JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 53
  1. MwanaDiwani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2013
   Posts : 5,524
   Rep Power : 1814038
   Likes Received
   2223
   Likes Given
   2688

   Default Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiwa katika picha ya pamoja na Andrew Nyerere Mtoto wa Kwanza wa Baba wa taifa Mwalimu Julius K. Nyerere wakati alipozuru kaburi la Mwaasisi huyo wa taifa la Tanzania Mwitongo, Butiama Nyumbani kwa mwalimu Mkoani Mara jana, Kinana alifanyakazi na Andrew
   Nyerere wakati wakilitumikia Jeshi la Ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ), Katibu Mkuu huyo jana aliendelea na ziara yake katika wilaya ya Butiama katika kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, Kinana ataendelea na ziara yake katika Wilaya ya Serengeti leo. Kushoto ni Nape Nnayue Katibu wa (NEC) Itikadi Siasa na Uenezi.

   Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Andrew Nyerere mara baada ya kuzuru Kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere Mwitongo Butiama jana
   Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa tatu kutoka kulia akiongozwa na ndgu wa Mwalimu Mzee Jack Nyamwaga wakati akielekea kuweka shada la maua katika kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere jana mjini Butiama, Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Butiama Mama Mabula
   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati. Mwalimu Julius K. Nyerere huku Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akishuhudia tukio hilo.
   Wana habari nao wakishiriki kuweka mashada ya maua katika Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere jana kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangwe Bw. John Bukuku, Said Mwishehe kutoka Jambo Leo Oktavian kutoka CCM Gerson Msigwa wa TBC, Ufo Saro wa ITV na Prosper Dereva wa CCM.

   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa pili kutoka kulia akimsikiliza Balozi Safari wakati alipotembelea Shina namba 14 Mwitongo Butiama na kuzungumza na wanachama wa shina hilo ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero zao.
   Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akisalimiana na Mzee Jack Nyamwaga huku katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa pili kulia akizungumza na mzee Mdogo wa Mwalimu Julius K. Nyerere Daniel Nyerere mara baada ya kumaliza kikao chake na wanachama katika shina namba 14 Mwitongo.
   Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM kulia akizungumza na Mh. Nimrod Mkono aka “Mkono kwa Mkono”Mbunge wa Jmbo la Musoma Vijijini.
   Hili ni Jengo la zahanati ya kata ya Busegwe ambalo ujenzi wake unaendelea kwa kushirikisha Halmashauri ya wilaya ya Butiama vijijini Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mh. Nimrod Mkono na nguvu za wananchi.

   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupia lipu wakati alipokagua ujenzi wa zahanati ya Busegwe jana kulia ni Mgendi Sikila mmoja wa mafundi wanaojenga zahanati hiyo.
   Katibu Mkuu wa UWT Taifa na Mbunge w
   a viti maalum kutoka mkoa wa Mara Amina Makilagi akishiriki kubeba udongo, wakati Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa zahanati hiyo kata ya Busegwe

   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mganga mkuu wa Wilaya ya Butiama Dk Wilbert Manase wakati alipotembele ujenzi wa zahanati hiyo.
   Mbunge wa Jimbo la Musoma vijijini Mh. Nimrod Mkono akitoa maelezo mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akikagua ujenzi wa zahanati Busegwe

   Mbunge wa Jimbo la Musoma vijijini Mh. Nimrod Mkono akishiriki kucheza ngoma na moja ya vikundi vilivyokuwa vikitumbuiza katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuangalia Katibu Mkuu wa UWT Taifa Bi. Amina Makilagi wakati akishiriki kucheza ngoma.

   Mkuu wa Wilaya ya Butiama Mama Mabula akizungumza na wananchi katika kijiji cha Bwai.   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimshukuru Diwani wa kijiji cha Bwai Jamila Nyamanda kupitia TPP Maendelea kwa ushirikiano wake katika kutekeleza ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM
   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo wakati alipokuwa akimsikiliza mzee Nyanda Totela wakati alipokagua Shule ya Msingi ya Bwai Musoma vijijini jana
   Shule ya Msingi Bwai inavyoonekana

   Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM kulia akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Kyabakari Butiama jana

   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa mgolole na Katibu wa kabila la Zanaki Mzee Peter Nyamrubwe Nyamrubwe kama ishara ya kuwa mmoja wa viongozi wa kimila wa kabila la wazanaki, kulia ni Mh Nimrod Mkono Mbunge wa Jimbo la Musoma vijijini.

   Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi baiskeli kwa Gwesani M. Gwesani moja wa makatibu kata waliokabidhiwa baiskeli hizo kwa ajili ya kuimarisha Chama Wilayani Butiama

   Baadhi ya ananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara
   Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akiwahutubia wakazi wa mji wa Kyabakari Wilayani Butiama jana

   Last edited by MwanaDiwani; 22nd September 2013 at 12:56.

  2. Nicky Mkinga's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : IGOMA-MWANZA
   Posts : 82
   Rep Power : 506
   Likes Received
   26
   Likes Given
   47

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   duh mwenge

  3. Uchaguzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 918
   Rep Power : 619
   Likes Received
   168
   Likes Given
   341

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By jogi View Post
   Huyu mwanadiwani anatujazia seva na mapicha yake yasiyo na tija. MOD angalieni jinsi ya kutupatia utulivu jukwaani dhidi ya huyu mgagagigikoko.
   Heee!! kumbe na wewe ni mdau wa kule?

  4. Uchaguzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 918
   Rep Power : 619
   Likes Received
   168
   Likes Given
   341

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By Yericko Nyerere View Post
   Bregedia amekwenda kaburini na kihoro kwakulea PAKASHUME asiewake kisa mwenge,

   Na amekufa akiulaani mwenge kwakuwa ndio uliomletea huo msukule unaotumiwa na ccm,

   Familia ya marehemu afande hawakutaki, Familia ya Mack hawakutambui, umekuwa kama dodoki la bafuni tu tena bafu la kizaramo!
   Yeriko wewe ni muhuni tu huna uhusiano wowote na Nyerere, Mama yako anaitwa nani? anatoka nyumba gani? Jibu la hasha uache ujinga, na kujisifu bure hapa.

  5. #24
   Bulesi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2008
   Posts : 5,950
   Rep Power : 32129417
   Likes Received
   1272
   Likes Given
   191

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By Yericko Nyerere View Post
   Wamekwenda kunajisi kaburi la Mwasisi wa CCM!

   Nakubaliana na wewe kuwa hawa magamba kwa kwenda kugusa kaburi la mwalimu wamekwenda kupata laana kwani Mwalimu alikuwa ni mlinzi mkuu wa maliasili za nchi na ndio maana hata kizazi cha leo kimeweza kuzikuta mbuga za wanyama zikiwa bado na Twiga ,Tembo na vifaru; lakini hawa waliokwenda kwenye kaburi lake ni majangili wa kimataifa ambao wanataka kuangamiza mbuga zetu za wanyama!! Sio hivyo tu ,wengine katika msafara huo wanajifanya ni wanachama wa ccm kumbe ni wanachama wa ccj!!! Watapata laana kubwa.

  6. MwanaDiwani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2013
   Posts : 5,524
   Rep Power : 1814038
   Likes Received
   2223
   Likes Given
   2688

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By Yericko Nyerere View Post
   Bregedia amekwenda kaburini na kihoro kwakulea PAKASHUME asiewake kisa mwenge,

   Na amekufa akiulaani mwenge kwakuwa ndio uliomletea huo msukule unaotumiwa na ccm,

   Familia ya marehemu afande hawakutaki, Familia ya Mack hawakutambui, umekuwa kama dodoki la bafuni tu tena bafu la kizaramo!
   Acha kuweweseka wewe tapeli Yericko Yohanes Msambila.

   Unataka kuendeleza utapeli wako hata kwenye majina ya watu wengine. Unataka kuwatapeli wanaJf kuwa Mwanadiwani ni Nape.

   Nimesema ukishakuwa tapeli huwezi kuacha utapeli. Don't use my Jf ID kutapeli wanaJf

   Utapeli una gharama pamoja na kwamba umeokota watu wengi sana hapa JF na mitaani kwa kujifanya wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere.

   Siku za mwizi huwa ni arobaini na tutaendelea kukumbusha kila mara kuhusu utapeli wako.

  7. MPANDA Jr's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2011
   Posts : 1,288
   Rep Power : 766
   Likes Received
   150
   Likes Given
   25

   Default

   Quote By Malafyale View Post
   Nakubaliana na ww Yericko!Mikono ya Kinana haitakiwi kuligusa kabuli la Baba wa Taifa!Kinana ni najisi.
   Maccm yanachojua ni hiki tu hapa. Zaidi ya Hapo niUFISADI
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	ccm mauno.jpg 
Views:	28 
Size:	11.9 KB 
ID:	113136  
   Attached Images  

  8. mshunami's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2013
   Posts : 3,304
   Rep Power : 1104
   Likes Received
   777
   Likes Given
   1408

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By Yericko Nyerere View Post
   Wamekwenda kunajisi kaburi la Mwasisi wa CCM!
   Naamini mwenyewe angelikuwa anaweza kuona na kusema, angewakemea vibaya sana!!

