Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mchango wa John Okello [che Guevara wa East Africa] umefutwaje?

    Report Post
    Page 4 of 9 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 167
    1. #1
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,819
      Rep Power : 1617
      Likes Received
      988
      Likes Given
      29

      Default Mchango wa John Okello [che Guevara wa East Africa] umefutwaje?

      Mwka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu.

      Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu la kutangaza mapinduzi kwenye radio Zanzibar, ikumbukwe pia wakati mapambano yakiendelea ..aliyekuja kuwa rais wa Zanzibar mzee Karume na Babu walikuwa mafichoni na hawakushika wala bisibisi kwenye mapinduzi na hata ukiangalia ile picha ya wanamapinduzi ya kwanza John Okello amevalia kipolisi na amekaa kama kiongozi rasmi.

      Baada ya hali kutulia Okello anamtangaza Karume rais na Abdulrahman Babu kuwa Waziri mkuu. Na ndie aliyeenda kumpokea Karume kutoka alikokuwa amejificha kwa siku kadhaa.

      Baada ya siku chache mzee Karume akamfukuza Zanzibar kama mbwa John Okello [Field Marshal] na bila kujali mchango wake anatokomea kusikojulikana na historiaa ya mapinduzi ikafutwa na nafasi ya Okello ikaja kuwa mkwezi, mpiga tofali ambaye alibahatika kupiga picha [akiwa amekaa kitini katikati tu kwa sababu ya kuwa na kipaji cha kuongea - (kumbuka kuwa hata kiswahili chake kilikuwa 0kibovu)]

      Naomba kuchokoza mada kuhusu nafasi ya John Okello kwenye mapinduzi, kwa nini historia ilifunikwa?

      Je aliishia wapi,..wapenda historia ya kweli wameshatamani hata kujua lilipo kaburi lake..kumbukeni wenzetu Kenya baada ya kugundua hila wanahaha kutafuta kaburi la Field Marshal Dedan Kimathi...mbona wapenda hitoria Zanzibar na Tanganyika kwa jumla hamumtendei haki JOHN OKELLO [FIELDMASHAL]?


    2. #61
      Gad ONEYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 2,552
      Rep Power : 953
      Likes Received
      125
      Likes Given
      574

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Wakuu hata makala za Mihangwa kwenye gazeti la Raia Mwema amewahi kuileza hii historia vizuri kabisa kwamba kwenye mapinduzi ya znz Karume hakushiriki moja kwa moja ila tu alikuja kujikweza na pale alipohisi wale wanamapinduzi halisi wanastahili sifa zaidi yake yeye akaanza kuwawekea mizengwe!

    3. #62
      Mutu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2008
      Posts : 1,337
      Rep Power : 845
      Likes Received
      24
      Likes Given
      72

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Chimunguru View Post
      Mmimi nimesoma kile kitabu Cha JOHN OKELLO, hawa akina Karume hawana cha kujivunia pale inasikitisha sana tena sana jamaa walichomfanyia
      Angalia video nini kitabu okello ndio alifanya mapinduzi na kila kitu kisha anamkabidhi nchi kaRume mbele ya waandishi wa habari na PROF.Babu ndio MKALIMANI

      YouTube - ‫
      Lobapula likes this.

    4. #63
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,391
      Rep Power : 12973
      Likes Received
      4636
      Likes Given
      2506

      Default Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Edward Teller View Post
      HII NCHI KILA KILICHO CHA UKWELI INAJARIBU KUKIPINDISHA NA KUDANGANYA UMMA,SIJUI LINI SERIKAL ITAACHA KUWADANGANYA WANANCHI WAKE-CHEK LINK HII PIA-
      John_Okello
      John Okello aliulizwa alipanga vipi mapinduzi na kwa mda gani akajibu kwa Kiswahili tata kuwa "mungu wa Muafrika ndie aliyesaidia"

      Nitaegemea upande wa Dr Ghassany kwa hili, kuwa Okello alitumiwa tu na kina Hanga kwa usaidizi wa karibu na Kambona.

      Aliyeweza kuongoza mapinduzi asingekuwa mzembe kiasi cha kufanyiwa aliyofanyiwa mwishoni.

    5. #64
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,391
      Rep Power : 12973
      Likes Received
      4636
      Likes Given
      2506

      Default Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Mutu View Post
      Angalia video nini kitabu okello ndio alifanya mapinduzi na kila kitu kisha anamkabidhi nchi kaRume mbele ya waandishi wa habari na PROF.Babu ndio MKALIMANI

      YouTube - ‫
      Duh! ndio kusema hapo ndo alikuwa akikabidhi nchi?!

