Show/Hide This

  Topic: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

  Report Post
  Page 12 of 30 FirstFirst ... 21011121314 22 ... LastLast
  Results 221 to 240 of 583
  1. Ta Kamugisha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th May 2011
   Posts : 1,644
   Rep Power : 3820
   Likes Received
   450
   Likes Given
   69

   Default TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

   Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

   VIDEO:   Jamani tuombe sana isiwe tanzania
   Last edited by Ta Kamugisha; 27th October 2013 at 23:59.

  2. KIWAVI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2010
   Posts : 647
   Rep Power : 697
   Likes Received
   122
   Likes Given
   75

   Default re: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Mshirikina huyo.... Mbona anatabiri mabaya tu

  3. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 10,067
   Rep Power : 2273
   Likes Received
   1967
   Likes Given
   507

   Default

   Quote By Ta Kamugisha View Post
   Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

   Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

   Jamani tuombe sana isiwe tanzania
   .......aaah ! huyu ndiye anaye panga ugaidi !! akamatwe na apigwe tuu, maana tumechoka na uzushi wake !

  4. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 10,067
   Rep Power : 2273
   Likes Received
   1967
   Likes Given
   507

   Default

   Quote By KIWAVI View Post
   Mshirikina huyo.... Mbona anatabiri mabaya tu
   Watu wakitishiwa kufa ndo wanatoa bahasha haraka haraka huku zikiwa zimetuna !

  5. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 10,067
   Rep Power : 2273
   Likes Received
   1967
   Likes Given
   507

   Default

   Quote By tofali View Post
   Akitekwa kikwete sawa tuu...labda watajifunza kuweka usalama makini..maana li nchi la hovyo sana hili
   .........uko chooni nini ?

  6. Tony Gwanco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2013
   Location : meryland
   Posts : 5,861
   Rep Power : 3873788
   Likes Received
   1053
   Likes Given
   99

   Default

   Quote By Ta Kamugisha View Post
   Hata yeye Tb Joshua alitabiri, hata ushindi wa chelsea champion league alitabiri
   kiswahili kigumu

  7. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 10,067
   Rep Power : 2273
   Likes Received
   1967
   Likes Given
   507

   Default

   Quote By Ta Kamugisha View Post
   Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

   Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

   Jamani tuombe sana isiwe tanzania
   Utabiri wa hali ya hewa unasaidia wakulima kutayarisha mashamba na vyombo vya anga na majini kujipanga.
   Sasa huu wa TB Joshua unasaidia nini ?!!
   Ibambasi likes this.

  8. Korto's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th July 2013
   Posts : 37
   Rep Power : 393
   Likes Received
   8
   Likes Given
   9

   Default re: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Huyu bwana sio wakumpuuza, alisha wahi kutabiri habari ya watu kupigwa risasi marekani na ilitokea, so tuwe makini
   MTAZAMO, Adiel and chamtemamoto like this.

  9. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 10,067
   Rep Power : 2273
   Likes Received
   1967
   Likes Given
   507

   Default

   Quote By Kongosho View Post
   Nimesema alishamaliza nikimaanisha kuwa, yote yanayofundishwa ni marudio ya aliyoyafundisha yesu, na yeye ndio muujiza mkuu aliufanya Mungu kumleta duniani.

   Sijakataa kuwa maono au ishara hazipo, ila inahitaji umakini kujua ishara zitokazo kwa Mungu. Kipindi hiki ambapo dunia imetewaliwa na tamaa ya pesa, na dini imegeuka chanzo cha mapato, chochote chaweza kutokea. Na kwa imani yangu, si kila ishara naamini inatoka kwa Mungu.

   Mungu kuja duniani kwa mfano wa mwanadamu, ndio muujiza mkuu, kuzaliwa bila kuumbwa.
   Wagalatia bana ! ...........yaani lazima uwe teja kukubali maneno yao !
   Sasa hapo mungu yupi kamuumba mungu yupi ?!
   Ibambasi likes this.

  10. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 10,067
   Rep Power : 2273
   Likes Received
   1967
   Likes Given
   507

   Default

   Quote By Korto View Post
   Huyu bwana sio wakumpuuza, alisha wahi kutabiri habari ya watu kupigwa risasi marekani na ilitokea, so tuwe makini
   kwani katuambia tuzuie !?........au ?

  11. Adiel's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th May 2013
   Posts : 92
   Rep Power : 411
   Likes Received
   19
   Likes Given
   58

   Default re: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Quote By Korto View Post
   Huyu bwana sio wakumpuuza, alisha wahi kutabiri habari ya watu kupigwa risasi marekani na ilitokea, so tuwe makini
   Uko sahihi kabisa ndugu, tatizo la watu wengi hasa jf ni kubisha kitu asichokijua bila hata kukifanyia uchunguzi. Mimi ninachoshukuru ni kwamba kwa kupitia thread hii watu watajua Mungu wa TBJoshua ni Mungu aliye hai
   Chaka and Korto like this.

  12. Lilian Peter's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd October 2013
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default re: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Ni vema tukaheshimu maneno ya watumishi wa Mungu kuliko kubeza, tuwe tayari wakati wowote, unaofaa na usiofaa maana hatujui siku atakayokuja mwana wa Adam. Pia tuheshimu Mamlaka zinatoka kwa Mungu.
   MTAZAMO likes this.