  9. #28
   Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 27,467
   Rep Power : 411037122
   Likes Received
   16662
   Likes Given
   12575

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Andrew Nyerere hata wewe unaingizwa mkenge na huyu porcher? Hiyo mifurana na mikofia waliyokuvalisha hata Baba yako mpaka anakufa hakuthubutu kuivaa, bonye hilo waachie wenyewe kina Billionaire Ridhiwani JK. This is too low for you wenzio hapo wanapiga pesa za safari tu na kama ungejuwa mioyoni mwao walicjokuwa wanakisema wakati wa kuweka mashada........

   .
   Watanzania mjifufunze sasa mjuwe kwamba kuna tofauti kati ya kujumlisha kura na kuhesabu kura. ccm ni ileile mtaisoma namba!!

  10. Yericko Nyerere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2010
   Location : Kigamboni, DSM
   Posts : 14,185
   Rep Power : 182646946
   Likes Received
   11737
   Likes Given
   485

   Default

   Quote By MwanaDiwani View Post
   Acha kuweweseka wewe tapeli Yericko Yohanes Msambila.

   Unataka kuendeleza utapeli wako hata kwenye majina ya watu wengine. Unataka kuwatapeli wanaJf kuwa Mwanadiwani ni Nape.

   Nimesema ukishakuwa tapeli huwezi kuacha utapeli. Don't use my Jf ID kutapeli wanaJf

   Utapeli una gharama pamoja na kwamba umeokota watu wengi sana hapa JF na mitaani kwa kujifanya wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere.

   Siku za mwizi huwa ni arobaini na tutaendelea kukumbusha kila mara kuhusu utapeli wako.
   Kuna kipindi nilibisha sana rafiki yangu mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm aliponiambia kuwa wewe sio riziki, lakini kanipigia simu leo saa moja iliyopita nakunikejeli kuwa vipi jamaa anahitaji tiba?

   Sasa nimeamini kumbe kweli mzaliwa wa mbio za mwenge SIO RIZIKI,

   Nitafuatilia nijue yule Waziri kama kweli anakukamu, kisha nitakuja na mrejesho!

  11. Basil Lema's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th January 2013
   Posts : 77
   Rep Power : 6033
   Likes Received
   242
   Likes Given
   35

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Nisaidieni. Nimekamua macho sijamwona mama Maria Nyerere hapo. Kama aliwasubiri viongizi wa CHADEMA na akafanya nao sala kwenye kaburi la baba wa taifa imekuwaje sasa akawakacha viongozi wa CCM?
   ikumbukwe kwamba katika familia ya marehemu Mwl. Nyerere ni mama peke yake anayeongoza sala mbele ya kaburi la Mwalimu.
   katika sala hiyo husikika akimwombea Mwl raha ya milele na kumwomba awaongoze vema waliotembelea kaburi saa ile, ili watekeleze vema wajibu wao kwa taifa la Tanzania.

  12. #31
   jogi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th September 2010
   Posts : 7,418
   Rep Power : 85902849
   Likes Received
   2304
   Likes Given
   280

   Default

   Quote By Uchaguzi View Post
   Heee!! kumbe na wewe ni mdau wa kule?
   mkuu Uchaguzi kati ya kinana mwigulu na nape yupi anakuwa bulicheka teh teh tehh

  13. MwanaDiwani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2013
   Posts : 5,524
   Rep Power : 1814038
   Likes Received
   2223
   Likes Given
   2688

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By Yericko Nyerere View Post
   Kuna kipindi nilibisha sana rafiki yangu mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm aliponiambia kuwa wewe sio riziki, lakini kanipigia simu leo saa moja iliyopita nakunikejeli kuwa vipi jamaa anahitaji tiba?

   Sasa nimeamini kumbe kweli mzaliwa wa mbio za mwenge SIO RIZIKI,

   Nitafuatilia nijue yule Waziri kama kweli anakukamu, kisha nitakuja na mrejesho!
   Ondoa story zako za kufikirika. Mwanadiwani hawezi kuwa Nape na kikubwa zaidi, Mwanadiwani hawezi kuwa taperi wa kujinasibisha na wazazi wa wengine kama ufanyavyo kwa kujiita Yericko Nyerere wakati jina lako unaitwa Yericko Yohanes Msambila.

