JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

  Report Post
  Page 6 of 52 FirstFirst ... 45678 16 ... LastLast
  Results 101 to 120 of 1034
  1. #1
   Miss X's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th December 2010
   Posts : 100
   Rep Power : 47819
   Likes Received
   128
   Likes Given
   56

   Default Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea kumkabili.

   Siku moja baada ya gazeti hili kuripoti habari za mbunge mmoja (bila kumtaja jina), jana asubuhi Profesa Kapuya ameibuka na kumtisha mwanafunzi huyo mwenye miaka 16 anayesoma Shule ya Sekondari Turiani iliyoko Magomeni jijini Dar es Salaam.

   Baada ya kujua kuwa mtoto huyo ndiye alitoa habari za masahibu hayo, ambayo mbunge hakutaka yajulikane, alimpigia simu mtoto huyo, na baadaye kutuma meseji kadhaa za vitisho.

   Jana Tanzania Daima ilishuhudia baadhi ya meseji za simu zilizotumwa na Profesa Kapuya kwenda kwa mtoto huyo.

   Alfajiri saa 11:21 kupitia simu yake ya mkononi yenye namba 0784993930, Profesa Kapuya alituma ujumbe ufuatao kwa mtoto huyo: “chagueni kunisubiri tuje tuongee au mnataka kufa?”

   Baadaye saa 1:07 asubuhi, alituma ujumbe mwingine kutoka simu hiyo hiyo kwenda kwa mtoto huyo, ukisema: “Mkiuawa, itakuwa nzuri, itawapunguzia gharama za kuishi. Usitake kugombana na serikali, mtoto mdogo kama wewe. Sisi ndo wenye nchi yetu.

   “Mwambieni Mbowe mwenye hilo gazeti awape nyumba ya kuishi. Si mmemuingizia hela leo? Mnatumika bure watu wanaingiza hela nyingi, mmenitibua lazima niwauwe wiki hiii haitaisha, nitapanga kambi popote.

   “Jana si wamekuficha? Tuone kama utalindwa milele. Kazi ya kulindwa imeisha, maana wameshatengeneza hela. Lazima mvae sanda. Hilo sio ombi, ni wajibu wenu. Mnajitia mafia watoto sio? Watoto wetu wanauza unga, nani anawakamata? Nani atapigana nasi?”

   Hata hivyo, baada ya kuhisi kuwa watoto hao wamedhamiria kumchukulia hatua, na wamewasiliana na taasisi mbalimbali za kiraia na serikali zenye uwezo wa kumtia adabu, mbunge huyo alimtumia mtoto huyo ujumbe wa kuonyesha alikuwa anafikiria kunywa sumu.

   Ujumbe huo uliotumwa kwa mtoto huyo saa 11:2 3 ulisema: “nimwakosea sana, acha nife mie nakunywa sumu nijiue, na nyie mje mnizike.”

   Hasira za Profesa Kapuya dhidi ya mtoto hao zilitokana na hatua ya mtoto huyo na dada yake kufichua unyama wanaodai kutendewa na mbunge huyo, ambaye amewahi kushika nyadhifa kadhaa za uwaziri katika Serikali ya Awamu ya Nne.

   Tangu alipogundua kuwa mtoto huyo alizungumza na gazeti hili juzi, saa 5:17 usiku wa kuamkia jana alituma ujumbe usemao: “Si mpo Bilz? Sasa tupo pamoja na nyie mpaka usiku.”

   Baadaye saa 5:31 alituma ujumbe huu: “Hivi hamkubali kushindwa? Leo ulifuata nini ofisi ya CCM?”

   Ujumbe huo ulitokana na ukweli kwamba dada wa mtoto anayedaiwa kubakwa alifika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) juzi asubuhi kuonana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, ili kuomba chama kimsaidie kumbana Profesa Kapuya, ambaye alikuwa ameanza kuwatisha yeye na mdogo wake.

   Hata hivyo, kwa mujibu wa mtoto huyo, Kinana alisema suala hilo si la chama bali la Profesa Kapuya binafsi.

   Mtoto huyo alikataa ushauri wa kupeleka shauri hilo mbele ya vyombo vya sheria, akidai kuwa jitihada zake zimekuwa zinazimwa na mbunge huyo anayedai serikali haiwezi kumfanya lolote.

