1. Mkataba uko Mtandanoni
2. Vitisho dhidi ya Demokrasia
3. Vitisho kutumia vipengele vya katiba ambavyo vimebadilishwa
4. Kutishiana kupelekana mahakamani
5. Madai kuwa kila kinachosemwa ni uongo na uzushi
6. Mabalozi wa kigeni, Benki ya duunia na Shirika la Fedha likidai uchunguzi
7. Madiwani kukacha mikutano na Makamba
8. Mawaziri kuzomewa
9. Zitto kuhoji matumizi ya fedha kwa ziara za kutangaza bajeti huku wawakilishi wa majimbo wapo
10. Karamagi akiri kubadili mkataba
11. Kikwete yuko matibabuni Ufaransa: Yasadikika anawaita mawaziri mmoja mmoja
Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka
"Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun
'Who comes to give greeting to the Inkosi-kaas? Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas!"
Mzee kishoka hapa nyani anapigwa mawe yale ya usoni tena unamtazama. wananchi wameshindwa na adha ya kwenda msalani kwa kuchuchumaa, hii ni karne ya 21 na hakuna sababu yoyote Tanzania ya leo iendelee kutumia pit latrines wakati uwezo tunao wa kuweza kabisa kutokomeza vyoo vya aina hiyo kwenye miji yetu yote na kuondoa magonjwa yanayoletwa na mipango mibaya kama hii. Je ni lini cholera itaisha Dar? na sehemu nyinginezo.
Tukiendelea kuwachekea mafisadi hawawezi katu kuacha tabia yao HII NDIYO LUGHA WANAYOIFAHAMU.
Reverend
Cha ajabu hawa CCM hawana hata maadili ya kusema kwamba hapa basi, tumefanya makosa mengi, ngoja tuachie ngazi, hapana!Wanalala vizuri tu na wanapata usingizi!
the first step to recover from addiction is to admit that you are addicted..!
[email protected] Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
mambo mbona bado! subiri kombola funga mwaka linalosukwa siku Dr slaa akirudi linapasuliwa tena mbele ya JK nafikiri hilo litawachanganya kisawasawa. hatulazii mtu damu tumenyonywa vya kutosha na hao wakoloni weusi
Madela,
umenichekesha hapo kidogo...........halafu hilo shati lako hapo kama wale "wakokozi" kule ziwa Nyanza. Asante sana kwa hicho kichekesho kwani nipo depressed na issue ya buzwagi.
Ziara are right moves but the timing is completely wrong!
Amani Iwe Nanyi,
Camerlengo
Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka
"Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun
'Who comes to give greeting to the Inkosi-kaas? Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas!"
Tatizo JK hakujua wananchi walimchagua kwa nini- ukitaka kujua sababu angalia mtiririko wa siasa za urusi.
1. Gobachevu- Aliazisha mapinduzi makubwa- Hapa kwetu alikuwa Mzee Ruksa
2. Yelstin akaendeleza mapambano lakini yakaibuka makundi makubwa ya mafisadi ( RUSIA OLIGACH) wakatafuna nchi kwelikweli- hapa kwetu kipidi hicho ni cha Mzee wa ukweli na uwazi.
3. Putin akona mambo yamekenda mrama sana akarekebisha sana mambo ikiwa ni pamoja na kuwakamata na kuwafunga mafisadi, wengine wakakimbilia uingereza makao makuu ya mafisadi wa nchi zinazoendelea. Watanzania walitegemea JK awe kama PUTIN lakini........................ ....
Follow Us Here