JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Alama ya Taifa ni kitu gani?

  Report Post
  Results 1 to 10 of 10
  1. Hume's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th September 2007
   Posts : 322
   Rep Power : 791
   Likes Received
   38
   Likes Given
   23

   Default Alama ya Taifa ni kitu gani?

   Hivi majuzi waziri wa miundo mbinu alizindua ndege mpya ya Air Tanzania.

   Kilichonishangaza ni kuona ina muonekano(rangi) tofauti kabisa na ndege zetu tulizozoea kuona. Haina bendera ya Tanzania inayoonekana kwenye ndege hiyo zaidi ya twiga mdogo anayeonekana kwenye mabawa.

   Swali lililonijia kichwani ni hili, je alama ya Taifa kwa sasa ni Twiga? Nikiona alama ya twiga popote itanifahamisha kuwa jambo hilo lina uhusiano na Tanzania?


  2. Gembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th September 2007
   Location : kamnyonge
   Posts : 2,556
   Rep Power : 1641
   Likes Received
   89
   Likes Given
   64

   Default

   wewe tuambie unataka alama gani ya taifa,weka facts hapa..kuna kitu najua unataka kusema,

  3. Mserengeti's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st March 2007
   Posts : 54
   Rep Power : 767
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   tuewekee na picha inayoonesha rangi na alama ya sasa,we cant relie on you

  4. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,118
   Rep Power : 87995664
   Likes Received
   24672
   Likes Given
   13382

   Default

   Kwa mujibu wa Mzee Warioba alivyozungumza na waandishi..

   Mengine yanashitusha. Umoja wa nchi hii unaweza kufika mahali pabaya. Yaani Rais anaitwa fisadi kwa sababu hizi na zile tu. Huyu ni mwanadamu kama wengine, lakini ndiyo symbol (alama) ya Taifa, ukishamwita fisadi na unakwenda unazungumzia hivyo hakuna uongozi wa Taifa.
   Nadhani inabidi waweke picha Rais Kikwete pembeni ya yule Twiga!
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  5. Shy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2006
   Posts : 4,896
   Rep Power : 0
   Likes Received
   120
   Likes Given
   0

   Default

   Kama Tukiweka Picha Yake Na Yeye Anaendelea Kuboronga Haileti Maana Yoyote Ile , Taifa Sio Mali Ya Mtu Binafsi Taifa Ni La Watanzania Wote Lazima Tuwe Na Kitu Chetu Cha Kutuwakilisha Kama Yale Mawe Ya Mwanza , Mlima Kilimanjaro Na Alama Zingine Ambazo Haziko Sehemu Nyingine Yoyote Zaidi Ya Tanzania

   Ahsante


  6. Mgumu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd November 2006
   Posts : 238
   Rep Power : 821
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default

   tuewekee na picha inayoonesha rangi na alama ya sasa,we cant relie on you
   Picha hii hapa......
   Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili

  7. Mgumu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd November 2006
   Posts : 238
   Rep Power : 821
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default picha ya atc hii hapa...........   Ndege ya atc inaonekana hivi....
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	atc.jpg 
Views:	13 
Size:	69.0 KB 
ID:	669  
   Last edited by Ole; 4th October 2007 at 20:23.
   Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili

  8. Mtoto wa Mkulima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2007
   Posts : 954
   Rep Power : 941
   Likes Received
   63
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By mgumu View Post
   ndege ya atc inaonekana hivi....
   lakini kwenye huo mkia kwa juu kuna mlima Kilimanjaro unaonekana ila kwambali sana
   ONE OF THE STRONGEST WEAPONS IS DIALOGUE

  9. Koba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2007
   Location : Pasadena California
   Posts : 5,721
   Rep Power : 1972
   Likes Received
   797
   Likes Given
   845

   Default

   hatutaki kuwakilishwa na picha ya fisadi hapo tafadhari..mjiheshimu!

  10. Mtoto wa Mkulima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2007
   Posts : 954
   Rep Power : 941
   Likes Received
   63
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By Koba View Post
   hatutaki kuwakilishwa na picha ya fisadi hapo tafadhari..mjiheshimu!
   Si unaona taifa stars walipo funga walikuwa wanaitwa JK boyz lakini juzi walipo fungwa wakaitwa taifa stars.

   TUNA ALAMA NYINGI SANA ZA TAIFA ACCORDING TO NATIONAL WEBSITE.
   1. Bendera yetu
   2.Wimbo wa Taifa
   3.wenge wa Uhuru
   4.Ngao ya Taifa (simaanishi dawa ya mmbu)
   ILA TWIGA SIJAONA KAMA NAYE NI ALAMA YA TAIFA< LABDA NI MNYAMA WA TAIFA


   National Symbols   The National Flag   Ratio length to breadth: Three to two, e.g. 3ft. x 2ft., 6ft. x 4ft. 12ft. x 8ft.
   Description: Green - Golden - Black and Blue, having the black center stripe centred on diagonal rising from flag-mast to top edge of the fly, two smaller golden stripes dividing the upper triangle portion which is green and the lower triangle portion which is blue.
   Proportions of colours: Black center stripe, centred on diagonal of flag of 6ft. x 4ft., is 13/48 of fly and 13" wide. Golden stripes are each 1/16 of fly and 3" wide.
   Colour Code and Significance: B.S. No. 2660: 1955

