Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 25
    1. #1
      MPadmire's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Location : Dar es salaam
      Posts : 861
      Rep Power : 849
      Likes Received
      158
      Likes Given
      76

      Default Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

      Hii Wizara ya kazi na Ajira haina faida yoyote kwa Watanzania.

      Kwanza walitangaza mishahara ya sekta binafsi, wakashindwa kuisimamia. Mambo ni siasa siasa tu hamna lolote.

      Pili, Kazi za serikali hutangazwa na Ofisi ya Rais menejiment ya Utumishi wa Umma.

      Tatu, haina msaada wowote kwa vijana wa Tanzania wanaohangaika na kutafuta ajira.

      Je faida yake ni nini hii Wizara,

      Nashauri hii wizara ingeunganishwa na Ofisi ya raisi menejiment ya utumishi wa Umma. Kwa hiyo ingekuwa kama moja ya Kurugenzi ikiwa na Mkurugenzi wake.
      When your life becomes a battleground, your mind is the best weapon

    2. Miaka 50

    3. #2
      Gagurito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2011
      Location : Gangilonga....
      Posts : 5,271
      Rep Power : 1457
      Likes Received
      694
      Likes Given
      696

      Default Re: Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

      Naunga mkono hoja!

    4. #3
      The last don's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2011
      Location : Tanganyika
      Posts : 350
      Rep Power : 465
      Likes Received
      116
      Likes Given
      31

      Default Re: Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

      Naunga mkono hoja.

    5. #4
      ThinkPad's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2008
      Posts : 1,448
      Rep Power : 856
      Likes Received
      89
      Likes Given
      83

      Default Re: Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

      naunga mkono joja

    6. #5
      The Big G's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Posts : 28
      Rep Power : 408
      Likes Received
      8
      Likes Given
      93

      Default Re: Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

      fungu hili limeafikiwa

    7. RukaaJuu Final

    8. EMT
      #6
      EMT's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2010
      Location : Mahuta
      Posts : 8,918
      Rep Power : 61730
      Likes Received
      7218
      Likes Given
      6455

      Default Re: Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

      WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka amesema leo ataeleza mafanikio ya Serikali katika kutoa ajira kwa vijana ikiwa ni siku moja baada ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kusema tatizo hilo ni bomu linalosubiri kulipuka na kuliomba Kanisa Katoliki liisaidie kutafuta ufumbuzi.

      Juzi, akitoa salamu katika sherehe za uzinduzi wa Jimbo Jipya la Kanisa Katoliki la Ifakara, Morogoro, Lowassa alisema: “Nawaomba maaskofu katika miradi yenu mlipe kipaumbele suala la tatizo la ajira kwa vijana... wengi wanaohitimu elimu ya sekondari na vyuo wanakabiliwa na tatizo kubwa la ajira. Hili kama tulivyosema ni bomu linalosubiri kulipuka...”

      Akizungumza na gazeti hili jana kuhusu tatizo hilo la ajira, Waziri Kabaka alisema leo atoa takwimu za ajira zilitolewa na Serikali kwa vijana na kueleza kile ambacho Serikali imekifanya na kuendelea kufanya katika kushughulikia tatizo la ajira nchini.

      Profesa Lipumba: Tatizo la ajira halijapatiwa dawa

      Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba jana pia alizungumzia suala hilo la ajira kwa vijana akisema bado halijapatiwa ufumbuzi. Profesa Lipumba ambaye kitaaluma ni mchumi, alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Baraza Kuu la CUF.

      Alisema vijana wengi wamekata tamaa kwa sababu ni wachache tu walioajiriwa katika sekta mbalimbali ikiwemo ya viwanda.
      Akitoa mfano, Profesa Lipumba alisema kati ya vijana 22 milioni waliopo nchini ni 93,000 tu, walioajiriwa katika sekta ya viwanda, idadi ambayo alisema ni ndogo... “Hili ni tatizo kubwa ambalo Serikali inatakiwa kujitathmini namna ya kuondokana nalo kwa sababu vijana wanaendelea kuichukia.”