      Nchi alikabidhi kwa njia ya tangazo la redio kupitia Sauti ya watu wa Zanzibar

    6. #65
      FarLeftist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Posts : 364
      Rep Power : 520
      Likes Received
      11
      Likes Given
      5

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Edward Teller View Post
      HII NCHI KILA KILICHO CHA UKWELI INAJARIBU KUKIPINDISHA NA KUDANGANYA UMMA,SIJUI LINI SERIKAL ITAACHA KUWADANGANYA WANANCHI WAKE-CHEK LINK HII PIA-
      John_Okello
      .......after Amin promoted himself Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals" and had arranged his assassination. This remains speculative, however. (wikipedia)


    7. #66
      babukijana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2009
      Posts : 2,917
      Rep Power : 1090
      Likes Received
      324
      Likes Given
      152

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Soma kitabu cha Harry ghassany kwaheri ukoloni ndio utauona unafki wa wazanzibari na Mambo mengi yameelezwa humo na wahusika wakuu wa mapinduzi

    8. #67
      MESTOD's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2010
      Posts : 2,621
      Rep Power : 960
      Likes Received
      707
      Likes Given
      131

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Gaijin View Post
      John Okello aliulizwa alipanga vipi mapinduzi na kwa mda gani akajibu kwa Kiswahili tata kuwa "mungu wa Muafrika ndie aliyesaidia"

      Nitaegemea upande wa Dr Ghassany kwa hili, kuwa Okello alitumiwa tu na kina Hanga kwa usaidizi wa karibu na Kambona.

      Aliyeweza kuongoza mapinduzi asingekuwa mzembe kiasi cha kufanyiwa aliyofanyiwa mwishoni.

      Sasa ni nani hasa mwanamapinduzi halisi wa Zanzibar? Nimejikuta yote niliyoyajua kuhusu mapiduzi ya zanzibar yana mushkeli. Ni nani aliratibu, na kutokea wapi? Na kwa nini hakutaka kujionesha? Ukiangalia kwa mapinduzi halisi yalivyokuwa, Okello hangeishia kiaina vile, maana angekuwa na support kubwa (ukichukulia maanani, kupanga, kuratibu, na kutekeleza mapinduzi ya kumng'oa mtu madarakani) ni lazima ungetokea mtikisiko mkubwa wa kumpindua Okello na timu yake ili power nyingine iingie, siyo atokomee kiaina hivyo>

    9. #68
      Geza Ulole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2009
      Posts : 3,804
      Rep Power : 1341
      Likes Received
      773
      Likes Given
      140

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      so what akiwa Mwanapinduzi? haibadilishi kuondolewa kwa serikali haramu ya Kisultan hapo zanzibar kabla ya Mapinduzi! Mbona Wafaransa ndio walileta mapinduzi Marekani mwaka 1776?
      Lobapula likes this.

    10. #69
      Expedito Mduda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2009
      Posts : 269
      Rep Power : 549
      Likes Received
      32
      Likes Given
      33

      Default Kumbe John Gideon Okello ndo Mwanamapinduzi Zanzibar!!!

      John Okello was baptised at two years old (his baptised name being Gideon). From his eleventh year, he was an orphan and he grew up with other relatives. When he was fifteen, he left his house in order to search for work and he worked in several places in East Africa. He worked from 1944 as clerk, manservant, gardener and worker. He later learned the trade of bricklaying and was active as a bricklayer. He was arrested in Nairobi (Kenya) for unclear reasons (he himself stated that he was arrested for a crime of sexual nature) and stayed in prison for two years. During his incarceration he became a revolutionary.
      Speculations are abound about Okello having held residence and being trained in the communist Cuba of Fidel Castro, although this has not been confirmed by Okello himself.

      Police officer on Pemba

      In 1959 Okello left for the island of Pemba, where he tried to find work on one of the farms, but became a police officer instead. Okello joined the Afro-Shirazi Party of sheik Abeid Karume. This party opposed the domineering position of the minority Arabs on the islands of Zanzibar and Pemba.

