Niko kwenye maombi kumuomba Mungu ili baraza la mawaziri lisiwe na mafisadi papa
Niko kwenye maombi kumuomba Mungu ili baraza la mawaziri lisiwe na mafisadi papa
unamuomba mungu yupi huyo?
2010 - Kikwete amejiunga rasmi na kundi la maraisi madikiteta Afrika - Kibaki, Mugabe, Bashir etc - ili kuitawala Tanzania kimabavu
CCM wana namna yao ya kufanya maamuzi ambayo ni kero kwa wananchi
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Watakosekanaje mafisadi wakati wao ndo wamemweka bosi wetu?
God writes straight with crooked lines.
kwanini wasiwe mafisadi lazima jk atachagua mawaziri watakaohakikisha fedha zilizotumika kwenye kampeni zinarudi kwa nguvu zote.
Kwenye kura za maoni kwenyewe almost wote walionyesha dalili za ufisadi kwa kuhonga kupita kiasi...na ndio haohao watakaochaguliwa!
Mi naona bomba tu, chagueni mapapa maana mtakuwa mnaandaa ushindi mnono sana kwa cgadema hapo 2015
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
Tabiri orodha.
Follow Us Here