   Usitake kubadilisha mjadala hapa kwa kuleta story za kijiweni kuhusu Nape. Kawadanganye member wa jukwaa la chitchat.

   Acha kuweweseka Yericko Yohanes Msambila. Umetafuta reputation hapa jamiiforums kwa story za kutunga mpaka hata baba yako mzazi Marehemu Mzee Yohanes Msambila unamkana kwa vile tu hakuwa public figure. Baba ni Baba na muhimu kabisa, binadamu hachagui wazazi na sehemu ya kuzaliwa. Kama unataka kuwa mtoto wa Mwl. Nyerere legally, kaiombe familia ya Mwl. Nyerere iku-adopt ili utapeli wako utimie.

   Marehemu Mzee Yohanes Msambila ni baba yako na usione aibu kulitumia jina lake. Kama unataka kuwa public figure, fanya kazi kwa bidii na siyo kutumia utapeli ambao umekuumbua na ushukuru ubinadamu wa Andrew Nyerere kwa kukusamehe, otherwise kwa sasa ungekuwa unanyea debe magereza kwa kosa la impersonation and stalking.
   Last edited by MwanaDiwani; 22nd September 2013 at 22:22.

  14. OKW BOBAN SUNZU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2011
   Posts : 13,708
   Rep Power : 103785770
   Likes Received
   4666
   Likes Given
   1080

   Default

   Quote By MwanaDiwani View Post
   Ondoa story zako za kufikirika. Mwanadiwani hawezi kuwa Nape na kikubwa zaidi, Mwanadiwani hawezi kuwa taperi wa kujinasibisha na wazazi wa wengine kama ufanyavyo kwa kujiita Yericko Nyerere wakati jina lako unaitwa Yericko Yohanes Msambila.

   Usitake kubadilisha mjadala hapa kwa kuleta story za kijiweni kuhusu Nape. Kawadanganye member wa jukwaa la chitchat.

   Acha kuweweseka Yericko Yohanes Msambila. Umetafuta reputation hapa jamiiforums kwa story za kutunga mpaka hata baba yako mzazi Marehemu Mzee Yohanes Msambila unamkana kwa vile tu hakuwa public figure. Baba ni Baba na muhimu kabisa, binadamu hachagui wazazi na sehemu ya kuzaliwa. Kama unataka kuwa mtoto wa Mwl. Nyerere legally, kaiombe familia ya Mwl. Nyerere iku-adopt ili utapeli wako utimie.

   Marehemu Mzee Yohanes Msambila ni baba yako na usione aibu kulitumia jina lake. Kama unataka kuwa public figure, fanya kazi kwa bidii na siyo kutumia utapeli ambao umekuumbua na ushukuru ubinadamu wa Andrew Nyerere otherwise kwa sasa ungekuwa unanyea debe magereza kwa kosa la impersonation and stalking.
   mmeenda kuchota laana kwny makaburi ya mwl?hii ya kuwaambia kina mzee Warioba wanasubiri kufa haiwatoshi?

  15. Kimilidzo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd January 2011
   Posts : 1,328
   Rep Power : 18513831
   Likes Received
   523
   Likes Given
   51

   Default

   Quote By bakwesi View Post
   Hivi Kinana ni mwenyeji wa mkoa gani? Ni kabila gani maana hilo jina halimo katika kabila lolote Tanzania. Operesheni "kimbunga"!!
   Huyu Kinana ameishavuruga uhusiano WA Tanzania na Kenya, Al Shabaab walioshambulia mall Kenya wengi Ni vijana wake na inasemekana sehem kubwa ya fedha za pembe za ndovu na madawa ya kulevya zinafadhili Al Shabaab. Huyu msomali mwisho wake 2015

  16. Uchaguzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 918
   Rep Power : 619
   Likes Received
   168
   Likes Given
   341

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By MwanaDiwani View Post
   Ondoa story zako za kufikirika. Mwanadiwani hawezi kuwa Nape na kikubwa zaidi, Mwanadiwani hawezi kuwa taperi wa kujinasibisha na wazazi wa wengine kama ufanyavyo kwa kujiita Yericko Nyerere wakati jina lako unaitwa Yericko Yohanes Msambila.

   Usitake kubadilisha mjadala hapa kwa kuleta story za kijiweni kuhusu Nape. Kawadanganye member wa jukwaa la chitchat.