      Revolutionary

      Okello left for Zanzibar in 1963, where he contacted the leaders of the Afro-Shirazi Youth League, the youth organisation of the Afro-Shirazi Party. The Youth League strived for a revolution in order to break the power of the Arabs. On Zanzibar, Okello was also a member of the Painters Union, being a house painter. In his free time he built up a small army of determined African nationalists. This army was required to hold themselves to the strict rules of Okello: sexual abstinence, no raw meat and no alcohol.
      The highly religious Okello was convinced he had been given orders in his dreams by God to break the powerful position of the Arabs and to found the revolutionary state on Zanzibar and Pemba. On the night before the “revolution”, Okello gave his men the order to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins.

      Uprising

      On January 12, 1964, with popular support from the island's oppressed native African majority, Okello and his men fought their way to the capital of Zanzibar, Stone Town, where the sultan lived. Even though they were poorly armed, Okello and his men surprised the police force of Zanzibar and they took power.
      During a speech on radio, Okello dubbed himself the "field marshal of Zanzibar and Pemba". He gave the sultan an order to kill his family and to kill himself afterwards; otherwise, Okello would do so himself. However, the sultan had already brought himself to safety later to be harboured in Britain. The prime minister and other ministers also managed to escape.
      The coup led to the poorly-known massacre of between 5,000 and 20,000 Arabs, whose families had been living in Zanzibar for centuries, between January 18 and 20.[1]

      Shoved to the side

      Okello created a Revolutionary Council and named the leader of the Afro-Shirazi Party, Abeid Karume, as president and leader of the (Arabic) Umma-(Massa) Party, sheik Abdulrahman Muhammad Babu as prime minister (later: vice-president). Both Karume and Babu had not been informed of the coup. Both residing in Tanganyika, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume or Babu wanted anything to do with him. When Okello left for the African mainland they forbade him to return and he was deported both from Tanganyika and Kenya.

      Speculations concerning his death

      Okello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the Ugandan president Idi Amin in 1971 and vanished afterwards. In the book “Revolution on Zanzibar”, written by Don Petterson, it is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals"[citation needed]) and had arranged his assassination. This remains speculative, however.


      What does it mean?
      I actually do not understand the reason as to why only a little is told about Okello. To me Okello is a very important figure in the Zanzibari history. The concerned should write a more explicit history of this person so that the present generation and the future ones inherit a more correct history of their country, Zanzibar!
      "The significant problems we face cannot be solved at the same level of thinking we were at when we created them." Albert Einstein

    11. #70
      Didia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Posts : 339
      Rep Power : 504
      Likes Received
      60
      Likes Given
      55

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Geza Ulole View Post
      so what akiwa Mwanapinduzi? haibadilishi kuondolewa kwa serikali haramu ya Kisultan hapo zanzibar kabla ya Mapinduzi! Mbona Wafaransa ndio walileta mapinduzi Marekani mwaka 1776?
      Swala hapa ni viongozi wa SMZ kujipachika ujiko wa mapinduzi hasa kwa Karume na kufundisha Historia isiyo sahihi. Swala pia nikutumia mapinduzi kama dhana ya kukandamiza demokrasia visiwani. Soma Demoratic Process in Zbar A Retarded Transition? by Dr. Muhamed Bakari

    12. #71
      kmwemtsi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th November 2010
      Posts : 119
      Rep Power : 460
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Here is okello's story!! But why there is a little mention of a Man.


      This man born in Uganda in 1937, orphaned at 11 years old and left to fend for his siblings at the age of 15. He moved across the border to Kenya where he worked for a couple years before relocating to Zanzibar in 1963. He worked as a manservant, gardener, bricklayer, painter (some say he even worked as a police officer in Pemba Island) and later became actively involved in Zanzibar politics. Noticeably, wherever he worked he instigated workers’ upheavals demanding for their rights. He was illiterate with only a modest understanding of English and Kiswahili; highly spiritual claiming that God had sent him to deliver the African man from oppression. It was speculated that Okello was trained as a communist in Cuba under Fidel Castro, a suspicion which he repeatedly denies in his book.

      This was also the same period when various African countries had their own crosses to bear – the emancipation from the White man rule -Kenya with the Mau Mau Uprising and previously Uganda which had just secured independence around the same time.

      Okello says that the then East African Presidents, Milton Obote of Uganda, Jomo Kenyatta of Kenya and Julius Nyerere of Tanganyika (now known as Tanzania) locked him out of East Africa, he was arrested in Nairobi Kenya and was detained. He wrote his book from prison and believed to have died in his home country Uganda.

      In Zanzibar, Okello landed himself of a job as a house painter, and became a member of the Painters Union. He had his devotees whom he met apparently met in secret; he stipulated austere rules: sexual abstinence, no raw meat and alcohol. He had several references from the bible, mostly alluding to the Old Testament.