   Alisisitiza kuwa hana imani na serikali, lakini akasema yupo tayari kuchukua hatua kali dhidi ya Profesa Kapuya iwapo atasimamiwa na watetezi wa haki za binadamu.

   Baadhi ya mashirika yanayotetea makundi kadhaa yakiwamo Kituo cha Sheria na Haki za BInadamu (LHRC) na Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) yalijitokeza kumsaidia watoto hao, ambao ni yatima.

   Mtoto huyo na dada yake, wakizungumza na gazeti hili kwa hofu mafichoni, walisema kwa sasa hawana imani tena kama kuna serikali nchini Tanzania kwa kuwa wamedhalilishwa, wametembezwa hadi Bungeni na wabunge bila hatua kuchukuliwa, licha ya kutoa taarifa katika kituo cha polisi Oysterbay tangu mwaka jana.

   Hata hivyo, kabla ya tukio la watoto hao kuripoti, ofisi za gazeti hili juzi usiku kulikuwa na watu waliokuja wakiwatafuta watoto hao, huku wakiwatisha kwa simu na kuwatolea maneno ya kejeli, wakidai watawamwagia tindikali.

   Mmoja wa watoto hao, alidai kuwa miongoni mwa vijana waliokuwa wanawatisha juzi walikuwa katika gari T170 BGY, Benz, Cream Metalic, ambayo inamilikiwa na mbaya wao.

   Jana gazeti hili lilichapisha habari kuwa mwanafunzi huyo aliyesema kuwa waziri huyo alimbaka kwenye hoteli moja ya kitalii iliyoko jijini Dar es Salaam mwaka 2011, na kurudia tena kitendo hicho katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala Juni 3, 2012 alipoitwa kwenda kuchua ada kwa mara ya pili.

   Akizungumza kwa uchungu, alisema mbunge huyo alifanya kitendo hicho kwenye Hoteli ya Giraffe, Jijini Dar es Salaam mwaka 2011.

   Alisema kuwa yeye alikuwa na urafiki na mwanafunzi mwenzake Zuhura Mwaking’inda. Mwaking’inda amewahi kuwa Diwani wa Kata ya Sinza Jimbo la Ubungo, Jijini Dar es Salaam.

   Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, rafiki yake (mtoto wa Mwaking’ida) alikuwa amepooza hivyo alikuwa analazimika kumhudumia hali iliyowaunganisha hadi huyo mtoto alipochukua jukumu la kumtambulisha kwa baba yake ambaye naye alimtambulisha kwa Kapuya ili aweze kumsaidia fedha kwa jili ada.

   Mwanafunzi huyo alisema baada ya kutambulishwa aliitwa katika hoteli moja jijini Dar ambapo baada ya kufika mapokezi wafanyakazi wa hoteli hiyo walimkataza kuingia chumbani katika maana kwamba umri wake alikuwa mdogo (mwaka 2011 alikuwa na miaka 14), lakini Kapuya aliamrisha aje chumbani pamoja na dereva na kumwingiza kwa nguvu.

   Akiwa chumbani alimlazimisha kulala naye kisha kumpa sh laki saba, badala ya sh elfu sitini na saba kiasi ambacho kilikuwa ndio mahitaji halisi ya ada.

   Mwanafunzi huyo amesema baada ya muhula mmoja aliitwa tena na mbunge huyo katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala tarehe 3 June 2012, ambapo pia alimlazimisha kulala naye kwenye zulia la ofisi yake, kisha kumpa sh 350,000/.

   Alisimulia kwamba wakati anatoka kwa huzuni ofisini kwa mbunge huyo, mmoja wa wahudumu wa hapo alimuuliza kwanini anatoka kwa huzuni, alimweleza kisa hicho, na huyo mama aliangua kilio kwa kumwambia “mwanangu umekufa pole tu, huyu baba ni muathirika wa ukimwi”.

   Aliongeza kuwa baada ya kuambiwa vile alilia na kufanya fujo hapo mapokezi hadi alipokamatwa na walinzi wa kisha kupelekwa kituo cha polisi kufunguliwa mashtaka, lakini akiwa polisi alipoeleza mkasa wote, Polisi walilazimika kumwita Kapuya na wakawasuluhisha kwa makubaliano kwamba Kapuya atakuwa anamlipia ada, na kumpa pesa za matumizi sh. laki tatu kila mwezi, jambo ambalo amekuwa akilitekeleza kupitia simu yake ya mkononi 0755993930.

   Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, 24 Januari 2013, alifika mtu nyumbani kwao mtu mmoja (jina tunalihifadhi) na kujitambulisha kuwa yeye ni jambazi na kuwa alitumwa kwenda kuwaua kwa malipo ya sh. milioni 50, lakini alipokuta ni watoto wadogo aliwasamehe, na kusema yeye ni jambazi sugu hawezi kupoteza nguvu zake kuua vitoto.

   Alienda akiwa na bastola, maji kwenye chupa yanayodhaniwa kuwa ni tindikali na bomba la sindano. Kwa mujibu wa mtoto huyo, jambazi huyo anasema kuwa tayari alilipwa milioni 15 za awali.

   Mtoto huyo alisema jambazi huyo aliwambia kuwa yeye ni rafiki wa mtoto wa Kapuya na wanamfahamu vizuri, lakini hataweza kuaua baada ya kubaini kuwa wao ni yatima tu.

   Hata hivyo kufikia mwezi Februari mwaka huu, mtu asiyefahamika alienda nyumbani na kutelekeza gari aina ya T.199 BGY Mercedes Benzi ya Blue wakati wanafunzi hao wakiwa shuleni, kisha kuacha ufunguo kwa jirani yao kwa maelekezo kuwa wakifika awapatie.

   Na Kapuya aliwapigia simu kuwaarifu kuwa amempa zawadi ya gari kwa ajili ya matumizi ila yeye na dada yake wanaruhusiwa kuuza ili wapate pesa kwa ajili ya mahitaji yake siku zilizosalia, kwani muda sio mrefu baada ya uchguzi mkuu 2015, Kapuya atakuwa Waziri Mkuu, hivyo itakuwa ngumu yeye kumtumia huyo binti pesa kama alivyoelekezwa na jeshi la polisi kituo cha Oysterbay.

   Baada ya mwanafunzi huyo na dada yake ambaye ana umri wa miaka 20, kupewa gari walishindwa kulitumia hivyo kutoa taarifa polisi kwani kwa kupokea gari hilo ilikuwa ni kuwatelekeza kwani yeye hana hata hela ya kuweka mafuta ya gari, hivyo walienda polisi ili kesi ipelekwe mahakamani kumshtaki kapuya.

   Polisi wa Oysterbay walikubali kulipeleka tatizo hilo kwa Katibu wa Bunge, ambaye alimwita mwanafunzi huyo na mdogo wake waende Dodoma kukutana na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ingawa walipofika Dodoma walikaa na kamati ya hiyo kwa maelezo kuwa Kapuya hakuwepo hadi Bunge lilipoisha walirejeshwa Dar es Salaam.

   Mtoto huyo na dada yake alitoka ofisi za CCM lakini akiwa anaelekea kituo cha basi alithadharishwa na mwanafunzi mwingine kwa haraka kuwa akimbie kwa kuwa atamwagiwa tindikali na watu waliokuwa wanamfuata nyuma, alikimbilia katika mtaa wa Hoteli ya Star light kisha aliomba msaada baada ya kupotea njia na hivyo alisaidiwa na mama mmoja kufikishwa chumba cha habari cha Channel Ten.

   Ni katika chumba hicho ndio mwandishi wa habari hizi alienda na kuwakuta watu wawili hao waliokuwa wanamhitaji binti huyo lakini walikatazwa kumchukua.

   Chanzo: Tanzania Daima
   Last edited by Maxence Melo; 14th November 2013 at 00:31.


  2. #101
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 4,707
   Rep Power : 2149
   Likes Received
   1059
   Likes Given
   78

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Kapuya bhana...Hukuona wakubwa wenzio.

  3. ngungwangungwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd July 2013
   Posts : 450
   Rep Power : 513
   Likes Received
   119
   Likes Given
   46

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Ni JUMA KAPUYA huyo hakuna mwingine. Lkn haka kasichana katakuwa kalitoa kenyewe kwa ridhaa yake na ndo maana kakarudi tena. Utata umekuja kalivyoambiwa mzee kanasa. Miaka 16 kwa hapa dar huyo mbona mkubwa,watotot wanabikiriwa miaka 4!!!!

