Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Una Faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Report Post
    Page 4 of 41 FirstFirst ... 2345614 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 806
    1. #1
      Rev. Kishoka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2006
      Location : USA
      Posts : 4,352
      Rep Power : 2557
      Likes Received
      243
      Likes Given
      185

      Default Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Una Faida gani na kwa manufaa ya nani?

      Tumebakiza siku 12 kabla ya maadhimisho ya miaka 46 ya Muungano wa mataifa ya Tanganyika na Zanzibar yaliyozaa Tanzania hapo Jumatatu Aprili 26.

      Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe.

      Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu.

      Lengo lango si kuuliza historia au kudadisi uhalali wa Muungano wa Tanzania bali ni faida zake na manufaa yake kutokana na mfumo wa Muungano kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, mamlaka zilizoko kama vile Mahakama, Bunge, Baraza la Wawakilishi na ni vitu gani ambavyo ni kwa ajili ya Muungano na vipi si kwa ajili ya Muungano.

      Je kwa nini tuliweka vipengele fulani viwe masuala ya muungano na vingine visiwe?

      Je Muungano huu una maana gani ikiwa vipengele ilivyoko vinakingana na azma kuu ya kuunda Taifa lenye nguvu na umoja?

      Je Wananchi wa Tanzania, wananufaika vipi na Muungano huu na wanaathirika vipi kutokana na Muungano huu na mfumo wake?

      Je kuna haja ya kuupitia Muungano na ama kupengua vipengele fulani au kuunganisha kila kitu na kuwa na sura moja bila kutofautisha ya hili la Watanganyika au Watanzania Bara na lile ni la Wazanzibari?
      Amani Iwe Nanyi,

      Camerlengo

      Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka

      "Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun

      'Who comes to give greeting to the Inkosi-kaas? Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas!"

    2. FemaTV & Radio

    3. #61
      Researcher's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th December 2010
      Posts : 147
      Rep Power : 456
      Likes Received
      24
      Likes Given
      14

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Naheshimu mawazo yako. Na pengine ndoto yako. Ushauri mdogo tu kwamba hadi kufikia hapo unapopatabiri ingekuwa vizuri uendelee kuiheshimu hiyo bendera kwa sasa.Maana bado inatuwakilisha sote kimataifa.

    4. #62
      Proud Patriot's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 13th October 2010
      Posts : 184
      Rep Power : 472
      Likes Received
      1
      Likes Given
      9

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      I never knew how EXTREMISTS were before, until i stumbled upon this overwhemingly ignorant Zanzibari man! Next time use a BRAIN to do all the thinking, otherwise you'll be steering youself very wrong. If you guys withdraw then cool, good for us! Take my word, the 1st thing you guys will do is REDUCE THE CONSTITUENCIES (only two willl do u right)!

    5. #63
      Kashaijabutege's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Location : Kabuteigi
      Posts : 1,918
      Rep Power : 822
      Likes Received
      371
      Likes Given
      241

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Wazanzibara? Hatari!
      NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. OMBI KWA MUNGU: MUNGU WEWE NI MWEZA WA YOTE, NA SIKU ZOTE UNAYASIKILIZA MAOMBI YA WAKUCHAO, NAKUOMBA UKAFUNGE NGUVU ZA GIZA ZINAZOINYEMELEA M4C; NA UVUNJE MIPANGO YOTE YA MASHETANI WALIOPO NDANI YA CHADEMA. AMINA

    6. #64
      Elli's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,513
      Rep Power : 0
      Likes Received
      2102
      Likes Given
      1839

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Kumbukeni hadi vyakula mnachukua bara, so if you decide to go mtatupunguzia mzigo sisi, we got nothing to loose zaidi ya longolongo zenu, kwanza sijui ni nani anayewang'ang'ania, pack your things and go!! hebu angalia kuna wabara wangapi Znz comparing to Bara? mbona hamna shukrani nyie, au mnaona tukinyamaza ni kwamba tunawapenda sana? think twice, sisi ni kitu gani tunacho-import toka Znz? ni hizo used electrical devices zinazouzwa na wapemba wenzenu kariakoo?? usitake kuniharibia chai yangu asbh asbh hiv

