambo hili.

   NASASA amelichukua kimyakimya na huku watanzania wasijue kuwa anaendelea kulitumia.Yeye na chama chake walisema hawataki posho za bunge lakini mpaka leo hii mbowe anachukua posho na pia Dr.slaa anachukua posho akiwa katika kazi za ujenzi wa chama ambayo kwa siku analipwa Laki moja,Dreva wake analipwa 30000 na mlinzi wake analipwa 30000 hiyo ni mbali na mshara wa milioni saba (7000,000) kwa kila mwezi(wakati huo ikumbukwe makati wa kuu wa mikoa wa chama,makatibu wakuu wa wilaya n.k wa chadema hawalipwi chochote,hawapewi posho hata sent moja
   Na pia kanisa analo sali mchumba wake CHAMA kinawalipa walinzi wawili laki tano kwa mwezi kila mmoja kwaajili ya ulinzi wa kanisa hilo analosali JOSEPHINE MSHUMBUSI.

  9. utaifakwanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2013
   Posts : 12,076
   Rep Power : 28562
   Likes Received
   921
   Likes Given
   938

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Quote By FUSO View Post
   Bungeni, na wewe umepatwa na ugonjwa wa kupanic kama wenzio?
   mkuu fuso, tunaweka kumbukumbu sawa.

  10. winner forever's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2012
   Location : Port of Spain
   Posts : 1,074
   Rep Power : 4216346
   Likes Received
   252
   Likes Given
   164

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Quote By aka2030 View Post
   Kwa kuiba wake za watu na kusaliti kazi ya kumtumikia mungu na kuchochea udini ili nchi isitawalike sawa hata mimi naunga mkono
   mpk umenena vyema,Dr. Slaa na sekretarieti yote ya CDM wamesaidia sana kuwafanya watanzania wajue haki zao na kuzidai. Kwangu siyo Dr. Slaa tu anayestahili tuzo ya shujaa bali CDM na watanzania wote, Dr Slaa atakumbukwa sana na vizazi vijavyo kwa kazi hii nzuri aliyolifanyia taifa letu.
   In a Country where the Corruption Rate is Massive, being free from engaging in it may be a big boast for Someone especially if He is seeking a Political Office like the Presidency.

  11. Lwesye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2012
   Posts : 5,074
   Rep Power : 23104234
   Likes Received
   1108
   Likes Given
   392

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   DR Slaa ndio gwiji la siasa kwa sasa amefanya chama chake kuwa active politically zidi ya chama chochote,wananchi sasa wanajua kuwatia adabu watawala ,wassira amekubali kwamba yeye ndieye mwamba tuzo yake ni sisi wananchi kuwabutua MACCM kwenye sanduku la kura na kurejesha nchi yetu kwenye ahadi ya asali na maziwa

  12. Lwesye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2012
   Posts : 5,074
   Rep Power : 23104234
   Likes Received
   1108
   Likes Given
   392

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Quote By bungeni View Post
   BAADHI YA UBADHILIFU WA DR.SLAA NA MCHUMBA WAKE JOSEPHINE2. Dkt. Slaa yeye amedhihirisha ni jinsi gani mnafiki kwani pamoja na kujidai kupinga posho lakini bado ameshindwa hata kuusimamia mfumo wa posho ndani ya chama chake nitatoa mfano;-i. Amelazimisha chama kumlipa mke wake milioni kumi kama malipo ya kutengeneza mfumo wa komputa wa kusimamia mahesabu ya chama.ii. Anajilipa posho ya shilingi 250000/= kwa siku kila aendepo ziara na kwenye kesi yake kule Arusha ambapo yeye, mke wake pamoja na yaya wao husafirishwa kwa ndege kila safari na wote wanalipwa 250,000/= ya kujikimu wakati wote wanalala chumba kimoja?. Haya ni matumizi mabaya ya ruzuku ya chama ambazo ni kodi za wananchi.iii. Amejikopesha pesa ya chama kujengea nyumba yake kule kunduchi ambapo yeye mwenyewe ndio msimamizi mkuu wa pesa za chama na ndio mlipaji mkuu na wala hajafuata mfumo wowote wa malipo na ukopeshaji na haijulikani ni lini atarudisha fedha hizo za wanachama na kwa utaratibu upi?
   Ha ha ha ka mbali na tembo

