Najiuliza bila kupata majibu, leo nimemua niwaulize wana Jf. Tulisia uteuzi wa afisa wa Jeshi kuwa Naibu wa Mkuu wa fire. Swali huko ni kiboresha au matumizi mabaya ya maafisa wa Jeshi.Je tokea aende huko kuna mabadiriko yoyote? Mwenye dat.