Re: Kigoma Yatengwa! Usafiri balaa ..
Mikoa hii (Kigoma, Tanga, Mtwara, Lindi na Rukwa) inadharauliwa kama siyo vile siyo sehemu ya Tanzania, pamoja na kuwa nyuma sana kimaendeleo lakini mgawo wa bajeti ya maendeleo unaotolewa katika mikoa hii ni mdogo sana ukilinganisha na mikoa mingi ambayo hali yao ina ahueni. Labda waombe kujitenga na kuwa sehemu ya nchi jirani ndio vilio vya mikoa hii vitasikilizwa, vinginevyo itabaki kuwa nyuma kimaendeleo milele.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Follow Us Here