JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

  Report Post
  Page 17 of 22 FirstFirst ... 71516171819 ... LastLast
  Results 321 to 340 of 438
  1. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,575
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6531
   Likes Given
   10305

   Default Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

   Wakuu,

   Baada ya kuangalia picha hizi nimejikuta nalazimika kuwashirikisha link ili mjionee hali halisi ya maisha ya watanzania wenzetu:   The two photos above show an old woman called Loi, in front of and in her house in Ibwaga Village. She has lost her sight with age, and lives with her daughter who is deaf. They normally depend on farming for their livelihood but last year their farm was among many others that were destroyed by the December floods in Kongwa District. At the time photograph was taken they had stock of only ten kilos of ”uwere” left.
   Zaidi endelea hapa:

   Pres. Kikwete’s “Maisha bora kwa kila Mtanzania” « JamiiForums|TMF Blogs
   jmushi1, flora msoffe and AshaDii like this.
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]  2. shanature's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2010
   Location : kiwakuki
   Posts : 622
   Rep Power : 653
   Likes Received
   49
   Likes Given
   36

   Default Re: Wakuu! Picha ya leo,maisha bora kwa kila mtanzania

   sijawahi kusoma shule kama hio ,,,baada ya kumaliza shule takribani miaka kama 15,,hio hali niliikuta shule moja mwaka 2003 ,,,pale kituo cha victory kuna shule hapo kati siiikumbuki jina.....nikashangaa jirani kabisa na wizara ya sayansi wakati huo sijui kwa sasa!
   kuku kuku jogoo jina

  3. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,265
   Rep Power : 3849849
   Likes Received
   834
   Likes Given
   490

   Default Maisha Bora .......(katika picha)

   Hii inanikumbusha mbali sana...!!!
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	Maisha Bora.jpeg 
Views:	0 
Size:	37.8 KB 
ID:	53197  
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  4. Eng. Y. Bihagaze's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th September 2011
   Location : Czech(but now in DAR)
   Posts : 1,461
   Rep Power : 57869
   Likes Received
   854
   Likes Given
   123

   Default Re: Maisha Bora .......(katika picha)

   Tatizo yeye mwenyewe anataka mziki mzito popote ..

  5. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 18,552
   Rep Power : 223569934
   Likes Received
   6602
   Likes Given
   6199

   Default Re: Maisha Bora .......(katika picha)

   Taratibu na Tz 11 yake.........folemi za barabarani ni maisha bora-JK
   Mu-Israeli likes this.
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  6. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,265
   Rep Power : 3849849
   Likes Received
   834
   Likes Given
   490

   Default Re: Maisha Bora .......(katika picha)

   Quote By SALMA2015 View Post
   Tatizo yeye mwenyewe anataka mziki mzito popote ..
   Enzi zile za miaka ya 1979 mpaka 1983 wakati wa uhaba mkubwa wa vitu madukani.
   Hata betri za redio zilikuwa adimu sana, hivyo watu walikuwa wanafikia kuchemsha betri zilizoisha ili zipate 'charge' tena !!!
   Mambo yalikuwa ni makubwa kweli-kweli.
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  7. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,265
   Rep Power : 3849849
   Likes Received
   834
   Likes Given
   490

   Default Re: Maisha Bora .......(katika picha)

   Quote By Amavubi View Post
   Taratibu na Tz 11 yake.........folemi za barabarani ni maisha bora-JK
   Maisha bora yenyewe ndio haya hapa ...!!
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	Gari.JPG 
Views:	0 
Size:	182.1 KB 
ID:	53234  
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  8. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 34,836
   Rep Power : 429504018
   Likes Received
   20939
   Likes Given
   64375

   Unhappy Maisha bora kwa kila MTanzania...   Click image for larger version. 

Name:	392342_124654334312233_1066738007_n.jpg 
Views:	0 
Size:	52.5 KB 
ID:	55016

   familia ya Mtu mmoja hapo Tanzania..... Wakati wa kula hapo ipo kazi kubwa..... Kasheshe kweli......................
   Ndahani likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  9. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 25,447
   Rep Power : 429502097
   Likes Received
   20050
   Likes Given
   9834

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania..................

   Why umewaza kula na sio kulala?
   Manake kula hata sinia moja wanalizunguka
   MziziMkavu likes this.

  10. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 34,836
   Rep Power : 429504018
   Likes Received
   20939
   Likes Given
   64375

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania..................

   Quote By King'asti View Post
   Why umewaza kula na sio kulala?
   Manake kula hata sinia moja wanalizunguka
   @v itabidi uweke sinia zaidi ya moja halafu chakula chenyewe kiwe Wali utakwisha mara moja kasheshe kweli.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  11. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 25,447
   Rep Power : 429502097
   Likes Received
   20050
   Likes Given
   9834

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania..................

