Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: This is it!.. I'm @!#% Fed up.. atapokeaje tuzo kwa niaba yangu?

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 32 of 32
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,507
      Rep Power : 46711
      Likes Received
      16386
      Likes Given
      8454

      Default This is it!.. I'm @!#% Fed up.. atapokeaje tuzo kwa niaba yangu?

      Siku chache zilizopita Rais Mstaafu Ndg. Benjamin Mkapa alipokea tuzo ya Uongozi Duniani kutoka Taasisi ya mhifadhi wa sokwe-mtu Dr. Jane Goodall katika maadhimishisho ya miaka 30 the taasisi hiyo. Rais Mkapa aliipokea tuzo hiyo "kwa niaba ya Watanzania" kwa maneno yake mwenyewe.

      Sasa, sipendi tena sitaki Rais Mkapa aendelee kuzungumza kwa niaba yangu huko nje ya nchi na kupokea tuzo kwa niaba ya Watanzania wakati ameamua kuwadharau na kuwaona hawana mpango. Kitendo cha yeye kuendelea kukaa kimya dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili ni kitendo cha dharau, kiburi, na kisicho cha kiungwana dhidi ya watu waliompatia nafasi hiyo aliyonayo leo!!

      Wakati umefika Rais Mkapa azungumzie tuhuma zote zinazomkabili zinazohusiana na utendaji kazi wake akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

      a. Kutumia vibaya ofisi yake kwa kufanya biashara akiwa Ikulu
      b. Kutumia madaraka yake vibaya kujipatia mali kwa kutumia cheo chake na kujiingizia biashara kutoka fedha za serikali
      c. Kujichumia mali za haraka haraka kwa kutumia cheo chake kama Rais

      Na aseme sasa, au anyamaze milele!
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,507
      Rep Power : 46711
      Likes Received
      16386
      Likes Given
      8454

      Default

      nadhani wakati umefika aanze na yeye kuzomewa.. ili ajue kuwa watu wamechoka. Watu wengi wanampa credit kubwa za mabadiliko ya kiuchumi lakini ukweli ni kuwa bado credit zinamwendea Mwalimu ambaye alikampeni hadi mwisho wa maisha yake tufutiwe madeni tusiyoweza kuyabeba. Ni Mwalimu ambaye akishirikiana na watu wa Jubilee 2000 walizungumza na wakubwa kuhusu madeni na ikasaidia sana kutupunguzia madeni na ikatupa nafasi ya kuanza upya.

      Sitaki apokee tuzo yoyote kwa niaba ya Watanzania hadi atakapokaa na kuwaomba radhi na kuelezea makosa aliyoyafanya.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    4. #22
      KakindoMaster's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th December 2006
      Location : Longido Town
      Posts : 1,324
      Rep Power : 907
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Chief
      Mimi nisingempa option ya kunyamaza. Ningemlazimisha aseme.
      Huyu Mkapa hana cha kutwambia. Ukiona mtu kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza kanyamaza ujue yote yaliyoongewa ni kweli.

      Hivyo ni uamuzi wa watanzania kumwambia arudishe alivyochukua au sheria ichukue mkondo wake. Hata kama itakuwa miaka kumi wale wote waliohusika kwa njia moja au nyingine katika ufisadi lazima mkono wa sheria utatembea juu yao.

      Kubebana kutafika ukomo wake.

    5. #23
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,246
      Rep Power : 31390
      Likes Received
      9620
      Likes Given
      684

      Default

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      nadhani wakati umefika aanze na yeye kuzomewa.. ili ajue kuwa watu wamechoka. Watu wengi wanampa credit kubwa za mabadiliko ya kiuchumi lakini ukweli ni kuwa bado credit zinamwendea Mwalimu ambaye alikampeni hadi mwisho wa maisha yake tufutiwe madeni tusiyoweza kuyabeba. Ni Mwalimu ambaye akishirikiana na watu wa Jubilee 2000 walizungumza na wakubwa kuhusu madeni na ikasaidia sana kutupunguzia madeni na ikatupa nafasi ya kuanza upya.

      Sitaki apokee tuzo yoyote kwa niaba ya Watanzania hadi atakapokaa na kuwaomba radhi na kuelezea makosa aliyoyafanya.
      Mheshimiwa, sasa hapo unakuwa unamhukumu hata kabla hajajibu kesi unless imeshathibitika kuwa hayo makosa anayotuhumiwa kuyafanya kweli aliyafanya. Ila na yeye kukaa kimya kama anavyofanya haisaidii chochote. Sanasana anazidi kujiharibia tu.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    6. #24
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,507
      Rep Power : 46711
      Likes Received
      16386
      Likes Given
      8454

      Default

      Na safari hii JK akae kimya....
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    7. #25
      KakindoMaster's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th December 2006
      Location : Longido Town
      Posts : 1,324
      Rep Power : 907
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Nyani Ngabu
      Mheshimiwa, sasa hapo unakuwa unamhukumu hata kabla hajajibu kesi unless imeshathibitika kuwa hayo makosa anayotuhumiwa kuyafanya kweli aliyafanya. Ila na yeye kukaa kimya kama anavyofanya haisaidii chochote. Sanasana anazidi kujiharibia tu.
      Hivi ukienda mahakamani ukakaa kimya tu bila kujibu kitu chochote unafanywa je?