      He was later invited to join Afro-Shirazi Party which opposed minority Arab dominance in Zanzibar and Pemba islands. In early 1964, Okello ordered his men to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins. By this time Okello had gained a lot of popularity in both Pemba and Zanzibar Isalnds. With this support, Okello and his troop fought their way to the capital of Zanzibar, Stone Town, where the sultan lived intimidating even the police force. He took over the national radio, made a live speech demanding the Sultan, Jamshid bin Abdullah to kill his family, then kill himself afterwards;

      “….I am thinking of going to Mtendeni (village) to destroy it if the people there do not obey orders. After 40 minutes I am coming to finish you off, especially the Comorians”. And “To all Arab youths living in Malindi; I will pass through Malindi armed with weapons of which I alone know. I want to see everyone stripped to his underpants and laying down. I want to hear them singing…father of Africans. God bless him in his task and that of the Field Marshall.”



      The self –proclaimed Field Marshal, led a coup that saw about 20,000 Arabs killed, and whose families had resided in Zanzibar for centuries. However, the sultan, prime minister and other ministers had already managed to escape. During this time, Afro-Shirazi Party leader, Abeid Karume leader of the (Arabic) Umma-(Massa) Party, sheikh Abdulrahman Muhammad Babu as prime minister (later: vice-president) had not been informed of the coup.

      In his book, Okello relents on how he was disowned by Karume and Babu. He alludes to his Ugandan descents, unpopular Christian ideologies, amidst an Islamic dominated culture; communist suspicions that led to the sideline and later his rejection.

      I’m curious as to why there is little mention of a man who was a key player on Zanzibar’s revolution. No East African media has a mention of this man. A massacre that saw 20, 000 Arabs killed and others forced to flee Zanzibar with a poorly armed army led by ‘field marshal’, John Okello. A man behind a powerful insurrection story of Zanzibar, I want to know why this story didn’t have a chapter in my history book. I want to understand why his death is hardly thought of let alone mentioned. Or are we scared of scuffling dust that settled more than 45 years, scared of that which we do fail to identify with?

    13. #72
      Geza Ulole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2009
      Posts : 3,804
      Rep Power : 1341
      Likes Received
      773
      Likes Given
      140

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Didia View Post
      Swala hapa ni viongozi wa SMZ kujipachika ujiko wa mapinduzi hasa kwa Karume na kufundisha Historia isiyo sahihi. Swala pia nikutumia mapinduzi kama dhana ya kukandamiza demokrasia visiwani. Soma Demoratic Process in Zbar A Retarded Transition? by Dr. Muhamed Bakari
      acha utumwa wewe babu yako alikuwa anapandishwa minazi kutungua nazi za Muarabu hata leo hii huko Uarabuni Weusi wanatumikishwa kitumwa ukiacha mbali hapo Sudan kwa nusu Waarabu Weusi leo hii unadiriki kudai ati unakandamizwa

    14. #73
      Edward Teller's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Area 51
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1124
      Likes Received
      570
      Likes Given
      612

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By geza ulole View Post
      so what akiwa mwanapinduzi? Haibadilishi kuondolewa kwa serikali haramu ya kisultan hapo zanzibar kabla ya mapinduzi! mbona wafaransa ndio walileta mapinduzi marekani mwaka 1776?
      ndo tunachotaka hii nchi iweke hadharan mambo kama hayo-wamerekan wao hawajaficha wamesema ukweli,ila hapa mwanamapinduzi wanadai ni karume,walitakiwa bila woga waseme kuwa ni john okelo,na siku kama ya leo wamkumbe yeye
      “Talk slowly but think quickly”

    15. #74
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,391
      Rep Power : 12973
      Likes Received
      4636
      Likes Given
      2506

      Default Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Edward Teller View Post
      ndo tunachotaka hii nchi iweke hadharan mambo kama hayo-wamerekan wao hawajaficha wamesema ukweli,ila hapa mwanamapinduzi wanadai ni karume,walitakiwa bila woga waseme kuwa ni john okelo,na siku kama ya leo wamkumbe yeye
      Kwa kuanzia tu kuna kitabu kipya juu ya mapinduzi umekisoma?

      Tunavyotaka viongozi wetu wafanye ni vingi lakini hawatekelezi, ni wajibu wako kujitafutia ukweli mwenyewe

    16. #75
      Edward Teller's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Area 51
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1124
      Likes Received
      570
      Likes Given
      612

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Gaijin View Post
      Kwa kuanzia tu kuna kitabu kipya juu ya mapinduzi umekisoma?

