PPF wamefanya AGM yao huko Arusha na kwa mbwembwe na mikogo ya kufa mtu na a day before hajamaliza wakatangaza kuwa mafao yamepanda from 21,000 to 50,000.....na watu walishangilia mle ndani utafkiri Tanzania imeshinda World Cup kuwa mambo si ndio hayo
NSSF kumbe nao on the same day wakatangaza kupanda kwa mafao from 50,000 to 80,000 sasa kwa nini serikali haitaki sisi wachangiaji kuhama mifuko kama hii ya PPF kwenda NSSF ambako pensio ni kubwa?
Unless bwana URIO wa PPF ana good reason ya kunizuia nisihame maana huu upuuzi kulipwa 50,000 wakati kuna sehemu unalipwa 80,000

Reply With Quote
Follow Us Here