      Mkapa hajaenda mahakani kwa sababu anakingiwa kifua, sisi wananchi wa kawaida tukitaka kujua ukweli tufanye je?

      Ikifikia hapa na yeye akaamua kula jiwe sisi tunatoa maamuzi ili kushinikiza aweze kutoa neno. Hata polisi ukipelekwa ukakaa kimya huwa wanaongeza kibano kidogo ili angalau useme chochote.

      Kwa ndugu yetu mkapa angelikuwepo baba wa taifa tayari angelikuwa ameisha mchapa na kifimbo chake.

      Ina maana asikii tuhuma zinazomwendea. Yeye ni mwandishi wa habari mahiri sana tunategemea badala ya kutoa hotuba kule kwa weupe (ambao huwa anawaogopa sana na kuwaamini-mfano Netgroupe) atoe hotuba Tanzania ili tujue ukweli.

      Tumechoka kusoma habari zake.

    8. Miaka 50

    9. #26
      KadaMpinzani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2007
      Location : Chadema Restaurant
      Posts : 5,011
      Rep Power : 1630
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      Mhm kama humu ndani kuna prosecutors ambao wanaendesha mashtaka hivyo, basi sidhani kama kiongozi yoyote wa ccm atapona, maana anaweza akahukumiwa sivyo just because katoka ccm !

      watch out jamani na mnayoandika humu kwa kutoa hukumu kabla hajafahamika kama ana hatia au la, na ndio maana kuna mahakama, lakini kama mtajifanya nyie ndio mahakama basi duh hilo kasheshe lingine !

    10. #27
      Bi. Senti 50's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2007
      Posts : 395
      Rep Power : 698
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      sidhani kama kuna ulazima wa kujibu hasa kama hoja zenyewe ni za wivu!

    11. #28
      KadaMpinzani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2007
      Location : Chadema Restaurant
      Posts : 5,011
      Rep Power : 1630
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      ndio maana nikauliza humu ndani kama kuna prosecutors, sidhani kama kusudio la kuulizwa yeye failures zake "KAMA KIONGOZI WA SERIKALI" Bbali kwa sababu ametoka "CHAMA TAWALa"..(Mambo mengine watu wanapotray personal attacks and hate) Kama kweli watu mnataka kufuatilia mambo mengi ya viongozi wote pasipo kujali vyama walivyotokea, kwa nini pia msianze mikakatik ya kumuuliza profesa lipumba alivyokuwa kwenye siasa kipindi kile cha Mwinyi ( uchumi ) na akashindwa ! Mnajua nini kilichosababisha, ubovu wa sera au mambo flani flani !

      Mfuateni na lipumba basi wazee !

    12. #29
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,246
      Rep Power : 31390
      Likes Received
      9620
      Likes Given
      684

      Default

      ....na sidhani kama kuna haja ya kusema kitu kama unaona hoja zinazotolewa ni za wivu....acha hoja zisimame zenyewe...zenye nguvu zitasimama....zenye wivu zitaumbuka...na dhaifu zitakufa
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    13. #30
      KadaMpinzani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2007
      Location : Chadema Restaurant
      Posts : 5,011
      Rep Power : 1630
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      so its just a matter of time kwa hizi hoja kufall off, it will take time but it will definitely fall ! lets wait and see. watakuja kwa nguvu lakini nguvu haichajiki !

    14. #31
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,246
      Rep Power : 31390
      Likes Received
      9620
      Likes Given
      684

      Default

      .....kick rocks....
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    15. #32
      Mtaalam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2007
      Posts : 1,298
      Rep Power : 859
      Likes Received
      27
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By FDR Jr
      JF ni venue ya wadadavuzi kweli? Kuna shari gani kupokea tuzo ya wanayamapori kwa niaba yetu? Pengine ingalikuwa madini ningethubutu kujiuliza rohoni.

      Hana la kujibu,huyu jamaa alishasema when a'm done with Tz na CCM sintajihusisha na siasa za ndani na hiyo ndio tafsiri ya ukimya wake.

      Heri yenu mnaokomalia kumshinikiza bubu wa siasa za Bongo toka 2006 alipoacha u-chairman wa chichiem aongee. Sahauni hilo halitatokea,maandamo dhidi ya mtu asiye dola wala mamlaka ni matumizi mabaya ya nguvu ya umma.
      i support ya....kama twangojea ajibu kituu basi tutangoja milele

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Bank M Kukusanya Kodi kwa niaba ya TRA - Wao wanapata nini?
      By Mzee Mwanakijiji in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 102
      Last Post: 1st June 2011, 14:32
    2. Kwa Niaba ya Raisi: Maamuzi Magumu!
      By MsandoAlberto in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 6
      Last Post: 6th February 2011, 22:26
    3. Dr.slaa aliongoza nchi kwa niaba ya kikwete!
      By Jile79 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 24
      Last Post: 21st September 2010, 17:24
    4. Tarime waiadhibu CCM, kwa niaba ya Taifa!
      By BAK in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 8th October 2008, 17:06

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...