  4. cacico's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2012
   Location : DSM
   Posts : 8,377
   Rep Power : 94803
   Likes Received
   7628
   Likes Given
   5987

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   na imani yake pia yaruhusu wake zaidi, ndio kwanza ana wawili halali, muacheni aongeze tu! ni kulaaniwa, hivi ile makitu hainaga mzee eeeeeeee????? puuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
   "the problem is not me! the problem is you understading me!"

  5. MTENDAHAKI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : Mkwajuni
   Posts : 2,215
   Rep Power : 991
   Likes Received
   457
   Likes Given
   442

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Itakuwa ngumu kuthibitisha

  6. zumbemkuu's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 11th September 2010
   Location : street dweller
   Posts : 8,633
   Rep Power : 355221031
   Likes Received
   4045
   Likes Given
   13803

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Quote By Arushaone View Post
   Mkuu huyo mnayesema ni mtoto hakubakwa wala nini. Inaelekea kalitongozwa bila ya ubishi kakaenda kupanda gari kakakutana mna mheshimiwa hotelini kakatoa mzigo tena kakitoa ushirikiano wa kutosha. Kalipomaliza kakapewa pesa ya kujikimu 700,000/= badala ya 67000 then kakasepa. After sometimes kakarudia tena na tena na hulipwa, sasa kameshakua na kamejua noti, sasa kanataka kiinua mgongo (jumla) kalipwe kasepe. Mambo hayo!!! Magazeti yanaweka chumvi sana ila according to my lights that is naked truth.
   mkuu miaka 14 ni mtoto. kabakwa, assume ni binti yako, hata kama kalikubali, ila kamerubuniwa, kuanzia miaka 17 na kuendelea angalau ndo unaweza kusema hajabakwa, ndo maana serikali imeweka umri kuanzia miaka 18, refer kesi ya Lulu,
   ''Overcome the devils with a thing called love'' bob marley


  7. Ruppy karenston's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2011
   Posts : 414
   Rep Power : 616
   Likes Received
   74
   Likes Given
   26

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Tatizo la viongozi wetu hawa ni kwamba akili za juu zimehamia chini.

  8. MTENDAHAKI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : Mkwajuni
   Posts : 2,215
   Rep Power : 991
   Likes Received
   457
   Likes Given
   442

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Itakuwa vigumu kuthibitisha!

  9. Ng'wanapagi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2013
   Posts : 3,904
   Rep Power : 1195
   Likes Received
   1222
   Likes Given
   415

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Ayaaaa! Ina maana iliishiamo yote!?

  10. ngungwangungwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd July 2013
   Posts : 450
   Rep Power : 513
   Likes Received
   119
   Likes Given
   46

   Default

   Quote By muhinda View Post
   Inasikitisha wachangiaji wengi humu mnmshambulia uyu mtoto, nakuacha huyu baba. seriously, this says a lot about us waTZ. kweli mtoto wa miaka 14, unamuita msichana!!!! wengine ktk umri huu hata ungo anakuwa hajavunja, jamani get serious.
   mkuu wanavunja ungo na miaka 4 siku hizi.

  11. Leomimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2013
   Posts : 2,418
   Rep Power : 89760217
   Likes Received
   638
   Likes Given
   634

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Alipotakiwa kupewa 67 elfu akapewa 700000 mtt akajua sasa ntapewa mamilioni akaenda kuachia tena k loo hata kenyewe kalinogewa sana
   Coming soon........

  12. davidson689's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2011
   Posts : 480
   Rep Power : 606
   Likes Received
   53
   Likes Given
   16

   Default

   Quote By Horseshoe Arch View Post
   Hizi hadithi za mtu fulani mkubwa sana(jina linahifadhiwa) zinakera kusoma...kwanini usifanyike uchunguzi usio na shaka na kisha wamwagwe hadharani waumbuke? Mbona kashfa ya Clinton haikuandikwa 'mtu mmoja (jina linahifadhiwa) wa state house anatuhumiwa kufanya A,B,C na mtumishi (jina linahifadhiwa) wa ikulu? Kwanini tusifike mahali kijiko kikaitwa kijiko?
   hapo sawa kabisa mkubwa

  13. #112
   bily's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th April 2012
   Location : SCANDINAVIA.
   Posts : 5,656
   Rep Power : 29883658
   Likes Received
   1232
   Likes Given
   268

   Default

   Yes madam your right, but what shit does this Kapuya symbolize?

