| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 6111
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Richmond, IPTL, Excessive foreign trips...yes viongozi tunao
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Tupo tupendao watu, kwa huba na kuwajali,
Tunaothamini utu, na kupinga idhalali, Dhuluma ni mwiko kwetu, haki hushinda batili, Tupo tumejaa tele. Huyo mtotowake ndio gwiji la Richmond nasubiri kwa hamu hiyo ripoti ijayo ya Transparency International |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Dr na mwanahabari,
mada ni ya kishairi, wanabodi mahodari, waoyeshe umahiri. |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nakaa chini kutunga, jibu langu nitaleta
Machozi yamenilenga, hasira meno nang'ata, Lowassa nitampinga, bila hata tungo tata, Alichosema Bungeni, hakina chembe ya kweli!!! Nitajibu baadaye kidogo!
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Amkani mulolala,na wenye sikio koko
Isiwe mato kulola,natutizame twendako Tuwate na kuduwala,usingizi si mashiko Uwatapo haki yako,utaingiya motoni |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
wewe huyo au mzee Sudi Andanenga..???? au Marehemu Said Nyoka???
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wanabodi hawa sio viongozi
wanadhani wananchi wapuuzi Uchumi mbovu, safari kila mwezi IPTL-Richmond, hawa viongozi au wezi? I tried... |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Siche kifaru na ndovu, wangazidi nguvu zako
Wapempe kwa uwekevu, unusuru haki yako Siandame wapumbavu,kilicho chako ni chako Uwatapo haki yako, utaingiya motoni |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Lowasa katugania,
Genge lake kusifia, Kichuguu ninalia, Tungo sikusikia, Sikusikia Tungo, Isiyojaa uwongo, Genge hili kwa hongo, Laimaliza bongo, Bongo yetu wamaliza, kwa ishirina na tiza, Tunalala kwenye kiza, Sababu yao vilaza,
__________________
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo Last edited by Kichuguu; 16th November 2006 at 07:53 AM..
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 03:27 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||