JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Gazeti la Uhuru mtandaoni

  Report Post
  Results 1 to 18 of 18
  1. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6824
   Likes Given
   11203

   Default Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Hivi hawa jamaa wa Uhuru/Mzalendo walibadilisha website lini?

   Katika hangaika yangu nimejaribu kutembelea URL ambayo nilikuwa nikiipitia zamani nikakumbana na dhahma.

   Si kuwa website yao ni http://www.uhuru.info ?

   If so; wameshindwa kazi?

   Uhuru.info favorites: 50 Cent | Shakira | Reggae Music | Mp3 Players | Free Music | Free Music Download
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]  2. Kitila Mkumbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th February 2006
   Posts : 4,051
   Rep Power : 39530
   Likes Received
   1696
   Likes Given
   67

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Hao wameingia mitini siku nyingi sana. Watawezaje kazi wakati kigezo cha kuajiri ni ukada?
   A Struggle Without Casualties is No Struggle-Steve Biko

  3. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6824
   Likes Given
   11203

   Default

   Quote By Kitila Mkumbo View Post
   Hao wameingia mitini siku nyingi sana. Watawezaje kazi wakati kigezo cha kuajiri ni ukada?
   Oh, basi mimi nikadhani labda ni system yangu ndiyo inani-redirect kwenda nilikodondokea.

   Namiss the way walivyokuwa wakiweka picha kwenye front page zikiwa na madongo ya moja kwa moja. Oh, ilikuwa burudani ya aina yake.
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]


  4. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,479
   Rep Power : 429504380
   Likes Received
   22045
   Likes Given
   68192

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Mkuu Invisible nakusaidia kidogo nimelipata Gazeti la Mzalendo naoan hilo hapa http://www.mzalendo.net/

  5. #5
   JoJiPoJi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2009
   Location : Mars
   Posts : 1,762
   Rep Power : 1385
   Likes Received
   358
   Likes Given
   121

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   hiyo ya chama inakuwa shida, ndio gazeti ambalo kila siku unatakiwa liwe hewani, mambo magumu sana haya sio maskara
   Mabadiliko ya Kweli, Uhuru wa Kweli


  6. #6
   Sinkala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Location : Your office's next door
   Posts : 1,466
   Rep Power : 955
   Likes Received
   219
   Likes Given
   68

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Invisible nakusaidia kidogo nimelipata Gazeti la Mzalendo naoan hilo hapa http://www.mzalendo.net/
   Duuh, Mzizi umeileta thread ya mwaka juzi! Anyway, kadri 2010 inavyokaribia, tutashuhudia website nyingi tu zilizokuwa zimelala zikifufuliwa!
   Invisible, Ab-Titchaz, Peasant and 1,289,436 others like this.

  7. MrFroasty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd June 2009
   Posts : 673
   Rep Power : 770
   Likes Received
   75
   Likes Given
   14

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Invisible nakusaidia kidogo nimelipata Gazeti la Mzalendo naoan hilo hapa http://www.mzalendo.net/
   Hilo sio saiti ya gazeti la mzalendo, hiyo ni blogi MZALENDO.NET.
   Hatuna mahusiano kabisa na gazeti hilo.

   Sijuwi hao uhuru wamekumbana na nini hata website yao imekwenda down, nafikiria ni malipo ya domain...but I can only guess

   GR
   Admin -MZLAENDO.NET

  8. #8
   Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Hivi haya magazeti bado ni ya chama au ni ya serikali?
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  9. Che Kalizozele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2008
   Location : Area C
   Posts : 781
   Rep Power : 840
   Likes Received
   25
   Likes Given
   11

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Quote By Fidel80 View Post
   Hivi haya magazeti bado ni ya chama au ni ya serikali?
   Mpwa nae,kwani tumeanza lini kutenganisha chama na serikali?Siku unapowasikia wansema kwa kutenganisha hivi vitu viwili basi jua they can be used interchangeable
   SIWEZI KUMRIDHISHA RUHANI WAKATI KITI ANAUMIA.

  10. StoneTown's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 28th May 2007
   Posts : 127
   Rep Power : 769
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Asalamu alaykum

   Habari za siku kupoteana nimekuwa kimya muda mrefu couse ya shughuli nyingi but I hope nyote mpo wazima kabisa na wenye afya kamili ambapo mimi napenda muwe hivyo inshaallah.

   Suala la gazeti la uhuru limekuwa likinisumbua hata mimi muda mrefu naona limetoweka ila nadhani wamesitisha kidogo kuliweka mtandaoni maana nayo sio kazi ndogo may be watu wa IT wamepata dharurua kidogo au baada ya muda watakuwa hewani maana hata Mwananchi wakati mwengine mtandao wake huchezewa na watu fulani fulani hivi na matokeo yake huwa hakuna kinachopatikana ingawa kunakuwepo taarifa kwamba mtandao una matatizo.

   mtandao wa mzalendo.net hauna uhusiano na gazeti la uhuru na mzalendo huo ni mtandao wa mtu binafsi na sio wa kampuni ya gazeti.

   any way nakutakieni siku njema wacha nijiburudishe hapa forodhani katika upepo mwanana wa bahari ya hindi na foro mpya tuliotengenezewa na Agha khan.

   stonetowner

  11. Babylon's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th February 2009
   Posts : 1,347
   Rep Power : 925
   Likes Received
   76
   Likes Given
   3

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Quote By StoneTown View Post
   Asalamu alaykum

   Habari za siku kupoteana nimekuwa kimya muda mrefu couse ya shughuli nyingi but I hope nyote mpo wazima kabisa na wenye afya kamili ambapo mimi napenda muwe hivyo inshaallah.