   Quote By Heaven on Earth View Post
   JUMA kAPUYA

   Constituent:
   Urambo Magharibi

  14. #113
   bily's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th April 2012
   Location : SCANDINAVIA.
   Posts : 5,656
   Rep Power : 29883658
   Likes Received
   1232
   Likes Given
   268

   Default

   Yes madam your right, but what shit does this Kapuya symbolize? CCM MUST GO TO HELL BEFORE 2015.

   Quote By Heaven on Earth View Post
   JUMA kAPUYA

   Constituent:
   Urambo Magharibi

  15. #114
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 4,707
   Rep Power : 2149
   Likes Received
   1059
   Likes Given
   78

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Viongozi wa nchi hii wote kama wamelogwa vile...... Mara vyeti feki,mara Pembe za ndovu,mara madawa ya kulevya na sasa ubakaji.Maskini nchi yangu.

  16. muhinda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2011
   Posts : 300
   Rep Power : 567
   Likes Received
   161
   Likes Given
   228

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Quote By ngungwangungwa View Post
   Ni JUMA KAPUYA huyo hakuna mwingine. Lkn haka kasichana katakuwa kalitoa kenyewe kwa ridhaa yake na ndo maana kakarudi tena. Utata umekuja kalivyoambiwa mzee kanasa. Miaka 16 kwa hapa dar huyo mbona mkubwa,watotot wanabikiriwa miaka 4!!!!
   Hamna ridhaa hapo. she is below 18!

  17. Ng'wanapagi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2013
   Posts : 3,904
   Rep Power : 1195
   Likes Received
   1222
   Likes Given
   415

   Default

   Quote By BONGOLALA View Post
   Hili sakata itakua mheshimiwa ameacha kumhudumia huyu binti ndiyo maana ameamua kumchafua mbunge,inaonekana kameliwa sana na wapambe ndio wanampa kichwa!hawa ni matapeli alivyopewa laki 7 mbona hakusema?na nyie wabunge mkome ndio maana mnasema pesa haziwatoshi
   Wabunge wanakera sana,ipo siku popobawa ata........la kwa ufuska wenu.

  18. #117
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 4,707
   Rep Power : 2149
   Likes Received
   1059
   Likes Given
   78

   Default

   Quote By Leomimi View Post
   Alipotakiwa kupewa 67 elfu akapewa 700000 mtt akajua sasa ntapewa mamilioni akaenda kuachia tena k loo hata kenyewe kalinogewa sana
   Aliyeanza kukanogesha ndiye mwenye hatia....

  19. Peter jaluo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2013
   Posts : 1,752
   Rep Power : 757
   Likes Received
   232
   Likes Given
   1

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   Nilikuwa namwona huyo.wzri keko molem.alikuwa anakula.mm m2 na mtto wake. hezi hizo

  20. #119
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 4,707
   Rep Power : 2149
   Likes Received
   1059
   Likes Given
   78

   Default re: Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

   MUNGU ameamua kuliokoa Taifa lake.. Kufikia 2015 hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe jingine.. Hapo Tanzania mpya itazaliwa.....

  21. Tukundane's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2012
   Posts : 5,252
   Rep Power : 1812
   Likes Received
   1371
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By Tulimumu View Post
   Mimi naona ubakaji hapo haupo kwakuwa binti mwenyewe alikuwa anafunga safari kumfuata kigogo huyo sehemu mbali mbali na ameshapokea pesa zake nyingi. Angeripoti mara alipoingiliwa mara ya kwanza kidogo inge make sense.
   Huu ni ubakaji live.Hata kama binti angekuwa na umri zaidi ya huo Mh hawezi kuepuka kosa la kubaka.Kwanza ametumia wadhifa wake kumduh huyo binti kitu ambacho ni kinyume cha sheria.Pili amemduh huyo binti kwa kutumia uyatima wake kitendo ambacho hakina tofauti na kumlala mwanamke uliyemulewesha kwa kilevi kwa hiyo anakuwa anafanya kitendo hicho pasipo uhiyari.


  Page 6 of 52 FirstFirst ... 45678 16 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Mtoto aliyemuuliza maswali Lowassa matatani
   By Steve Dii in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 28
   Last Post: 4th June 2015, 00:37
  2. Waziri wa JK matatani
   By BAK in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 8
   Last Post: 17th July 2009, 14:04
  3. Kapuya apata ajali...
   By Masatu in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 89
   Last Post: 26th September 2007, 18:52

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...