Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nini kauli ya Kikwete kuhusu ulinzi wa Majini na Utakatifu wa Ikului?

    Report Post
    Results 1 to 5 of 5
    1. #1
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1199
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default Nini kauli ya Kikwete kuhusu ulinzi wa Majini na Utakatifu wa Ikului?

      Wadau, hivi karibuni kinara wa utabiri wa nyota nchini Sheikh Yahya Hussein alitoboa siri kuwa kuanguka jukwaani kwa Kikwete wakati wa uzinduzi wa KAmpeni za Urais ni kwa sababu ya kutumiwa Majini na mahasimu wake katika kinyang'anyiro cha kugombea Urais! KAtika kauli hiyo, Sheikh Yahya alibainisha kuwa sasa anatoa ulinzi rasmi wa Kimapepo kwa Kikwete kauli ambayo imechukuliwa kwa mifazamo tofauti.

      Bahati mbaya hata Kiwete mwenyewe amekaa kimya juu ya kauli hiyo ya Ulinzi wa Majini anaopewa na Sheikh Yahya na sisi Watanzania tunashindwa kujua kuwa ameukubali ulinzi huo au la. BAhati mbaya hata Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rai kwa sasa ni kama iko likizo au kwenye Kampeni na kusahau wajibu wake wa kutolea ufafanuzi kauli tata zinazolenga kumdhalilisha Kikwete, kuidhalilisha Serikali, kuidhalilisha Ikulu na Watanzania zilizotolewa na Mpiga ramli huyo ajiitaye Sheikh!

      Jana kwenye kamapeni za Kikwete na CCM pale Uwanaj wa Sheikh Amri Abeid Arusha, mpiga kura mmoja nilimsikia akisema amekuja kusikiliza tamko la Kikwete kukanusha kupewa Ulinzi wa Kipepo na Sheikh Yahya ili ajue kama ampe kura yake au la. Bahati mbaya sikukaa hadi mwisho maana Mh. Kikwete alianza kuhutubia saa 12 jioni.

      Nahofia sana, tena sana iwapo atachaguliwa kuwa Rais huku Ikulu na yeye 'Rais' akilindwa na Majini. Nina hofu kubwa Ikulu kugeuzwa kuwa sehemu ya Waganga wa kienyeji na Wachawi, na Wapuiga Ramli. Huku kuakuwa ni kuidhoofisha Ikulu na nchi kwa ujumla. Tafadhali sana Kikwete au Kurugenzi ya MAwasiliano ya Ikulu itoe tamko ii wengine tufanye maamuzi ya uchaguzi wa Rais hata kwa kigezo hicho.
      ''UBAYA UTASHAMIRI NA KUPATA NGUVU ZAIDI IWAPO WATU WEMA WAMEAMUA KUKAA KIMYA '', Edmond Burke
      " What we believe, inevitably affects how we live," Howard Marshall

    2. Miaka 50

    3. #2
      Mwafrika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2006
      Posts : 4,546
      Rep Power : 1557
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Nini kauli ya Kikwete kuhusu ulinzi wa Majini na Utakatifu wa Ikului?

      Kikwete anakubaliana na Shehe Yahaya.
      Kikwete analindwa na majini ya shehe huyu anayeirudisha Tanzania kwenye karne ya 10

    4. #3
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,857
      Rep Power : 1951
      Likes Received
      435
      Likes Given
      4283

      Default Re: Nini kauli ya Kikwete kuhusu ulinzi wa Majini na Utakatifu wa Ikului?

      Hawezi kusema lolote kwa sababu ni muumini wa maSheik na watanzania twatawaliwa na nguvu za kiza
      wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

      ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

    5. #4
      edger blaston's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Kaa la Moto
      Hawezi kusema lolote kwa sababu ni muumini wa maSheik na watanzania twatawaliwa na nguvu za kiza
      thatz true

    6. #5
      Dr.Mbura's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th June 2009
      Posts : 117
      Rep Power : 527
      Likes Received
      41
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mwafrika
      Kikwete anakubaliana na Shehe Yahaya.Kikwete analindwa na majini ya shehe huyu anayeirudisha Tanzania kwenye karne ya 10
      Mchungaji Gwajima alimpaga JK siku saba aukanushe huo ulinzi ya mapepo aliposhindwa akatangaza rasmi mbele ya watu elfu sitini kwa kuwa rais amekaa kimya yeye ni mwanga na huyo mchawi Yahya akampa mwaka mmoja aache uchawi asipofanya hiyo atakufa na sasa kweli amekufa. Gwajima alimwambia JK umeshinda kupitia uchawi lakini kuna mchale wa Mungu unamwinda na hatamaliza miaka mitano madarakani

    7. RukaaJuu Final

    Similar Topics

    1. Nchi yetu na Ulinzi wa Majini
      By H6MohdH6 in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 1
      Last Post: 28th October 2010, 17:16
    2. Ukweli kuhusu kauli ya vyombo vya ulinzi na usalama
      By Kishongo in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 16
      Last Post: 9th October 2010, 23:13
    3. Mh. Kikwete anaumwa nini na Ulinzi wa Sheikh Yahya
      By BWAXY in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 249
      Last Post: 14th September 2010, 12:44
    4. Replies: 9
      Last Post: 11th May 2010, 17:51
    5. Kauli ya Mkulo kuhusu EPA: Kikwete vunja ukimya
      By BAK in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 6
      Last Post: 30th June 2008, 12:14

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...