    7. #65
      mgen's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 5,562
      Rep Power : 3939
      Likes Received
      710
      Likes Given
      148

      Default

      Quote By abdulahsaf
      Wazanzibar tusiwe wapole na wakarimu kwa watu wasio na huruma wala imani na sisi,imani ya watanganyika ni kutuzulumu nchi yetu na haki zetu.
      Kumbukeni kuwa kila baada ya uchaguzi wazanzibar humiminiwa jeshi la kikura tukiashana na haya makambi na kizuizi walichotuwekea huletwa jengine kuongeza nguvu na vifaa vya kijeshi utafikiri kuna vita zanzibar?.
      Huu ndio mshezo wanaotushezea wenzetu wa tanganyika na wamezowea mshezo huo viongozi wetu wa ccm/smz wao huwa wanaangalia madumbo yao tuu hawaangalii asari ya zanzibar na vizazi vyao vya badae wanaona kila siku watakuwepo tu madarakani hawaoni kizazaa kilicho waingilia viongozi wa nchi za kiarabu hivi sasa?.
      Nyuso za undumi la kuwili zimewageukia viongozi wa kiarabu kutumiliwa na western countrys kuzani watalindwa na inchi za mangaribi huku kuwabinya watu wao na kupeleka mapato nchi za ulaya yaguju,wao wenyewe western tabani roho zao ,peoples power ikishaamua no way.
      Kwa hio na sisi wazanzibar tuliletewa vitimbi na mateso na juliasi yakilaaina ili tuihame nchi yetu aliozaliwa bibi na babu na waingizwe watanganyika wenye kwao na mikowa yao hii ni choyo ya juliasi na ndugu zake.
      Juliasi alitutia tafrani na wazanzibar wakawa kama gaza nchi ikawa shungu kuikaa na wakashawanyika kila pembe ya ulimwengu ikawa ni huzuni ,msiba na majonzi ninani alokuwa yuko tayari kuhama nchi yake kwenda kuishi ugenini kama si mashaka ya nyerere?.
      Haiwi mbwana mtume aliondoka makka analia itakuwa sisi,kwa hio wazanzibar wakati umefika wa kuondowa zuluma ktk ardhi yetu ya bibi na babu.
      Sio leo tuletewe watu wasio na sifa watutawale kwanza sheria ya zanzibar 1984 hairuhusu mtu yoyote asio mzaliwa wa zanzibar kushika nafasi ya urais ni uhalali gani ulompa ali hassan mwinyi kuwa rais zanzibar wakati kazaliwa kisarawe? Au abudu jumbe mwinyi? Hii ni kukanyagwa sheria zetu. Kwa kuletewa wamsumbiji kuja kujiandikisha kupiga kura na kuchaguwa rais wa zanzibar.
      Mbona kule tanganyika hajawahi kushaguliwa mzanzibar kuwa rais wa tanzania? Na walivyo wabaguzi alipo taka kushaguliwa tu salim ahmed kanisa likaja juu ni muarabu,hajafanana na watanzania(tanganyika) na ubaguzi kibao.
      Wazanzibar tuashe tafauti na tuweke uzanzibar na uzalendo wa nchi yetu kwanza,hata uwe muafrika mweusi kama kaa ukenda kenya unaulizwa tambuliso huna unaswekwa ndani simo la chewe na mumeona southafrica walivyo chachamaa na nchi yao kwa nini sisi turuhusu kumegwa nchi yetu na kuamuliwa mambo yetu kwa kisingizio cha muungano fake ambao upande moja wa zanzibar hawautaki na ni uvundo? . Muungano unangaganiwa na watanganyika kwa faida yao tu.
      Muungano gani huu wakulazimishana usio na ridhaa na wananchi?
      Mwenzio akubebapo kunja miguu jkubebe vizuri leo unanyoosha vimiguu vyako atakushusha tu!
      Anzeni kuwaambia kina Bilali,Mnyaa,AR, Kama watakuelewa.