   Black: B.S. No. 9-103 - the People

   Green: B.S. No. 0-010 - the Land

   Blue: B.S. No. 0-012 - the Adjoining Sea

   Golden: B.S. No. 0-002 - the Mineral wealth

   Uwiano wa Urefu
   Kwa Upana:-

   Maelezo:
   Tatu kwa mbili, mfano ft.3 x ft.2, ft.6 x ft.4, ft.12 x ft.8
   Ina rangi za Kijani, Dhahabu, Nyeusi na Bluu ambapo rangi nyeusi imepita katikati ya bendera kuanzia pembe ya chini kwenye mlingoti na kuishia pembe ya juu kulia. Rangi hii huigawa bendera katika sehemu mbili zenye umbo la pembe tatu. Rangi nyeusi imetenganishwa na pember tatu ya juu yenye rangi ya kijani na pembe tatu ya chini yenye rangi ya bluu kwa mistari miwili midogo yenye rangi ya dhahabu.

   Viwango vya rangi na maana zake.
   Nyeusi - Kiwango na. 9-103 - Watu

   Kijani - Kiwango na. 0-010 - Ardhi

   Bluu - Kiwango na. 0-012 - Bahari + Maziwa

   Dhahabu - Kiwango na. 0-002 - Madini
   Uwiano wa Rangi:
   Rangi nyeusi kwa bender ya

   Ft.6 x ft.4 ni 13/48 kwenda juu na

   Ft.13 upana. Mistari ya dhahabu ni 1/16 kwenda juu na 3" upana kila mmoja.
   The Tanzania National Anthem   KISWAHILI VERSION

   WIMBO WA TAIFA

   1. Mungu Ibariki Afrika

   Wabariki viongozi wake

   Hekima, umoja na amani

   Hizi ni ngao zetu

   Afrika na watu wake.   CHORUS:

   Ibariki, Afrika

   Ibariki, Afrika

   Tubaki, watoto wa Afrika

   2. Mungu Ibariki Tanzania

   Dumisha uhuru na umoja

   Wake kwa waume na watoto

   Mungu, Ibariki

   Tanzania, na watu wake.   CHORUS:

   Ibariki, Tanzania

   Ibariki, Tanzania

   Tubariki, watoto wa Tanzania.
   NATIONAL ANTHEM

   FREE ENGLISH TRANSLATION 1. God Bless Africa

   Bless its leaders

   Let Wisdom Unity and

   Peace be the shield of

   Africa and its people

   CHORUS:

   Bless Africa

   Bless Africa

   Bless the children of Africa.

   2. God Bless Tanzania

   Grant eternal Freedom and Unity

   To its sons and daughters.

   God Bless Tanzania and its People.
   images/nationalanthem.wav
   CHORUS:

   Bless Tanzania

   Bless Tanzania

   Bless the children of Tanzania   The Tanzania National Coat of Arms   The central feature of the Coat of Arms is a Warrior’s Shield which bears a Golden portion on the upper part followed underneath by the United Republic flag of Green, Golden, Black and Blue; and a red portion under which are wavy bands of blue and white.

   The Golden portion represents minerals in the United Republic; the red portion underneath the flag symbolizes the red soil of Africa; while the wavy bands represent the land, sea, lakes and coastal lines of the United Republic.

   Superimposed features on the Shield are flames of a burning torch which signifies freedom, enlightment and knowledge; a spear signifying defence of freedom and crossed axe and hoe being tools that the people of the United Republic use in developing the country.

   The Shield is set upon a representation of Mount Kilimanjaro. On each side of the Shield there is an elephant tusk supported by a man on the right and a woman on the left. At the feet of the man is a clove bush and at the feet of the woman is a cotton bush – thus indicating the theme of co-operation.

   The United Republic motto – Uhuru na Umoja – is written in Kiswahili and it means ‘Freedom and Unity’.

   The Uhuru Tourch   The Uhuru Torch symbolizes freedom and light. It was first lit on top of mount Kilimanjaro (5,890m) in 1961. Symbolically to Shine the country and across the borders to bring hope where there is despair, love where there is enemity and respect where there is hatred. Yearly there is the Uhuru Torch race, starting from different prominent places.
   Kama hamjui alama za taifa letu tembelea hapa
   http:http://www.tanzania.go.tz/educationf.html
   ONE OF THE STRONGEST WEAPONS IS DIALOGUE


  Similar Topics

  1. Alama gani unamwachia mpenzi/mwenza wako?
   By NewDawnTz in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 9
   Last Post: 26th September 2011, 16:01
  2. Replies: 6
   Last Post: 27th April 2011, 00:49
  3. Ewe dada unaringa kitu kitu gani?
   By Humphnicky in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 16
   Last Post: 11th January 2011, 19:47
  4. Bunge la Taifa lizungumzie kitu gani?
   By Huduma in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 5
   Last Post: 5th September 2008, 15:49

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...