   Kwani ugali hauliki kwenye sinia? Makande, ndizi, mihogo?
   Afu mboga ya serikali (maharagwe) kwenye vibakuli kadhaa..
   Muache baba wa watu afurahie ushiriki wake kwenye uumbaji bana, mbona una wivu MziziMkavu?
   MziziMkavu likes this.

  12. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 34,836
   Rep Power : 429504018
   Likes Received
   20939
   Likes Given
   64375

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania..................

   Quote By King'asti View Post
   Kwani ugali hauliki kwenye sinia? Makande, ndizi, mihogo?
   Afu mboga ya serikali (maharagwe) kwenye vibakuli kadhaa..
   Muache baba wa watu afurahie ushiriki wake kwenye uumbaji bana, mbona una wivu MziziMkavu?
   @King'asti Umezaa wewe ? Una watoto Wangapi bibie ?
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  13. SIMBA WA TARANGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2012
   Location : Kapugi-Tukuyu
   Posts : 992
   Rep Power : 662
   Likes Received
   216
   Likes Given
   153

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania...

   [QUOTE=MziziMkavu;3965861]

   Click image for larger version. 

Name:	392342_124654334312233_1066738007_n.jpg 
Views:	0 
Size:	52.5 KB 
ID:	55016

   familia ya Mtu mmoja hapo Tanzania..... Wakati wa kula hapo ipo kazi kubwa..... Kasheshe kweli......................
   [/QUOTE
   Nauna wote wana siha njema, hii itakuwa familia ya kisukuma.

  14. obsesd's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2011
   Posts : 1,226
   Rep Power : 772
   Likes Received
   504
   Likes Given
   983

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania...

   hata kama kuzaa ni haki ya kila mtu lkn dah....... watoto woote hawa ni wa mtu mmoja mmh!

  15. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,123
   Rep Power : 1765
   Likes Received
   855
   Likes Given
   1091

   Default

   Ngoja nicheke kidogo...........
   Quote By MziziMkavu View Post

   Click image for larger version. 

Name:	392342_124654334312233_1066738007_n.jpg 
Views:	0 
Size:	52.5 KB 
ID:	55016

   familia ya Mtu mmoja hapo Tanzania..... Wakati wa kula hapo ipo kazi kubwa..... Kasheshe kweli......................

  16. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,123
   Rep Power : 1765
   Likes Received
   855
   Likes Given
   1091

   Default

   Quote By King'asti View Post
   Why umewaza kula na sio kulala?
   Manake kula hata sinia moja wanalizunguka
   naendelea kucheka.....

  17. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,123
   Rep Power : 1765
   Likes Received
   855
   Likes Given
   1091

   Default

   Quote By MziziMkavu View Post
   @v itabidi uweke sinia zaidi ya moja halafu chakula chenyewe kiwe Wali utakwisha mara moja kasheshe kweli.
   mamaaaaa mbavu zangu.

  18. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,123
   Rep Power : 1765
   Likes Received
   855
   Likes Given
   1091

   Default

   Quote By SIMBA WA TARANGA View Post
   Nauna wote wana siha njema, hii itakuwa familia ya kisukuma.
   angalau umekuwa positivu.

  19. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,183
   Rep Power : 11262
   Likes Received
   3520
   Likes Given
   2565

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania...

   Raha sana.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  20. Kifulambute's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th May 2011
   Posts : 2,483
   Rep Power : 1000
   Likes Received
   643
   Likes Given
   194

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania...

   Quote By SIMBA WA TARANGA View Post
   Nauna wote wana siha njema, hii itakuwa familia ya kisukuma.

   Tutake radhi......mbona yule mmasai anawatoto zaidi ya 84 hamsemi hao wachache tu mnajadili?
   "waishio kwa raha na amani ni wamtegemeao mungu!

  21. Nyati's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2009
   Posts : 1,460
   Rep Power : 909
   Likes Received
   520
   Likes Given
   247

   Default Re: Maisha bora kwa kila MTanzania...

   Waongo wakubwa hiyo ni timu ya kijiji chetu (kitongoji) Nami nipo hapo ila siwaambii ni nani kati ya hao hapo
   When the mouse laughs at the cat there is a hole nearby.

  Page 17 of 22 FirstFirst ... 71516171819 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 3
   Last Post: 7th March 2011, 11:53
  2. Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania: Ajifyeka Nyeti Kwa Ugumu Wa Maisha
   By Ng'wanangwa in forum Tanzania 2010-2015
   Replies: 3
   Last Post: 8th November 2010, 13:24
  3. jakaya kikwete muhimili wa maisha bora kwa kila mtanzania
   By father-xmas in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 17
   Last Post: 22nd April 2010, 15:35

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...