    8. Miaka 50

    9. #66
      Pasco's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd September 2008
      Posts : 9,839
      Rep Power : 7367
      Likes Received
      6151
      Likes Given
      22265

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Zanzibar is a time bomb!.
      Tena wenye akili, waushukuru Muungano vinginevyo baada ya Mapinduzi, wangeendelea kuchinjana mwanzo mwisho!.

      Naifuatilia kwa keen interest hii GNU ya CCM na CUF, juzi nimetoka huko nikawa surprised, kumbe viongozi wa CUF ndani ya GNU wanatekeleza sera za CCM!.

      CUF ni kama mtoto aliyekuwa akilia kwa makelele sana ndipo baba CCM akampa peremende ya GNU alambe anyamaze. CUF kalamba kanyamaza, nasubiria utamu wa peremende utakapoisha kama mwana ataendelea kunyamaza!.

      Hata hao Wanzazibari wanaolalama humu kuhusu muungano hawajui watendalo kwa vile ni muungano ndio unaowapa fursa za kuyafanya wanayoyafanya kwa kukohoa na kelele nyingi, nje ya muungano hawa wange vanish into thin air (wangeshafungwa mawe shingoni na kutoswa baharini).

      Wazanzibari wenye muono wa mbali, wanamshukuru Julius vinginevyo wangeachwa walivyo hawa, zamani pale pangekuwa ndio ngome ya Osama na Wamarekani wangevizamishia mbali kabisa visiwa hivi vifutike kwenye uso wa dunia! Thanks to Muungano.
      Ngongo likes this.

    10. #67
      chamajani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2010
      Location : Baharini Kina kirefu
      Posts : 492
      Rep Power : 537
      Likes Received
      0
      Likes Given
      9

      Default

      Quote By Nguruvi3
      Elimu ya umma haina mwisho, mimi nitaendelea kuwasaidia Wznz kujitambua na kuchanganua mambo.
      Kama Mwinyi/ Aboud Jumbe ni Watanganyika: Abeid Aman Karume ni Mnyasa kwa taarifa yako. Sasa kama unawakataa Mwinyi na Jumbe ambao ni miongoni mwa Wanamapinduzi 12 waliohai unayakataa mapinduzi ya nchi yako.

      Salim Ahmed Salim: Ndugu yangu acha unafiki, mwenyezi Mungu hapendi, kanisa halina mkono, ni habari zilizozushwa hivi karibuni, na kwa uduni wa kuelewa, kusoma na kutambua mambo Wznz wanaimba wimbo huu. FACTS: Wajumbe wote wa Halmashauri kuu NEC ya CCM walimkubali na kumtaka Salim A Salim. Walioleta fitna ni wajumbe wa ZNZ waliosema eti ni Hizhbou. Wakasema ana damu ya Uarabu, na alishiriki mauaji ya Karume. Fitna hizi ni kutoka kwa wazanzibar wenyewe. Hakuna Mbara anayejua Hizbou ni nani, ila waunguja na wapemba. Salim alikuwa waziri mkuu wa Tanganyika, na waziri wa Ulinzi. Usiwadhalilishe Wnz

      Hakuna anayelazamisha muungano. Tanganyika tumechoka kulipia watu umeme wa bure, kuwalipia mishahara na kuendesha serikali ya muungano. Sisi hatuna faida na muungano.
      Ombi letu: Fungeni virago muondoke bara mrudi kwenye nchi yenu. 700,000 mnafanya nini bara? Ondokeni mkadai nchi yenu mkiwa kwenu.
      Muungano ukivunjika Tanganyika wana lose nini? waulizeni Wznz kwenye mablog na website maana nimeuliza hili swali mara zaidi ya 100 hakuna mZnz anayejibu.
      Znz if you think education is expensive try ignorance.
      Mkuu umemaliza kila kitu, facts ni kwamba watngnyka hawata-lose chochote kwani hawana investments zozote zenj! Nadhani pia watanganyika waanzishe 'operation ondoa wapemba bara' yaani wote kuanzia ujiji-kigoma hadi kigamboni, kila kukicha tunakutana na malalamiko yao tuu ambayo hayaeleweki, vijana wanasema kama noma na iwe noma! Kila black kwao si mzaliwa bali mwarabu yes-this z slave inferiority ambayo imejengeka visiwani na wanataka kuihamishia bara! Al adawi wakubwa hawa