  13. nelly nely's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Location : BUZEBAZEBA/KONGWA
   Posts : 670
   Rep Power : 12318
   Likes Received
   179
   Likes Given
   53

   Default

   Quote By Ta Kamugisha View Post
   Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

   Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

   Jamani tuombe sana isiwe tanzania
   tanzania kuna rais?

  14. jMali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th November 2010
   Posts : 5,718
   Rep Power : 37177
   Likes Received
   2501
   Likes Given
   1948

   Default Re: TB JOSHUA: Atabiri tena, Rais Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Ukirudia kuangalia tena video anasema kuwa tukio litatokea kwenye nchi ambayo lilishawahi kutokea wakati wanacheza muziki.. kwa hiyo nchi hapo ni Uganda, ambapo kama sikosei magaidi waliwahi kulipua disco.

  15. Albosignathus's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2013
   Posts : 4,664
   Rep Power : 2157802
   Likes Received
   762
   Likes Given
   0

   Default re: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Upuuzi mtupu

  16. jMali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th November 2010
   Posts : 5,718
   Rep Power : 37177
   Likes Received
   2501
   Likes Given
   1948

   Default Re: TB JOSHUA: Atabiri tena, Rais Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Quote By tofali View Post
   Akitekwa kikwete sawa tuu...labda watajifunza kuweka usalama makini..maana li nchi la hovyo sana hili
   wakimteka huyo watashangaa hata hatubabaiki kuwaomba wamrudishe!

  17. Watu8's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 40,249
   Rep Power : 429505041
   Likes Received
   24525
   Likes Given
   26332

   Default Re: VIDEO: Prophet TB Joshua Prophecy: Evil Attack in East Africa, African Leader being Captured

   Quote By Lokissa View Post
   Hiyo nchi ya east afrika waliokuwa wanakunywa na kudance wakafa sio Uganda?
   kwa hivo damu za watu 1000 zitapotea tena kama alivotabiri
   haya waganda kaeni mkao wa kufa.......kaeni majumbani mwenu msiende clud miezi hii
   Nadhani kasema kama wasiopoomba au kwa kuzingatia yale asemayo ndiyo hayo maafa huenda yakatukia...
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  18. Watu8's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 40,249
   Rep Power : 429505041
   Likes Received
   24525
   Likes Given
   26332

   Default Re: VIDEO: Prophet TB Joshua Prophecy: Evil Attack in East Africa, African Leader being Captured

   Quote By mwekundu View Post
   jamaa anavuta bange!!
   umejuaje?

   JF ya zamani ulikuwa ukiandika acqusations kama hivi bila ushahidi, basi ujue BAN inahuu...siku hizi naona watu wapo huru tu...
   MTAZAMO and chamtemamoto like this.
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  19. jMali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th November 2010
   Posts : 5,718
   Rep Power : 37177
   Likes Received
   2501
   Likes Given
   1948

   Default re: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   Quote By salimkabora View Post
   Tofauti kati ya walioko makanisani na walioko club ni ndogo sana na mara nyingi ni haohao
   Lakini mungu wao haamrishi waue watu wa dini zingine

  20. mzaramo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th September 2006
   Location : cape town,south africa
   Posts : 1,482
   Rep Power : 1040
   Likes Received
   270
   Likes Given
   1

   Default re: TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

   watabiri wenye kuoteshwa kama hawa hawana tofauti yoyote na yule babu wa samunge,loliondo ni waongo waongo wenye maneno mwengi ya kujitetea kama utabiri wake wa uongo unaposhindwa kufanya kazi

  21. Kaunga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Location : Wild wild west
   Posts : 11,447
   Rep Power : 101884992
   Likes Received
   11620
   Likes Given
   9112

   Default

   Quote By Kongosho View Post
   Nimesema alishamaliza nikimaanisha kuwa, yote yanayofundishwa ni marudio ya aliyoyafundisha yesu, na yeye ndio muujiza mkuu aliufanya Mungu kumleta duniani.

   Sijakataa kuwa maono au ishara hazipo, ila inahitaji umakini kujua ishara zitokazo kwa Mungu. Kipindi hiki ambapo dunia imetewaliwa na tamaa ya pesa, na dini imegeuka chanzo cha mapato, chochote chaweza kutokea. Na kwa imani yangu, si kila ishara naamini inatoka kwa Mungu.

   Mungu kuja duniani kwa mfano wa mwanadamu, ndio muujiza mkuu, kuzaliwa bila kuumbwa.
   I give up. Ila ni vizuri kujizuia kuhukumu mtu (umemuita con artist) bila uhakika, maana hata Saulo wakati analidhulumu kanisa alijijua anafuata matakwa ya dini yake mpaka alivyotokewa na Yesu.

  Page 12 of 30 FirstFirst ... 21011121314 22 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Mchango wa John Okello [che Guevara wa East Africa] umefutwaje?
   By Phillemon Mikael in forum Jukwaa la Historia
   Replies: 478
   Last Post: 5th February 2015, 22:57
  2. Replies: 2
   Last Post: 29th October 2013, 17:04
  3. Kuanzishwa kwa sarafu moja East Africa
   By Invisible in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 2
   Last Post: 15th September 2007, 12:29
  4. East Africa the new cellphone frontier
   By BAK in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 2nd July 2007, 21:11

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...