Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Waziri huyu hafai

    Report Post
    Results 1 to 19 of 19
    1. #1
      Bubu Msemaovyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th May 2007
      Location : All around the World
      Posts : 2,074
      Rep Power : 1754
      Likes Received
      764
      Likes Given
      775

      Default Waziri huyu hafai

      Bila shaka sasa kuna haja pamoja na mambo mengine ya kisiasa pia tuwawajibishe mawaziri wetu kupitia JF hasa katika Thread hii ya "Waziri huyu hafai" Nimebuni blog hii si kwa nia ya kuwakomoa mawaziri watakao chomoka kwa ajili ya kujadiliwa kuhusu kutokufaa kwao bali pia ni kuwakumbusha kwamba wamefikia mstari mwekundu kwa hiyo watahitaji kupata usimamizi maalumu na wahusika wao. Chukulia mathalani mtoto mchanga anatakiwa kuhudhuria kliniki kila mwezi ambapo hupimwa uzito na mambo mengine na huwekwa alama ya uzito wake yule atakaye over weight itaonyeshwa pia itafika mahali ikizidi mhusika ataelekezwa hatua za kuchukua na kama mtoto ata under weight vivyo hivyo. Mawaziri watachunguzwa mali zao bila kujua na jinsi walivyozipata na huku katika JF tutatoa tathmini kwamba hapa hii ni obesity anatakiwa kupunguza uzito ama la. Lakini pia kuna mawaziri wazuri sana ambao kweli wanaipenda nchi hii wao huenda hata majina yao yasionekane humu JF. Lengo kuu ni kuwasafisha ili tubaki na Tanzania yetu ikiwa safi.
      "If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." Nelson Mandela

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Gembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2007
      Location : kamnyonge
      Posts : 2,586
      Rep Power : 1516
      Likes Received
      64
      Likes Given
      54

      Default

      Mtu wa kwanza ni Mhe. Nadhir karamagi,

    4. #3
      Hasara's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 29th December 2006
      Posts : 220
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default wapili EL

      Waziri Wapili Ni Lowassa

    5. #4
      mzee wa london's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Posts : 70
      Rep Power : 647
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      watatu magufuli

    6. #5
      Shemzigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2007
      Posts : 399
      Rep Power : 712
      Likes Received
      10
      Likes Given
      2

      Default

      wanne Membe

    7. Miaka 50

    8. #6
      Bill's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Posts : 1,663
      Rep Power : 927
      Likes Received
      300
      Likes Given
      203

      Default

      Wa tano ni basil P. Mramba

      Na wa sita ni Kingunge
      Nasema kingunge kwa maana ya kwamba huyu jamaa amekuwa waziri toka enzi ya Nyerere, ni kikongwe pekee aliyebaki ndani ya Govt, ni heri basi angekuwa na Busara lakini hakuna ni politics tu.

      Huyu jamaa hana msimamo kabisa, enzi za nyerere alisimamia siasa za ujamaa kumliko hata Mwalimu, tukajua huyu ni mjamaa kweli kweli, Akaja Mwinyi, hatukusikia hata siku moja akipingana na mwinyi kama ilivyokuwa kwa mwalimu JK Nyerere, akaja Mkapa na sera za ubinafsiji na uwazi na Ukweli,NBC, TCC etc wameuza, yeye kimya, Kaingia JK naye yu mstari wa mbele kwa usanii badala ya kukemea. Huyu mtu yupo kwa maslahi yake tu na ndiyo maana sasa hivi ni bepari mkubwa.

      Salim, Ng'wandu, kahama wamestaafu yeye yumo tu, hata kama unateuliwa si useme mi basi. Huyu hatufai, hana msimamo ni BENDELA FUATA UPEPO, leo akija mwingine na hili na yeye yumo.

    9. #7
      sjshenyali's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      Peter Msola, Megji, Mungai wanastahili kuwa katika kundi hilo

    10. MC
      #8
      MC's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Roaming !
      Posts : 502
      Rep Power : 695
      Likes Received
      75
      Likes Given
      131

      Default

      Mramba, Karamagi, Meghji, Peter Msola, Kingunge bin Kingwendu

    11. #9
      Gembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2007
      Location : kamnyonge
      Posts : 2,586
      Rep Power : 1516
      Likes Received
      64
      Likes Given
      54

      Default

      mhe. hawa ghasia.
      amekuwa ni mshauri mbovu kwa muungwana kuhusu maslahi ya wafanyakazi wa serikali,

    12. #10
      DAR si LAMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2007
      Posts : 2,979
      Rep Power : 5718
      Likes Received
      151
      Likes Given
      0

      Default ...

      Quote By bill
      Salim, Ng'wandu, kahama wamestaafu yeye yumo tu, hata kama unateuliwa si useme mi basi. Huyu hatufai, hana msimamo ni BENDELA FUATA UPEPO, leo akija mwingine na hili na yeye yumo.
      ..ukiona yeye bado yupo,ujue bado anahitajika!

