Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Gold reserve ya Tanzania bado ipo? Kama haipo iliuzwa lini?

    Report Post
    Results 1 to 15 of 15
    1. #1
      Ntemi Kazwile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2010
      Location : Bongo salidalam
      Posts : 1,873
      Rep Power : 833
      Likes Received
      135
      Likes Given
      449

      Default Gold reserve ya Tanzania bado ipo? Kama haipo iliuzwa lini?

      Wadau, katika utawala wa Nyerere fedha zilizokuwa kwenye mzunguko nchini zilikuwa backed up na GOLD RESERVE pale benki kuu. Hii ilimanisha kuwa kama kwenye mzunguko kulikuwa na trioni 10 basi benki kuu palikuwa na dhahabu yenye thamani kama hiyo.

      Baada ya mageuzi ya uchumi ya kuanzia kwa Mzee Mwinyi na baadaye Mkapa tuliondoka kwenye GOLD based currency na kuanza mfumo wa PAPER MONEY ambao maana yake ni kwamba benki kuu inaweza ku-print fedha kadri ya mahitaji ya serikali na hii ni mojawapo ya sababu ya fedha kupoteza thamani.

      Naomba kuuliza kama kuna mtu anajua hii reserve iliuzwa lini? na kama haijauzwa mpaka sasa tuna dhahabu za thamani gani pale BOT??
      Steve Dii likes this.
      “If people are not laughing at your dreams at least once a week, you are aiming too low.” Robin Sharma.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Msharika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 867
      Rep Power : 684
      Likes Received
      44
      Likes Given
      4

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania bado ipo? Kama haipo iliuzwa lini?

      Babu fisadi hawa watakuwa wameiacha kweli? sijui watujuze wajuzi JF

    4. #3
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Gold reserve ya Tanzania



      Hivi kwa nini watu wa BOT hawatuambii tuna gold reserve yenye thamani gani?

      Imagine...Libya waliwaamini sana waingereza na western countries na nadhani mnaona kinachoendelea

      sasa jana Rais Hugo Chavez wa Venezuela ametoa amri kuwa gold reserves za Venezuela ambazo ziko offshore, (nyingi zaid ziko UK) zirejeshwe Venezuela

      http://www.businessweek.com/news/2011-08-17/venezuela-to-repatriate-gold-reserves-from-u-s-and-europe.html

      s
      asa huyu Gavana wetu ambaye huwa hafanyi hata press conference inabidi atuambie tuna reserve ya kiasi gani ndani na nje ya nchi. Na kama nje ziko nchi zipi na kama ziko kwenye ma benki ya nje ni benki zipi tangu lini na zina worth how much na chini ya mikataba ipi na iliopitishwa na nani.
      Last edited by Game Theory; 20th August 2011 at 04:01.
      Steve Dii likes this.

    5. #4
      Steve Dii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2007
      Location : Kihesa - Iringa
      Posts : 6,795
      Rep Power : 3279
      Likes Received
      924
      Likes Given
      2800

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      Quote By SlidingRoof
      Hivi kwa nini watu wa BIT hawatuambii tuna gold reserve yenye thamani gani?
      Prof Ndulu said BoT decided to close the gold reserve in 2006 due to volatility of the gold prices in the world market.
      Link: allAfrica.com: Tanzania: Reintroduce Local Gold Reserve, Team Tells Bot
      SlidingRoof likes this.



      Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

      Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.



    6. #5
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,287
      Rep Power : 3572
      Likes Received
      3079
      Likes Given
      465

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      Hatuna GOLD reserves... Kenya has more than us that's why their Economy is stable... they per par GOLD

      Sisi wajinga tuliuza all of our GOLD reserves... pesa tukazila... we did not invest on infrastructure...
      Jasusi, Steve Dii and SlidingRoof like this.


    7. #6
      Steve Dii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2007
      Location : Kihesa - Iringa
      Posts : 6,795
      Rep Power : 3279
      Likes Received
      924
      Likes Given
      2800

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      Quote By nngu007
      Hatuna GOLD reserves... Kenya has more than us that's why their Economy is stable... they per par GOLD

      Sisi wajinga tuliuza all of our GOLD reserves... pesa tukazila... we did not invest on infrastructure...
      Wachumi wetu Tanzania, tena ma-professa, kila pahala wapo...!! What a bunch of unpatriotic tw*ts!!!
      SlidingRoof likes this.

    8. #7
      Zing's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2009
      Posts : 1,780
      Rep Power : 3181
      Likes Received
      426
      Likes Given
      552

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      Between Tanzania shiling and gold wich is more volatile.?

      And if Gold is more volatile why do "ugolded" state like US UK kenya have gold reserve .?

      Though am not an ecomnomist i can conclude that we have short sighted manager and leader in our critical institutions.People with no strategic vision. Just making strategic decsion sighting three or 12 months

      Yes u can see whet we tanzanian are made of in enegery . 40 MGW , 20MGW. it all a a minister and parlaiment can discuss for one year. shame to say that to have 100 MGW we need another richmond .

      Guess what if we need 500 MGW as a single project we need a coup.
      Last edited by Zing; 20th August 2011 at 12:36.
      Steve Dii and SlidingRoof like this.

    9. #8
      The Boss's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th August 2009
      Location : DARESALAAM
      Posts : 18,175
      Rep Power : 21618
      Likes Received
      13496
      Likes Given
      17794

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      Ukisikia taifa la pwagu na pwaguzi
      ndio sisi...
      Jasusi, sanjo and SlidingRoof like this.
      Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!