      Alisema sekta ya kilimo ambayo ndiyo ingeajiri vijana wengi, bado haijapewa kipaumbele na Serikali na kuonekana kama adhabu. Alisema mkulima anapolima na kuvuna mazao yake, Serikali inaingilia kati na kumpangia namna ya kuyauza.

      “Mkulima huyo amelima peke yake, ametunza mazao peke yake lakini anapovuna hana uhuru wa kutafuta masoko yenye maslahi, badala yake Serikali inampangia sehemu za kuuza zisizo masoko mazuri,” alisema Profesa Lipumba.

      Serikali kutoa tamko la ajira leo
      “Wanaotaka kuhashua wanatoa rushwa. Wanaotaka kuhashukwa nao wanataka rushwa. Hahashukwi mtu bila rushwa, na mtu hahashui bila rushwa na hapo ndipo tatizo lilipo.” - Mie mwenyewe.

    9. #7
      TumainiEl's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2010
      Posts : 512
      Rep Power : 578
      Likes Received
      92
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By EMT

      WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka amesema leo ataeleza mafanikio ya Serikali katika kutoa ajira kwa vijana ikiwa ni siku moja baada ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kusema tatizo hilo ni bomu linalosubiri kulipuka na kuliomba Kanisa Katoliki liisaidie kutafuta ufumbuzi.

      Juzi, akitoa salamu katika sherehe za uzinduzi wa Jimbo Jipya la Kanisa Katoliki la Ifakara, Morogoro, Lowassa alisema: “Nawaomba maaskofu katika miradi yenu mlipe kipaumbele suala la tatizo la ajira kwa vijana... wengi wanaohitimu elimu ya sekondari na vyuo wanakabiliwa na tatizo kubwa la ajira. Hili kama tulivyosema ni bomu linalosubiri kulipuka...”

      Akizungumza na gazeti hili jana kuhusu tatizo hilo la ajira, Waziri Kabaka alisema leo atoa takwimu za ajira zilitolewa na Serikali kwa vijana na kueleza kile ambacho Serikali imekifanya na kuendelea kufanya katika kushughulikia tatizo la ajira nchini.

      Profesa Lipumba: Tatizo la ajira halijapatiwa dawa

      Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba jana pia alizungumzia suala hilo la ajira kwa vijana akisema bado halijapatiwa ufumbuzi. Profesa Lipumba ambaye kitaaluma ni mchumi, alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Baraza Kuu la CUF.

      Alisema vijana wengi wamekata tamaa kwa sababu ni wachache tu walioajiriwa katika sekta mbalimbali ikiwemo ya viwanda.
      Akitoa mfano, Profesa Lipumba alisema kati ya vijana 22 milioni waliopo nchini ni 93,000 tu, walioajiriwa katika sekta ya viwanda, idadi ambayo alisema ni ndogo... “Hili ni tatizo kubwa ambalo Serikali inatakiwa kujitathmini namna ya kuondokana nalo kwa sababu vijana wanaendelea kuichukia.”

      Alisema sekta ya kilimo ambayo ndiyo ingeajiri vijana wengi, bado haijapewa kipaumbele na Serikali na kuonekana kama adhabu. Alisema mkulima anapolima na kuvuna mazao yake, Serikali inaingilia kati na kumpangia namna ya kuyauza.

      “Mkulima huyo amelima peke yake, ametunza mazao peke yake lakini anapovuna hana uhuru wa kutafuta masoko yenye maslahi, badala yake Serikali inampangia sehemu za kuuza zisizo masoko mazuri,” alisema Profesa Lipumba.