      ..ingekuwa hana kazi,asingewekwa tena wakati mwingine kwa kupewa ofisi isiyo na majukumu maalum!

      ..kwa maana hiyo,jukumu lake ni maalum!ndo maana serikali zote hizo ame-serve!

      ..miye silijui hilo jukumu lake!ila nadhani ni maalum!
      Dar na Lamu yote miji ya pwani, lakini haifanani!

    13. #11
      Gembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2007
      Location : kamnyonge
      Posts : 2,586
      Rep Power : 1516
      Likes Received
      64
      Likes Given
      54

      Default

      mawaziri wote wanaohusu ajira na vijana!
      mhe nchimbi ni msanii tu

    14. #12
      Gembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2007
      Location : kamnyonge
      Posts : 2,586
      Rep Power : 1516
      Likes Received
      64
      Likes Given
      54

      Default

      mungu anazidi kunipa majina ya mawaziri wanaotuibia..
      mhe msabaha
      anahusika moja kwa moja na dili la richmond,hata JK Anafahamu hili coz wakati muungwana anatembelea pale ubungo alimuulizia 'dk msabaha nasikia hii kampuni ni yako,lini mtamaliza kutoa umeme?
      msabaha alishtuka na hakujibu..
      mtu wa 14 ni mhe masha,
      huyu amekuwa mtu wa kupenda kujipatia ukwasi wa haraka katika kipindi alipokuwa pale MINERAL,
      ni watu ambao wanalindwa na ndanda kosovo

    15. #13
      Koba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Pasadena California
      Posts : 4,016
      Rep Power : 1411
      Likes Received
      178
      Likes Given
      105

      Default

      Meghji hana uwezo wa kusimamia hiyo ministry of finance,she doesnt have any dynamic monetary policy ya kutusukuma mbele,dont know hata kama anajua anachofanya zaidi ya kusoma libajeti fake bungeni kila mwaka...she should go

    16. #14
      Saharavoice's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 30th August 2007
      Posts : 2,145
      Rep Power : 1029
      Likes Received
      382
      Likes Given
      478

      Default

      Andrea Chenge (kutumia ofisi vibaya, mikataba yote kipindi cha Mkapa ilipitia kwake kama mwanasheria mkuu)

    17. #15
      kanda2's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2007
      Posts : 1,368
      Rep Power : 891
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default

      Kazi kweli kweli...

    18. #16
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,625
      Rep Power : 2894
      Likes Received
      3845
      Likes Given
      12250

      Default

      Mwingine ni Chenge.

    19. #17
      Insurgent's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2007
      Posts : 589
      Rep Power : 726
      Likes Received
      10
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Koba
      Meghji hana uwezo wa kusimamia hiyo ministry of finance,she doesnt have any dynamic monetary policy ya kutusukuma mbele,dont know hata kama anajua anachofanya zaidi ya kusoma libajeti fake bungeni kila mwaka...she should go
      Kila nikiangalia change iliyotokea kwenye bajeti ya mwaka huu nazidi kuwa convinced huyu mama anajua anachokifanya.
      Leo $1 iko 1210 TShs
      Nimejaribu kulinganisha bajeti ya mwaka jana na mwaka huu na nimeconclude kwamba we are on right track...
      Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking - Einstein

    20. #18
      Insurgent's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2007
      Posts : 589
      Rep Power : 726
      Likes Received
      10
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By mkomboziufisadi
      mhe. hawa ghasia.
      amekuwa ni mshauri mbovu kwa muungwana kuhusu maslahi ya wafanyakazi wa serikali,
      Mishahara ya makampuni binafsi imepandishwa...hebu tusubiri hiyo ya serikali itakuwaje.
      Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking - Einstein

    21. #19
      mwana siasa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th August 2007
      Posts : 202
      Rep Power : 640
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default

      SAWA MNAPENDEKEZA HAO MLIOWATAJA WAONDOLEWE,SASA MNATAKA NANI AINGIZWE KUJAZA NAFASI ZAO?

      Mimi waziri ambaye naona atoke ni wa usarama wa raia ,mwapachu

    Similar Topics

    1. Kiongozi HUYU hafai kuwa mwanasiasa
      By KakaNanii in forum Jamii Photos
      Replies: 13
      Last Post: 25th September 2011, 21:31
    2. Mzungu huyu hafai
      By sir henry in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 32
      Last Post: 19th September 2011, 11:03
    3. Mbunge amwambia Waziri Mkurugenzi hafai
      By kilimasera in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 25th February 2011, 08:53
    4. Hii ya huyu waziri ni kiboko!
      By MONTESQUIEU in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 29
      Last Post: 30th November 2010, 18:28

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...