   Acha kuweweseka Yericko Yohanes Msambila. Umetafuta reputation hapa jamiiforums kwa story za kutunga mpaka hata baba yako mzazi Marehemu Mzee Yohanes Msambila unamkana kwa vile tu hakuwa public figure. Baba ni Baba na muhimu kabisa, binadamu hachagui wazazi na sehemu ya kuzaliwa. Kama unataka kuwa mtoto wa Mwl. Nyerere legally, kaiombe familia ya Mwl. Nyerere iku-adopt ili utapeli wako utimie.

   Marehemu Mzee Yohanes Msambila ni baba yako na usione aibu kulitumia jina lake. Kama unataka kuwa public figure, fanya kazi kwa bidii na siyo kutumia utapeli ambao umekuumbua na ushukuru ubinadamu wa Andrew Nyerere otherwise kwa sasa ungekuwa unanyea debe magereza kwa kosa la impersonation and stalking.
   Kwa haya Maneno tulio wengi sasa tumemwelewa vyema huyu Yericko Nyerere, ahsante sana Mwanadiwani kwa taarifa hizi maana siku hizi Matapeli ni wengi.
   1. Alikuwepo trafic fake-akashikwa
   2.Alipatikana Askari mwingine fake-akaumbuka
   3.Alikamatwa Mwana -TISS fake -sasa yuko segerea
   4.Ameshikwa Daktari fake tena wawili, 1 kule KCMC mwingine juzi Muhimbili.

   Sasa YERICKO NYERERE amejulikana kuwa ni "Nyerere fake" asionewe huruma akamatwe akajibu haya Mashtaka au aombe ridhaa kutumia jina hilo 'Takatifu'(According to Catholics) toka familia ya Mwalimu.
   YERICKO umeumbuka sasa.

  17. MwanaDiwani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2013
   Posts : 5,524
   Rep Power : 1814038
   Likes Received
   2223
   Likes Given
   2688

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Quote By Uchaguzi View Post
   Kwa haya Maneno tulio wengi sasa tumemwelewa vyema huyu Yericko Nyerere, ahsante sana Mwanadiwani kwa taarifa hizi maana siku hizi Matapeli ni wengi.
   1. Alikuwepo trafic fake-akashikwa
   2.Alipatikana Askari mwingine fake-akaumbuka
   3.Alikamatwa Mwana -TISS fake -sasa yuko segerea
   4.Ameshikwa Daktari fake tena wawili, 1 kule KCMC mwingine juzi Muhimbili.

   Sasa YERICKO NYERERE amejulikana kuwa ni "Nyerere fake" asionewe huruma akamatwe akajibu haya Mashtaka au aombe ridhaa kutumia jina hilo 'Takatifu'(According to Catholics) toka familia ya Mwalimu.
   YERICKO umeumbuka sasa.
   Huyu binadamu ni tapeli sugu na amekubuhu kwa utapeli. Hata kwa sasa anataka kuwatapeli wanaJf kwa kuwaambia Mwanadiwani ni Nape.

   Ninaamini kuna watu ameisha watapeli kwa kutumia jina la Baba wa Taifa na kuwadanganya kuwa ni mtoto wa kuzaliwa wa Mwl. Nyerere wakati Baba yake ni Marehemu Mzee Yohanes Msambila.

   Ninafikiri kwa kufahamu kuwa familia ya Mwl. Nyerere haina makuu ndiyo maana akatumia mwanya huo kuwatapeli wanaJf na watanzania kama yeye ni mtoto wa kuzaliwa wa Mwl. Nyerere.

   Tutaendelea kumkumbusha kuhusu utapeli wake.

  18. Yericko Nyerere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2010
   Location : Kigamboni, DSM
   Posts : 14,185
   Rep Power : 182646946
   Likes Received
   11737
   Likes Given
   485

   Default

   Quote By Uchaguzi View Post
   Kwa haya Maneno tulio wengi sasa tumemwelewa vyema huyu Yericko Nyerere, ahsante sana Mwanadiwani kwa taarifa hizi maana siku hizi Matapeli ni wengi.
   1. Alikuwepo trafic fake-akashikwa
   2.Alipatikana Askari mwingine fake-akaumbuka
   3.Alikamatwa Mwana -TISS fake -sasa yuko segerea
   4.Ameshikwa Daktari fake tena wawili, 1 kule KCMC mwingine juzi Muhimbili.