    10. #9
      Augustine Moshi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2006
      Posts : 1,798
      Rep Power : 1843
      Likes Received
      163
      Likes Given
      56

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      We bought gold for our gold reserve at $600 per ounce, sold it at $200 per ounce and now we need to buy it again, at $1,800 per ounce!

      How did we spend the money when we sold our gold reserves in 2006? And why did the new government sell the national gold reserves just one year into office?

      I am surprised that Prof Ndulu claims that the price of gold is unstable. Is he the only national banker who thinks that way? All other countries seem to think otherwise. And who has the final say on the matter: the BOT Governor or parliament?
      Steve Dii likes this.

    11. #10
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      No one knows....

    12. #11
      Ngonini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st September 2010
      Posts : 1,308
      Rep Power : 1281
      Likes Received
      281
      Likes Given
      41

      Default

      Quote By Augustine Moshi
      We bought gold for our gold reserve at $600 per ounce, sold it at $200 per ounce and now we need to buy it again, at $1,800 per ounce!<br />
      <br />
      How did we spend the money when we sold our gold reserves in 2006? And why did the new government sell the national gold reserves just one year into office? <br />
      <br />
      I am surprised that Prof Ndulu claims that the price of gold is unstable. Is he the only national banker who thinks that way? All other countries seem to think otherwise. And who has the final say on the matter: the BOT Governor or parliament?
      <br />
      <br />


      Hivi JK ndo ameuza Dhahabu in 2006! Hivi hizo hela zilifanya nini cha maana maana tangu aingie madarakani hamna miundo mbinu ya kimkakati iliyojengwa na serikali yake. Hata barabara alizoachiwa na Mwenzake ndo zingine zimeisha mwaka huu.

      Hii hela ya dhahabu imetumika wapi?

      Yaani ina maana tumekula vitumbua na mandazi tu basi?

      Kweli Mzigo wa miwa wa mpumbavu huishia kichwani hata kabla hajautua.
      Steve Dii likes this.

    13. #12
      Daniel Anderson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2011
      Location : LUPA CHUNYA
      Posts : 826
      Rep Power : 559
      Likes Received
      130
      Likes Given
      348

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania bado ipo? Kama haipo iliuzwa lini?

      Jaman huyu JK ni devil-driven creature. Hebu tuongeze speed ya maamuz tumtoe. Hakika ya MUBARAK lazima yamkute huyu.
      Hata akisingizia anaumwa ugonjwa wa roho. Ebo!

    14. #13
      Bishop Hiluka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,497
      Rep Power : 5985
      Likes Received
      492
      Likes Given
      154

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania

      Quote By The Boss
      Ukisikia taifa la pwagu na pwaguzi
      ndio sisi...
      Ni kweli, maisha yetu hayana tofauti na komedi!
      It's better to be hated for who you are,
      than to be loved for someone you are not...

    15. #14
      Steve Dii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2007
      Location : Kihesa - Iringa
      Posts : 6,795
      Rep Power : 3279
      Likes Received
      924
      Likes Given
      2800

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania bado ipo? Kama haipo iliuzwa lini?

      Haya ndiyo yaleyale ya akina Mkapa, Sumaye, Meighj na Ballali; wanauza nyumba na mashirika ya umma kwa bei za kutupa na chenji inapowekwa hazina, bila ku-equate kinachopotea, wanatoa matamko makubwa makubwa kuwa uchumi wetu umekua na kuimalika. Miaka michache mbeleni inabidi tuwajengee tena magavana na maspika wetu nyumba za kuishi!! What a bunch of unpatriotic shortsighted so-called leaders!!
      Mtazamaji and Zing like this.



      Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

      Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.



    16. #15
      Mtazamaji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2008
      Location : global village
      Posts : 5,979
      Rep Power : 1776
      Likes Received
      1323
      Likes Given
      2661

      Default Re: Gold reserve ya Tanzania bado ipo? Kama haipo iliuzwa lini?

      Quote By Augustine Moshi
      ............................

      I am surprised that Prof Ndulu claims that the price of gold is unstable. Is he the only national banker who thinks that way? All other countries seem to think otherwise. And who has the final say on the matter: the BOT Governor or parliament?
      I have just said its a a problem of selecting middle manager leaders in a strategic position. I once wrote a thread about decision making making. Our institions depend on people brain instead of depending on the process.

      Ndulu, Tibaijuka or whom ever can perform better in international institutuon not becuse they are best its because those insititution have the right processes, procudures and tools to help people make sound infomrmed decision

      This word we are living is so complex and upredictable. No matter how many distinctions one had in univerisity or whether he worked at IMF and Word bank , decision of critical matter need to be a scientific and technolgical process. Some instiuition and countries have something called decsion support system ( DSS)

      A computer system wich when input with right data , scenario and projections it help managers make informed decision.


      I once wrote this cost- free online seminar http://www.jamiiforums.com/habari-na...and-model.html.

      Inashangaza taasisi kama BOT amabayo tunaamii inaajiri vichwa kuna madudu mengi sana.
      Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/


    Similar Topics

    1. Jee, Tanzania ina akiba 'reserve' ya dhahabu?
      By Sijali in forum Business & Economic Forum
      Replies: 4
      Last Post: 26th July 2011, 08:32
    2. Tanzania to mine uranium on Selous Game Reserve Basic Facts
      By Njaare in forum Business & Economic Forum
      Replies: 0
      Last Post: 3rd July 2011, 16:01
    3. Reintroduce local gold reserve, team tells BoT
      By nngu007 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 2
      Last Post: 1st June 2011, 10:20
    4. Replies: 3
      Last Post: 21st February 2011, 10:00
    5. Serikali kama haipo au haipo kabisa?
      By BAK in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 9
      Last Post: 8th August 2009, 12:46

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...