      Serikali kutoa tamko la ajira leo
      Mkubwa huyu mama alikuwa anamjibu Lowasa only. Wala usipoteze muda msg sent to Lowasa

    10. #8
      mopaozi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Posts : 2,446
      Rep Power : 758
      Likes Received
      258
      Likes Given
      49

      Default Serikali-hakuna bomu la ajira ni mawazo mgando tu

      Kuna gazeti limenukuu taarifa ya serikali kupitia waziri wa ajira Kabaka kuwa hakuna Bomu lolote la ajira litakalolipuka na kuwa wenye mawazo ya kuwa kuna bomu la ajira wana mawazo mgando na kuwa serikali imefanya jitihada na mbinu nyingi na sasa tatizo la ajira hakuna.my take huyu waziri aliitoa kauli hii akiwa amelewa baa au amekurupushwa usingizini!nawasilisha

    11. #9
      CHUAKACHARA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Posts : 3,023
      Rep Power : 7642
      Likes Received
      990
      Likes Given
      752

      Default Re: Serikali-hakuna bomu la ajira ni mawazo mgando tu

      Quote By botilo
      Kuna gazeti limenukuu taarifa ya serikali kupitia waziri wa ajira Kabaka kuwa hakuna Bomu lolote la ajira litakalolipuka na kuwa wenye mawazo ya kuwa kuna bomu la ajira wana mawazo mgando na kuwa serikali imefanya jitihada na mbinu nyingi na sasa tatizo la ajira hakuna.my take huyu waziri aliitoa kauli hii akiwa amelewa baa au amekurupushwa usingizini!nawasilisha
      You can imagine hawa ndio mawaziri wa JK. Tatizo liko wazi hata halihitaji tochi, jitu limelewa madaraka linasimam na kusema hakuna bomu. Liambie litoe takwimu katika wahitimu wa vyuo vyote wangapi wamepata ajira be it private, government or self employed. Ana takwimu?, sasa anasema kutoka wapi kuwa hakuna bomu.

    12. #10
      tindikalikali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 3,080
      Rep Power : 1214
      Likes Received
      392
      Likes Given
      89

      Default

      Quote By CHUAKACHARA
      You can imagine hawa ndio mawaziri wa JK. Tatizo liko wazi hata halihitaji tochi, jitu limelewa madaraka linasimam na kusema hakuna bomu. Liambie litoe takwimu katika wahitimu wa vyuo vyote wangapi wamepata ajira be it private, government or self employed. Ana takwimu?, sasa anasema kutoka wapi kuwa hakuna bomu.
      mpaka liwalipukie ndipo watakapojua....

    13. #11
      mopaozi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Posts : 2,446
      Rep Power : 758
      Likes Received
      258
      Likes Given
      49

      Default Re: Serikali-hakuna bomu la ajira ni mawazo mgando tu

      Kwa mwaka vyuo vinazalisha watu 50,000 ajira ziko 100 pata picha mwaka 2015 itakuwaje Lowasa akiongea anaonekana ana akili zimeganda!chukua hatua mapema

    14. #12
      Edward Teller's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Area 51
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1120
      Likes Received
      570
      Likes Given
      612

      Default Re: Serikali-hakuna bomu la ajira ni mawazo mgando tu

      kama waziri wa kazi anazungumza hivi-unaweza pima uwezo wa uelewa wake ulivyo
      “Talk slowly but think quickly”

    15. #13
      Shembago's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th August 2011
      Posts : 294
      Rep Power : 450
      Likes Received
      41
      Likes Given
      26

      Default Ni kweli serikali imelala kuhusu ajira

      Wapendwa,

      Nashawishika kukubali usemi wa Mamvi kwamba serikali imelala kuhusu ajira kwa vijana kwa jambo moja tu ambalo japo itaonekana ni haba lakini inaleta picha mbaya kwa serikali ya chama cha magamba.

      leo hii kuna watu wanojiita wawekezaji ambao wanakuja na kuingiza watu wao ambao kwanza unqualified lakini na undugu nization wanauleta huku kwetu,utakuta huko kwao yamemshinda nakuja kupewa ajira TZ,wakati sheria ipo wazi kabisa kuhusu wafanyakzi wa nje ni kwa zile kazi ambazo kweli wa TZ hatuna ujuzi nazo!

      Hivi iweje mtu ambaye ni Plumber leo anakuja TZ anaombew kibali kama Operation manager wakati kazi anayoifanya haiendani hata na Title aliyoombewa kazi?

      Inauma sana!