    11. #68
      chamajani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2010
      Location : Baharini Kina kirefu
      Posts : 492
      Rep Power : 537
      Likes Received
      0
      Likes Given
      9

      Default

      Quote By Elli
      Kumbukeni hadi vyakula mnachukua bara, so if you decide to go mtatupunguzia mzigo sisi, we got nothing to loose zaidi ya longolongo zenu, kwanza sijui ni nani anayewang'ang'ania, pack your things and go!! hebu angalia kuna wabara wangapi Znz comparing to Bara? mbona hamna shukrani nyie, au mnaona tukinyamaza ni kwamba tunawapenda sana? think twice, sisi ni kitu gani tunacho-import toka Znz? ni hizo used electrical devices zinazouzwa na wapemba wenzenu kariakoo?? usitake kuniharibia chai yangu asbh asbh hiv
      Halafu mkuu tena haya ma used wanayouza ndo yanaua sna uchumi wa bara! Wanatumia dola ku-import hata vile ambavyo havina matumizi kwa watz, an they export nothing ili kuingiza foreign earning-wapemba woooote now warejee chokocho kwao huko wakajenge nchi yao na watngnyika wote warejee umatumbini kwao-na vijana wa kazi watakaa ready ku-confiscate kila chumo la migrants wa either side-wanabebwa then wananyoosha miguu!

    12. #69
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      zanziberi,mwataka kujitenga mayakheee
      hata leo jitengeniii,maana nyie ni mzgo atiii,mkija huku shule zawashindaaaaa

    13. #70
      Mwanajamii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2008
      Posts : 7,085
      Rep Power : 1809
      Likes Received
      24
      Likes Given
      13

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Wapemba na waunguja walipokaribia kutengana kumbe wachawi walikuwa watanganyika mmmmmmmmh hii mpya.

    14. #71
      Iramusm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2009
      Location : Bongo Darisalama
      Posts : 291
      Rep Power : 541
      Likes Received
      28
      Likes Given
      57

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Mimi huwa naushangaa sana Muungano..ukiwasikiliza WaZnz utapata picha wanaona kwamba wananyonywa na Wabara ..., na ukiwasikiliza Wabara utapata picha wanaona kama wanabeba mzigo wa WaZnz.....kiufupi hamna anayeona faida ya kuwa na mwenzake, kinyume chake kila mtu anaona kama " anavutwa shati " na mwenzake. Najiuliza huu Muungano upo kwa faida ya nani?
      Kuku hata akuwe vipi achinjwi kwa panga

    15. #72
      Mkubwa ndevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2011
      Posts : 356
      Rep Power : 489
      Likes Received
      35
      Likes Given
      0

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Mimi sina cha kusema bt kwa waZNZ 2cdanganyike kw 2tapiga hatua 2kiwa bila muungano bt itabidi 2fanye kazi ya ziada kupata maendeleo ni hayo 2

    16. #73
      popiexo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 680
      Rep Power : 685
      Likes Received
      142
      Likes Given
      96

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. RIP
      Peace & Love

    17. Nzi
      #74
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,313
      Rep Power : 21622
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default

      Mbona kule tanganyika hajawahi kushaguliwa mzanzibar kuwa rais wa tanzania? Alitaka kuja Dr. Salim A. Salim,kanisa linamuijia juu eti muarabu hafanani na watanganyika!



      Heshima yako ustaadh! Hapo umepotea mkuu. Aliemfanyia zengwe SAS ni ------ na mtandao wake. Sasa kanisa sijui umeliingizaje! Labda kama una chuki binafsi na kanisa.