  13. Atongwele's Avatar
   Guest Array
   Join Date : 22nd February 2013
   Posts : 2,472
   Rep Power : 0
   Likes Received
   103
   Likes Given
   15

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Quote By aka2030 View Post
   Kwa kuiba wake za watu na kusaliti kazi ya kumtumikia mungu na kuchochea udini ili nchi isitawalike sawa hata mimi naunga mkono
   Umesahau pia mkuu kuwa dr slaa i fisadi wa hali ya juu. Kajikopesha milioni 140 za ruzuku ya chama na pia visima vyote 100 alivyotoa sabodo kwa cdm kapeleka jimboni kwao. Umesahau pia lile jaribio lake la kubaka secretary wake

  14. SaidSabke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2006
   Posts : 1,281
   Rep Power : 1034
   Likes Received
   119
   Likes Given
   52

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Quote By mpk View Post
   Watu kama akina Askofu Desmond Tutu wamepewa tuzo za Nobel kwa kupigania haki za waafrika weusi, lakini pia kwa kuwaamusha waafrika weusi kupigania haki zao. Ilikuwa kutambua mchango wao kuwaamusha watu weusi kupigania na mwisho kupata haki ya kujitawala katika nchi waliozaliwa.

   Kwetu hapa kwa sababu ya siasa chafu na uroho wa watu kuendelea kujinufaisha kwa raslimali za watanzania wapo wanaobeza kazi inayofanywa na Dr Slaa! Kuna maneno ambayo yanachefua kama eti wapinzani wanataka nchi isitawalike. Nimefanya kazi kwenye mradi wa utawala bora na haki za binadamu, msingi wa kwanza katika utawala bora ni wananchi kujua haki zao na kuzidai.

   Kazi aliyoifanya Dr Slaa ya kuwaamusha watanzania ni kubwa na inahitaji kutambuliwa na kuthaminiwa na kila mtanzania anayeipenda nchi yake. Duniani hakuna nchi imeendelea ambayo watawala wake hawaheshimu wananchi wake na ikibidi kuwaogopa! Hakuna nchi duiniani inaweza kuendelea wananchi wake wakiwa makondoo. (waoga)

   Maandamano, migomo, kufunga barabara, kuchoma vituo vya polisi, harakati kama zile za Mtwara, kwa mtazamo mmoja wa watawala, zinaitwa vurugu na uvunjifu wa amani! Nakubaliana na mtazamo huo, lakini kuna jambo zuri katika huo unaoitwa uvunjifu wa amani nalo ni kuwa serikali kwa vyovyote lazima ianze kuwasikiliza wananchi.

   Nikifika hapo namkumbuka Dr Slaa kama mtu aliyesaidia sana kuwafanya watanzania wajue haki zao na kuzidai. Kwangu anastahili tuzo na ni shujaa anyeishi, inawezekana kuna wanaharakati wengine wamesaidia hili lakini kwa wanasiasa Dr Slaa atakumbukwa sana na vizazi vijavyo kwa kazi hii nzuri aliyolifanyia taifa letu.
   wewe umeishiwa kupendekeza slaa kupewa tuzo umekosa wa kumpa bora umpe mwigulu

  15. Shardcole's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th January 2012
   Posts : 10,255
   Rep Power : 51954481
   Likes Received
   2985
   Likes Given
   4

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Uishi milele Rais Dr.W.Slaa

  16. Atongwele's Avatar
   Guest Array
   Join Date : 22nd February 2013
   Posts : 2,472
   Rep Power : 0
   Likes Received
   103
   Likes Given
   15

   Default Re: Dr. Slaa anastahili tuzo na ni shujaa anayeishi!

   Quote By mpk View Post
   Watu kama akina Askofu Desmond Tutu wamepewa tuzo za Nobel kwa kupigania haki za waafrika weusi, lakini pia kwa kuwaamusha waafrika weusi kupigania haki zao. Ilikuwa kutambua mchango wao kuwaamusha watu weusi kupigania na mwisho kupata haki ya kujitawala katika nchi waliozaliwa.