   Suala la gazeti la uhuru limekuwa likinisumbua hata mimi muda mrefu naona limetoweka ila nadhani wamesitisha kidogo kuliweka mtandaoni maana nayo sio kazi ndogo may be watu wa IT wamepata dharurua kidogo au baada ya muda watakuwa hewani maana hata Mwananchi wakati mwengine mtandao wake huchezewa na watu fulani fulani hivi na matokeo yake huwa hakuna kinachopatikana ingawa kunakuwepo taarifa kwamba mtandao una matatizo.

   mtandao wa mzalendo.net hauna uhusiano na gazeti la uhuru na mzalendo huo ni mtandao wa mtu binafsi na sio wa kampuni ya gazeti.

   any way nakutakieni siku njema wacha nijiburudishe hapa forodhani katika upepo mwanana wa bahari ya hindi na foro mpya tuliotengenezewa na Agha khan.

   stonetowner
   Kataika burudani yako ya hapo Forodhani usisahau kuvaa seruni au kikoi.siku njema

  12. #12
   Pape's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2008
   Posts : 5,549
   Rep Power : 1773
   Likes Received
   37
   Likes Given
   0

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   wanahitaji live members kama wa JF

  13. tpmazembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 2,425
   Rep Power : 1052
   Likes Received
   517
   Likes Given
   244

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Quote By Invisible View Post
   Hivi hawa jamaa wa Uhuru/Mzalendo walibadilisha website lini?

   Katika hangaika yangu nimejaribu kutembelea URL ambayo nilikuwa nikiipitia zamani nikakumbana na dhahma.

   Si kuwa website yao ni Uhuru.info ?

   If so; wameshindwa kazi?
   hilo gazeti ni la kila siku lakini halijiendeshi linaendeshwa tu ,maana mauzo yake hayalipi huwezi linganisha na akina mwananchi,tanzania daima,daily na gurdian,yaani pesa ya mauzo haiwezi hata kulipa uchapishaji,kwa hiyo usishangae sana na wenye hilo gazeti wanajua kula tu maendeleo hawaju ukitaka kuamini tembelea website ya ccm utaiona ilivyo na update zake alafu ulinganishe na status yake ya kupokea mabilioni ya ruzuku kwa mwana na mamilioni ya wanachama

  14. sembo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2011
   Posts : 2,170
   Rep Power : 970
   Likes Received
   595
   Likes Given
   500

   Default

   Quote By Kitila Mkumbo View Post
   Hao wameingia mitini siku nyingi sana. Watawezaje kazi wakati kigezo cha kuajiri ni ukada?
   Nilipenda sana mitizamo yako ya kipindi hicho, na si ya hivi sasa baada ya kuwa Le Profeseri.

  15. frema120's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2012
   Location : TANDALE KWATUMBO
   Posts : 5,094
   Rep Power : 148556
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   242

   Default

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Invisible nakusaidia kidogo nimelipata Gazeti la Mzalendo naoan hilo hapa Mzalendo.net - Zanzibar na zama za ukweli na uwazi
   Mkuu hiyo ni blog ya zanzibar, sio gazeti.

  16. blessings's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2012
   Location : Arusha
   Posts : 1,375
   Rep Power : 0
   Likes Received
   645
   Likes Given
   471

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   hili gazeti linastahili tunzo kwa kupotosha umma aisee, yaani yale mafuriko ya jana wanadai eti vibaka na wamepora maduka? kweli ndugu zangu uhuru?

  17. Mapengo 17's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2014
   Posts : 1,221
   Rep Power : 109069587
   Likes Received
   571
   Likes Given
   1493

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Hahahaha duh!ni ya zamani lakini ngoja ijadiliwe.
   Smiling is a universal sign of happiness!

  18. hekimatele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 9,037
   Rep Power : 159399918
   Likes Received
   1961
   Likes Given
   836

   Default Re: Gazeti la Uhuru mtandaoni

   Kwani kuna watu wananunuaga bado hili gazeti?
   “Politics is the art of postponing decisions until they are no longer relevant.” Henri Queuille


  Similar Topics

  1. Gazeti la mashoga wa Kenya mtandaoni!
   By Askari Kanzu in forum Kenyan News
   Replies: 0
   Last Post: 18th October 2011, 18:14
  2. Gazeti la Uhuru,Redio Uhuru na TBC vinaiua CCM na serikali ya Kiwete bila kujijua!
   By Yericko Nyerere in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 21
   Last Post: 14th August 2011, 23:48
  3. GAZETI LA UHURU: 'Tumechoka'
   By nngu007 in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 19
   Last Post: 1st August 2011, 14:00
  4. Coming soon:Gazeti la Mwanahalisi Mtandaoni
   By John Mnyika in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 31
   Last Post: 20th March 2007, 20:20

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...