      Nawakilisha

    16. #14
      kaaa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th October 2011
      Posts : 35
      Rep Power : 392
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: Ni kweli serikali imelala kuhusu ajira

      Bwana kucheka cheka, haoni kama ni tatizo hilo.Yeye anaona sawa tuu

    17. #15
      mfianchi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Location : Likulufusi
      Posts : 3,569
      Rep Power : 1221
      Likes Received
      580
      Likes Given
      1195

      Default Re: Serikali-hakuna bomu la ajira ni mawazo mgando tu

      Aliyeshiba hamjui mwenye njaa bandugu
      MFUNGWA HACHAGUI GEREZA

    18. #16
      MPadmire's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Location : Dar es salaam
      Posts : 861
      Rep Power : 849
      Likes Received
      158
      Likes Given
      76

      Default Ajira kwa Vijana ni Bomu linalosubiri Kupasuka! Serikali wake up!!

      Serikali ya Tanzania imelala au ni vipofu?

      Anza na magraduate wanaozunguka na vyeti

      Fuatia form six leavers

      form form

      Darasa la saba

      Mafisadi na watoto wao wameshiba, shida ya ajira wataionaje?

      Pia hata Rich Mondului ni sehemu ya Tatizo. Kwa nini asikishauri chama chake? Ana tamaa ya uraisi

      Unakuta vigogo wanamiliki ardhi na kuwanyima wanyonge,...

      unakuta mikopo inakwenda kwa vigogo.

      Ajira ni bomu
      When your life becomes a battleground, your mind is the best weapon

    19. #17
      valid statement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2011
      Posts : 2,549
      Rep Power : 897
      Likes Received
      419
      Likes Given
      0

      Default Re: Ajira kwa Vijana ni Bomu linalosubiri Kupasuka! Serikali wake up!!

      Unadhani serikali inaweza ajiri kila anayehitaji ajira?

    20. #18
      BONGOLALA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 4,864
      Rep Power : 1469
      Likes Received
      1007
      Likes Given
      128

      Default Re: Ajira kwa Vijana ni Bomu linalosubiri Kupasuka! Serikali wake up!!

      Hakuna reli,viwanda, masoko ya uhakika wa mazao,umeme,maji ya umwagiliaji ajira itoke wapi zaidi ya uwakala wa china!

    21. #19
      SI unit's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2012
      Posts : 999
      Rep Power : 564
      Likes Received
      180
      Likes Given
      22

      Default

      Quote By valid statement
      Unadhani serikali inaweza ajiri kila anayehitaji ajira?
      .
      Ishu sio serikali iajiri kila anaehitaji ajira bro, but iwajengee uwezo (to empower) wananchi wake wajiajiri kwa kutumia rasilimali za nchi. Huwa tunapiga kelele kuhusu ujasiriamali n.k. but hatujiulizi jinsi serikali inavyosimamia na kuwezesha hao wajasiriamali. Kulikua na mamilioni ya baba mwanaasha one time, hatuelewi yalikoyeyukia. Tuwe wakweli bana, serikali haina sera ya msingi katika hili eneo la ajira, ama haijaweza kusimamia vema sera ya ajira (kama ipo sera makini)..

    22. #20
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,618
      Rep Power : 3337
      Likes Received
      1232
      Likes Given
      466

      Default Re: Ajira kwa Vijana ni Bomu linalosubiri Kupasuka! Serikali wake up!!

      hizi shule za kata ndio kifo cha ccm.

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Replies: 24
      Last Post: 17th February 2013, 15:58
    2. Kwa serikali, uhamiaji na wizara ya kazi ajira na vijana,
      By MZALENDOMKUU in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 6
      Last Post: 12th November 2011, 20:17
    3. Bajeti ya Wizara ya Kazi na Ajira
      By PrN-kazi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 15
      Last Post: 5th August 2011, 20:51
    4. Wizara ya Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana- Tovuti yenu inatia aibu
      By Sisimizi in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 1
      Last Post: 5th July 2010, 23:17
    5. Wizara ya kazi: Tatizo la ajira nchini lapungua toka 16% mpaka 13%
      By Hofstede in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 13th December 2008, 07:48

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...