   Kwetu hapa kwa sababu ya siasa chafu na uroho wa watu kuendelea kujinufaisha kwa raslimali za watanzania wapo wanaobeza kazi inayofanywa na Dr Slaa! Kuna maneno ambayo yanachefua kama eti wapinzani wanataka nchi isitawalike. Nimefanya kazi kwenye mradi wa utawala bora na haki za binadamu, msingi wa kwanza katika utawala bora ni wananchi kujua haki zao na kuzidai.

   Kazi aliyoifanya Dr Slaa ya kuwaamusha watanzania ni kubwa na inahitaji kutambuliwa na kuthaminiwa na kila mtanzania anayeipenda nchi yake. Duniani hakuna nchi imeendelea ambayo watawala wake hawaheshimu wananchi wake na ikibidi kuwaogopa! Hakuna nchi duiniani inaweza kuendelea wananchi wake wakiwa makondoo. (waoga)

   Maandamano, migomo, kufunga barabara, kuchoma vituo vya polisi, harakati kama zile za Mtwara, kwa mtazamo mmoja wa watawala, zinaitwa vurugu na uvunjifu wa amani! Nakubaliana na mtazamo huo, lakini kuna jambo zuri katika huo unaoitwa uvunjifu wa amani nalo ni kuwa serikali kwa vyovyote lazima ianze kuwasikiliza wananchi.

   Nikifika hapo namkumbuka Dr Slaa kama mtu aliyesaidia sana kuwafanya watanzania wajue haki zao na kuzidai. Kwangu anastahili tuzo na ni shujaa anyeishi, inawezekana kuna wanaharakati wengine wamesaidia hili lakini kwa wanasiasa Dr Slaa atakumbukwa sana na vizazi vijavyo kwa kazi hii nzuri aliyolifanyia taifa letu.
   Nyani aoni kundule. Dr slaa ana machafu mengi kuliko mazuri yake

  17. bucho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2010
   Location : kandahar
   Posts : 4,296
   Rep Power : 18415939
   Likes Received
   1202
   Likes Given
   857

   Default

   Quote By Shardcole View Post
   Uishi milele Rais Dr.W.Slaa
   Ili atafune wake za watu ama ??

  18. TETEMA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd February 2013
   Posts : 220
   Rep Power : 554
   Likes Received
   37
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By aka2030 View Post
   Kwa kuiba wake za watu na kusaliti kazi ya kumtumikia mungu na kuchochea udini ili nchi isitawalike sawa hata mimi naunga mkono
   NAONA HAUJAELEWA?
   Hatumzungumzii mr.Dhaifu aliyekuwa aking'ang'aniana awala na Babu Sea.
   Hatumzungumzii mr.Dhaifu muasisi wa udini aliyekuwa akiahidi mambo ya kidini mf.Mahakama ya kadhi badala ya kuahidi mambo ya kitaifa.
   Hatumzungumzii mr.Dhaifu aliyekuwa akizunguka kila msikiti kupiga kampeni na kuwabaini wasiomkubali.
   Hatumzungumzii mr.Dhaifu aliyewadanganya hata watu wa dini yake hatimae wanamsomea Itiqaf.
   TUNAMZUNGUMZIA DR.SLAA ALIYEKUFANYA UJITAMBUE KWAMBA KUNAWAKOLONI WEUSI NCHIN TZ.
   Wanaosafiri na twiga kwenye ndege badara ya kusafiri na wake zao.

  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

  Similar Topics

  1. Hivi ligi ya VODACOM hiana mahabiki AZAM na MAJI MAJI vipi?
   By Kenge (Eng) in forum Entertainment
   Replies: 2
   Last Post: 15th October 2010, 10:47
  2. Replies: 2
   Last Post: 15th May 2010, 22:41
  3. Misri wadai kutumia maji ya mto nile 90% ni haki yao: je ni haki??
   By Magezi in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 7
   Last Post: 20th April 2010, 18:18

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...