    18. #75
      kweleakwelea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th November 2010
      Posts : 1,291
      Rep Power : 703
      Likes Received
      233
      Likes Given
      488

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      yakhe Respect nyingi kwa SAS. nadhani angekuwa raisai wetu kama alivyotamani baba wa taifa leo hii tusingekua tunadidimia kwa kasi hii inayoendelea saivi..

      aliyemuumiza salim ni ------ akisaidiwa na kina salva rweyemamu. hawakumuumiza huyo tu bali pia mh Sumaye wakimuandika magazetini eti kaweka heka nyingi ughaibuni...

      ------ hiyo haikumtosha akaenda mbele kiasi cha kumyapa nyapa sumaye asisafishiwe njia na polisi akitoka kwake kibaha kwenda dar..sumaye wa watu akaamua kujiendea zake marekani kusoma kuliko kuteswa vile...

    19. #76
      kweleakwelea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th November 2010
      Posts : 1,291
      Rep Power : 703
      Likes Received
      233
      Likes Given
      488

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      yakhe Respect nyingi kwa SAS. nadhani angekuwa raisai wetu kama alivyotamani baba wa taifa leo hii tusingekua tunadidimia kwa kasi hii inayoendelea saivi..

      aliyemuumiza salim ni ------ akisaidiwa na kina salva rweyemamu. hawakumuumiza huyo tu bali pia mh Sumaye wakimuandika magazetini eti kaweka hela nyingi ughaibuni...

      ------ hiyo haikumtosha akaenda mbele kiasi cha kumyapa nyapa sumaye asisafishiwe njia na polisi akitoka kwake kibaha kwenda dar..sumaye wa watu akaamua kujiendea zake marekani kusoma kuliko kuteswa vile...

    20. #77
      Papa D's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 615
      Rep Power : 556
      Likes Received
      88
      Likes Given
      75

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Kuna mtu alisema Zanzibar ikijitenga itakuwa kama hong kong ndani ya miaka mitano! NLICHEKA SANA! Mwingine akasema Zanzibar ikijitenga itaanza kuchimba mafuta mara moja na raia wake wataanza kula na kulala kwani mafuta yaliyopo wanaweza kufanya kila mmoja kuwa billionea pasipo kufanya kazi yeyote!
      YOTE HAYA HEWALA JAMANI!!!!
      HEbu jitengeni ili mfanikiwe kama kweli imani yenu ni hiyo lakini angalizo moja kwamba:-
      Mtakapojitenga na bara halafu hayo maendeleo yakashindikana, MTAJITENGA NA NANI?

    21. #78
      Taso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2010
      Posts : 1,173
      Rep Power : 794
      Likes Received
      308
      Likes Given
      121

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      I pray to godhead every day that this lopsided union should die in hell.

      Mwenye Enzi Allah, Sub Hanna wa Taalah, tutasaidie hili li Muungano livunjike.

      Tafadhali livunjeni.

    22. #79
      Mallaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th January 2008
      Location : Jerusalem
      Posts : 2,562
      Rep Power : 1089
      Likes Received
      24
      Likes Given
      28

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Hata sisi hatuuhitaji huo muungano
      nendeni zenu, wala hatutawahitaji , kwani mtu akikukataa huna haja ya kumkataa pia.
      Lakini mkumbuke kuwa hata kama ktaondoka mtakumbuka tu mazuri mliyokuwa mkiyapata kutoka Tanganyika pamoja na hizo kejeli zenu.
      We are tired of u.
      Ee Bwana uyasikilize maneno yangu, ukaangalie kutafakari kwangu.

    23. #80
      Topical's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2010
      Posts : 5,050
      Rep Power : 1231
      Likes Received
      853
      Likes Given
      707

      Default Re: Mapinduzi ya umma dhidi ya Muungano yamewiva! Kura ya maoni iko njiani

      Muungano utabaki na kuimarika zaidi..no going back...hauvunjiki utaimarika

    24. Study Abroad
    Page 4 of 41 FirstFirst ... 2345614 ... LastLast

    Similar Topics

    1. kuna siri gani katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
      By mtoto mzee in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 13th November 2011, 15:53
    2. Replies: 0
      Last Post: 10th November 2011, 12:26
    3. Replies: 7
      Last Post: 6th October 2011, 05:32
    4. Replies: 5
      Last Post: 30th April 2011, 16:49

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...