      Tunavyotaka viongozi wetu wafanye ni vingi lakini hawatekelezi, ni wajibu wako kujitafutia ukweli mwenyewe
      naomba title yake mkuu-nikitafute
      “Talk slowly but think quickly”

    17. #76
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,391
      Rep Power : 12973
      Likes Received
      4636
      Likes Given
      2506

      Default Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By Edward Teller View Post
      naomba title yake mkuu-nikitafute
      Humu kishajadiliwa sana.

      Kinaitwa 'kwaheri ukoloni kwaheri uhuru' kilichoandikwa na Dr. Harith Ghassany

      Kinapatika free pia

    18. #77
      Edward Teller's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Area 51
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1124
      Likes Received
      570
      Likes Given
      612

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      Quote By gaijin View Post
      humu kishajadiliwa sana.

      Kinaitwa 'kwaheri ukoloni kwaheri uhuru' kilichoandikwa na dr. Harith ghassany

      kinapatika free pia
      nimekusoma mkuu
      “Talk slowly but think quickly”

    19. #78
      afroPianist's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Location : Dar
      Posts : 86
      Rep Power : 455
      Likes Received
      16
      Likes Given
      7

      Default Re: Kumbe John Gideon Okello ndo Mwanamapinduzi Zanzibar!!!

      Interesting!..Food for thought! What are your references on this story if i may ask?

    20. #79
      Son of Alaska's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2008
      Location : london
      Posts : 2,560
      Rep Power : 1076
      Likes Received
      655
      Likes Given
      261

      Default Re: Confirmed: John okello ndo mwanamapinduzi Zanzibar,Karume aliwekwa!

      it is said that NYERERE was the main player in OKELLO being erased from the history of zanzibar,i wonder if this is true

    21. #80
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,181
      Rep Power : 949
      Likes Received
      889
      Likes Given
      1

      Default Mapinduzi ya zanzibar yaliratibiwa & kuongozwa na john okello

      Historia ya Zanzibar imepotoshwa sana. Aliyoeleza leo Mama Karume TBC1 ni tips of the iceberg. Ukweli ni ni kwamba Abeid Aman Karume hakufahamu mpango mzima wa mapinduzi ya ZNZ ndiyo maana siku ya mapinduzi yenyewe alikuwa kwake kitandani amelala.

      Mapinduzi ya ZNZ yaliongozwa na field Marshal John Okello huyu ndiye aliyeratibu na kupanga mipango yote ya mapinduzi. Yeye ndiye aliyeongoza Wazanzibari wachache kuvamia ghala la silaha la polisi kwa kutumia mapanga na kufanikiwa kuliteka na kupata silaha ambazo baadaye walizitumia kumung'oa sultani mwarabu. Waliokuwepo enzi hizo wanakumbuka jinsi alivyokuwa akipita kila nyumba na sauti yake kali kuwasaka wakoloni waarabu.

      Lakini kwakuwa kwanza alikuwa mganda na pili hakuwa mwislamu hila zikafanywa kwa kushirikiana na Nyerere akatimuliwa ZNZ na kupewa Urais Karume ambaye eti ndiye siku hizi anatukuzwa kwamba kiongozi wa mapinduzi.

      Historia ya mapinduzi kwa kusahau kutaja jina la John Okello itaendelea kwatafuna Wazanzibari, huo ndiye aliyewakomboa kutoka mikononi mwa sultani lakini amesahauliwa kabisa.

      Kama tunavyohubiriwa siku kwamba Marehemu Karume aliuwawa na wapinga mapinduzi huu nao ni uongo wa hali ya juu. Karume aliuwawa na a lone gun man alimua ili kulipiza kisasi cha Karume kumua baba yake baada ya mapinduzi. Wakati huo kijana alipokuwa kisoma uanajeshi Urusi na aliporudi alijiunga na jeshi na kupa kwamba lazima alipiza kisasi na kweli alifanya hivyo ingawa Karume aliambiwa mapema lakini akawa akipuuza na kumpandisha cheo huo kijana akifikiri kwamba angesahau. Lakini yakamkuta

    Page 4 of 9 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Replies: 3
      Last Post: 29th November 2011, 18:10
    2. Replies: 3
      Last Post: 31st January 2011, 14:32
    3. Replies: 0
      Last Post: 3rd January 2011, 02:45

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...