   Sasa YERICKO NYERERE amejulikana kuwa ni "Nyerere fake" asionewe huruma akamatwe akajibu haya Mashtaka au aombe ridhaa kutumia jina hilo 'Takatifu'(According to Catholics) toka familia ya Mwalimu.
   YERICKO umeumbuka sasa.
   Hahaa naona unazidi kuhama hama kama mhudumu wa baa,

   Ungetulia kwenye ID yako ya kwanza ungeeleweka tu,

   Laana za inazidi kukuandama, vumilia hayo ndio matokeo ya mimba za mbio za mwenge,

   Mimi ni kama jua, utake nitakuwakia, usitake nitakuwakia,

   Siishi kwakubahatisha, Kamuulize mwenyekiti wako atakwambia!

  19. Simiyu Yetu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2013
   Posts : 16,372
   Rep Power : 0
   Likes Received
   2882
   Likes Given
   837

   Default Re: Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape watua Butiama,Wazuru kaburi la Baba wa Taifa

   Kazi inaendelea ccm imethubutu,imeweza na sasa inazidi kusonga mbele.

  20. Yericko Nyerere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2010
   Location : Kigamboni, DSM
   Posts : 14,185
   Rep Power : 182646946
   Likes Received
   11737
   Likes Given
   485

   Default

   Quote By MwanaDiwani View Post
   Ondoa story zako za kufikirika. Mwanadiwani hawezi kuwa Nape na kikubwa zaidi, Mwanadiwani hawezi kuwa taperi wa kujinasibisha na wazazi wa wengine kama ufanyavyo kwa kujiita Yericko Nyerere wakati jina lako unaitwa Yericko Yohanes Msambila.

   Usitake kubadilisha mjadala hapa kwa kuleta story za kijiweni kuhusu Nape. Kawadanganye member wa jukwaa la chitchat.

   Acha kuweweseka Yericko Yohanes Msambila. Umetafuta reputation hapa jamiiforums kwa story za kutunga mpaka hata baba yako mzazi Marehemu Mzee Yohanes Msambila unamkana kwa vile tu hakuwa public figure. Baba ni Baba na muhimu kabisa, binadamu hachagui wazazi na sehemu ya kuzaliwa. Kama unataka kuwa mtoto wa Mwl. Nyerere legally, kaiombe familia ya Mwl. Nyerere iku-adopt ili utapeli wako utimie.

   Marehemu Mzee Yohanes Msambila ni baba yako na usione aibu kulitumia jina lake. Kama unataka kuwa public figure, fanya kazi kwa bidii na siyo kutumia utapeli ambao umekuumbua na ushukuru ubinadamu wa Andrew Nyerere kwa kukusamehe, otherwise kwa sasa ungekuwa unanyea debe magereza kwa kosa la impersonation and stalking.
   Ulivyo na akili ya kisoda utadhani ni mwanamke nyumba ndogo,

   Nilishakwamnia wewe ni shabiki wangu mwehu,

   Kila ukiniona lazima unyevunyevu ukupata na kinishangilia popote,

   Ila unabahati mbaya mie huwa sitafuni makuki, endelea na yuleyule Waziri!   Kwakukukumbusha tu wasifu wangu nikuwa:

   Naitwa: Yericko Yohanesy Nyerere

   Mahali nilipozaliwa: Nyololo, Mufindi, Iringa.

   Kabila: Ni Mhehe,

   Baba yangu: Yohanes Msambila Nyerere

   Elimu: Muhandisi wa Umeme na Compyuta kutoka Chuo cha Beijing Information Technology College- "BIT" (China)

   Kazi: Mfanyabiahara, Mwenyekiti Mtendaji wa Umoja wa Makampuni ya YECCO GROUP LTD

   Kuishi: Kigamboni Mbutu,

   Nina mke mmoja na watoto wa wili ambao ni Che-Lee na Su-Yang

   Sitakujibu tena bwana Nape Nnauye endelea kujifariji na wasifu wangu ambao utakufa tu hutanifikia,

   NB

   Nina mbwa na pakashume saizi yako ninawafuga, ukichoka kukaa ccm njoo uchangamane na wenzio hapa,

  21. #40
   matawi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th March 2010
   Posts : 2,027
   Rep Power : 1001
   Likes Received
   227
   Likes Given
   91

   Default

   Quote By Marire View Post
   wakuu ninahitaji kipande cha pembe ya NDOVU ninaweza kupata vipi? muhimu sana!
   Nunua kwa khatib mkuu wa chama tawala hana shida hata msigwa anajua

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...